Wazungu wanafanyaje mpaka Watoto wadogo chini ya miaka 13 wanahitimu degree kwenye vyuo vikuu majuu

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,527
Habari wadau.

Sio kitu cha ajabu kukuta mtoto wa miaka 10 anasoma chuo kikuu majuu.

Tena degree za kibabe kama Engineering , Medicine, Mathematics etc.

Wazungu wanatumia mbinu gani kuwapa admission kwenye vyuo vikuu vyao hawa watoto.

Je Tanzania hatuna watoto wenye akili wa miaka 10 mpaka miaka 13 ambao wanaweza kusoma degree kwenye vyuo vikuu vyetu kama udsm, mzumbe , udom ama Muhas

Tunakosea wapi ama tuna gundu hatuwezi kuzaa watoto ma Genious Darasani wa kusoma degree bila kupitia mfumo wa sekondari unaochukua miaka mingi kufika chuo kikuu

Mfano wa wahitimu wa vyuo vikuu ni

1. Balamurali Ambati alimaliza degree ya udaktari akiwa na miaka 16 na kufikia miaka 17 akawa daktari tayari anatibu watu.

2. Michael Kearney alihitimu degree ya Geology akiwa na miaka 8 tu.

3. Ruth Lawrence alimaliza degree yake ya Physics Oxford university akiwa na miaka 11 na akaunganisha degree zingine hapo hapo Oxford kufikia miaka 17 akahitimu PHD ya Mathematics hapo hapo Oxford University

4. Sho Yano alihitimu degree yake ya udaktari akiwa na umri wa miaka 12 tu

5 - Juliet Beni. At just 15 years old, she obtained her bachelor’s degree at the University of California, ( chuo kikuu alichosoma proffessor Mkandala wa udsm kinampa nafasi mtoto mdogo asome degree yake mapema )
 
Attachments

  • Screenshot_20230303-155833_Firefox.jpg
    Screenshot_20230303-155833_Firefox.jpg
    78.5 KB · Views: 33
Hawana degree miaka kumi na tatu. Hiyo inaitwa FE. Further education wanaspecialize.
Najazia point yako. Na hiyo inatokea kwenye vicollege. Na hua inaanza atleast miaka 14-16.
Europe inaitwa inaitwa (FE)further education. Inakuwa enrolled na Education and Skills Funding Agency (ESFA)

Wapo wanaohitimu mpaka best university in the world kama Oxford university. Mfano Ruth Lawrence, Why useme ni vi college vya kijinga ndio viwapokea

Hii picha chini ni ya graduate wa university of Minnessota. Je hiko chuo ni kibovu cha kuunga unga

Soma maneno yaliyopo kwenye hiyo picha
 
Attachments

  • Screenshot_20230303-155833_Firefox.jpg
    Screenshot_20230303-155833_Firefox.jpg
    78.5 KB · Views: 29
Hawana degree miaka kumi na tatu. Hiyo inaitwa FE. Further education wanaspecialize.
Najazia point yako. Na hiyo inatokea kwenye vicollege. Na hua inaanza atleast miaka 14-16.
Europe inaitwa inaitwa (FE)further education. Inakuwa enrolled na Education and Skills Funding Agency (ESFA)
Kuna kipindi nilitaka nisiende advanced level ili nikaspecialize ila wazazi sasa.......ikabidi niende advance kishingo upande tu.
 
Ipo hivi kwa msioelewa.

Kuna watoto wanaozaliwa wakiwa na uwezo wa ajabu (geniuses). Mtoto anaweza kuzaliwa ni genius kwenye Maths, Arts, n.k

So wakigundua mapema wanamuendeleza chap katika kipaji alicho nacho.

Kuna watoto wanazaliwa wanapiga Calculus wakiwa na miaka mitatu tu.

So hizo ni rare cases na ndio maana ni wachache sio kila mtu anaweza. Hao wamezaliwa na uwezo wa juu sana.
 
Sisi mitoto yetu ya NECTA inaandiliwa kuwa daktari mkuu wa taifa mwenye mpango wa kwenda mwezini kuvumbua aina mpya ya nishati huku akiwa mwalimu wa lugha na mtaalam wa wadudu na mifugo.
Lazima asome miaka mingi na madaftari ya kutosha.
 
Ipo hivi kwa msioelewa.

Kuna watoto wanaozaliwa wakiwa na uwezo wa ajabu (geniuses). Mtoto anaweza kuzaliwa ni genius kwenye Maths, Arts, n.k

So wakigundua mapema wanamuendeleza chap katika kipaji alicho nacho.

Kuna watoto wanazaliwa wanapiga Calculus wakiwa na miaka mitatu tu.

So hizo ni rare cases na ndio maana ni wachache sio kila mtu anaweza. Hao wamezaliwa na uwezo wa juu sana.

Bongo hatuna watoto wenye akili hata wa rare cases wanaoweza kumudu masomo udsm ?
 
Bongo hatuna watoto wenye akili hata wa rare cases wanaoweza kumudu masomo udsm ?
Inawezekana wapo lakini mazingira yetu haya support mambo kama hayo. Sisi tulishakariri lazima mtoto asome chekecea, msingi, sekondari ndio aende chuo.

Ila mimi kuna dogo mmoja alikuwa anaitwa Bryan nakumbuka alikuwa darasa la nne ila alifanya mtihani wa la saba akafaulu na kuenda sekondari akiwa mdogo kabisa. Sikujuaga aliishia wapi.

Huku kwetu wapo hao watoto shida ni mifumo yetu iliyodumaa na kukariri maisha.
 
Ipo hivi kwa msioelewa.

Kuna watoto wanaozaliwa wakiwa na uwezo wa ajabu (geniuses). Mtoto anaweza kuzaliwa ni genius kwenye Maths, Arts, n.k

So wakigundua mapema wanamuendeleza chap katika kipaji alicho nacho.

Kuna watoto wanazaliwa wanapiga Calculus wakiwa na miaka mitatu tu.

So hizo ni rare cases na ndio maana ni wachache sio kila mtu anaweza. Hao wamezaliwa na uwezo wa juu sana.
Kwan hapa bongo hawazaliwi wa hivyo?
 
Back
Top Bottom