Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Status
Not open for further replies.
Hivi kwa mwendo huo wa Masatu kukurupuka na kumdandia Mzee Slaa,assume sasa huyo Masatu ndo itokee awe Waziri.Duuuu zitapikwa propaganda za ajabu ajabu na nchi itakuwa kama.........
 
hAYA MAMBO ya kusoma madarasa sijui 10 ama 12 ama 17 sio hoja kabisa.

Hoja ni je alipokuwa udsm alikwepa sup za pale kihalali hiyo ndiyo hoja.
wewe kama umejipanga vizuri kichwani unaweza soma kuanzia darasa la kwanza hadi digrii kwa miaka miwili.

Mtu kama kichwa chako ni analog kinachokupasa usome miaka 17 ndio upate digrii wengine ni miaka mitatu tu inatosha kukamilisha yote.

Ishu iliyopo ktk thread hii ni je? Ugomvi wa Masha na Mengi unafaida ktk jamii yetu na kama ndiyo Basi tuwashauri hawa watu wakutane ktk vyombo vya sheria na mara majibu yakipatikana ndipo nafikiri ni wakati muafaka wa kuyajadili hayo majibu yaliyopatikana.
 
Nashindwa kuelewa waziri wa mambo ya ndani ambaye ana jukumu la kuwalinda watu na mali zao kama anaweza kufanya haya machafu anayoyafanya Masha. Nilikuwa nafikiria kwamba Masha kama waziri wa mambo ya ndani angekuwa mstari wa mbele kupinga ufisadi ambao kwa kiasi kikubwa sana umeungamiza uchumi wa Taifa letu. Angekuwa na furaha kubwa kama vyombo vya habari vinatoa siri kuhusu mafisadi, angemshukuru mwenyekiti mtendaji wa IPP kwa mchango wake katika vita hivi vya ufisadi na wala si vinginevyo.

Nimesikitishwa sana na habari hizi na hasa kama kweli mawaziri waliweza kukaa kikao ili kutafuta njama na mbinu za kumuhujumu pamoja na kumdhuru Ndugu Reginald Mengi. Hii inatuonesha wazi kwamba Serikali yetu inaongozwa na wezi, washenzi, watu wasio na uchungu na nchi bali wako madarakani kwa ajili ya matumbo yao, na pia ni mafisadi waliokubuhu.

Kama mawaziri wetu wangekuwa na uchungu na nchi yetu kwa lengo la kuleta maendeleo ya nchi na wananchi basi wasingetafuta mbinu mbovu dhidi ya Reginald Mengi, na nashindwa kuelewa walipata wapi muda wa kufanya vikao vya kipumbavu badala ya kutumia muda huo kwa kufanya mambo ya maana kwa Taifa. Ni hawa mawaziri tunawalipa mishahara mizuri, na kuwapa nyumba na magari ya fahari.

Kwa mtaji huu vita dhidi ya mafisadi ni ndoto, kwani watu tunao wategemea wawe mstari wa mbele katika vita hivi ni mafisadi. Mtu kama Masha ambaye wizara yake inategemewa sana katika vita hivi kama anaongea na kufanya hivi tutegemee nini jamani?.
Masha ulikwenda kufuata nini gerezani wakati mafisadi Yona na Mramba walivyokuwa ndani?. Kama ni ziara za kikazi mbona huzifanyi hizo ziara wakati mwingine ila mpaka mafisadi mawaziri wakiwekwa ndani?. Na kwanini hukuweza kuongea na wafungwa wote pale gerezani bali uliongea na Yona na Mramba tu?.

Mwisho napenda kumuuliza mkuu wa kaya: Ni kigezo ama vigezo gani unaangalia katika kumpa mtu uwaziri?. Hivi ni kweli kabisa unaona Masha anafaa kuwa mkuu wa wilaya acha huo uwaziri uliompa?.
 
hAYA MAMBO ya kusoma madarasa sijui 10 ama 12 ama 17 sio hoja kabisa.

Hoja ni je alipokuwa udsm alikwepa sup za pale kihalali hiyo ndiyo hoja.
wewe kama umejipanga vizuri kichwani unaweza soma kuanzia darasa la kwanza hadi digrii kwa miaka miwili.

Mtu kama kichwa chako ni analog kinachokupasa usome miaka 17 ndio upate digrii wengine ni miaka mitatu tu inatosha kukamilisha yote.

Ishu iliyopo ktk thread hii ni je? Ugomvi wa Masha na Mengi unafaida ktk jamii yetu na kama ndiyo Basi tuwashauri hawa watu wakutane ktk vyombo vya sheria na mara majibu yakipatikana ndipo nafikiri ni wakati muafaka wa kuyajadili hayo majibu yaliyopatikana.


Binafsi nadhani ugomvi una maslahi kwa jamii yetu kwa sababu mmoja - Masha - ni waziri anayeiwakilisha serikali tuliyoiweka madarakani kwa kura zetu na aliyetumia chombo cha umma (TBC1) kwa niaba ya serikali (kwa mujibu wa kauli yake mwenyewe) kuelezea suala la Mengi. Hivyo masha moja kwa moja ameihusu jamii ya Watanzania. Ni kauli nzito kama ulimsikia. Hivyo, kama alitumia madaraka yake kujikinga mwenyewe ikidhihirika kuwa yeye ndiye mtuhumiwa wa Bw. Mengi, basi moja kwa moja waziri ametumia vibaya madaraka yake
 
Dr Slaa,

Hiyo nimeipata kupitia magazeti yetu wakati ule wa kinyang'anyiro cha Tarime. Let me dig in my archives to unearth that particular paper. But if you categorically deny to have made such attempt I would be more than happy to take it back and personally apologise to you for any inconveniences caused.

Thanking you in advance

Asante kwa kuomba msamaha.
Hata hivyo usipindepinde maneno. Be straight kwa kusema hivi, "mzee, mheshimiwa, dokta Slaa, mbunge, na katibu mkuu Chadema nilisema uongo naomba unisamehe😀"
 
Kule Wizara ya Fedha nako kuna naibu ambaye yuko kambi ya Lowassa kwa hiyo hili suala la kubambika tax lilikuwa mbioni na naona mengi ameweza kupreempt kwa hiyo wananchi tukae mkao wa kula.

Jk usiruhusu nchi kuwa na serikali formal na watu wengine kuwa na serikali informal wakitumia baadhi ya watu walioko serikalini na kwenye CCM Uongozi. Kata huu mzizi mapema otherwise tunakoenda sio kuzuri.

Nchi ina rais mmoja na power yote katiba imetoa kwa rais wetu, kwa hiyo mkuu tumia nguvu ukomeshe huu wazimu wa hawa mafisadi ambao hawajui kuwa 21century upumbavu wao hauwezi kuwin kwani wananchi sasa hivi wameamka.
 
Kule Wizara ya Fedha nako kuna naibu ambaye yuko kambi ya Lowassa kwa hiyo hili suala la kubambika tax lilikuwa mbioni na naona mengi ameweza kupreempt kwa hiyo wananchi tukae mkao wa kula
OMG!

10q moelex23 for this alarming sentence. Am speechless!
 
Sasa FMES, tusaidie, Waziri Masha "kaonyesha uzalendo kwa kuacha kazi World Bank na kurudi nyumbani" lini ? World Bank ya wapi hiyo ??? Ni yeye "Lau" aliyekwambia hiyo habari ?

- Mkuu wacha chuki na wivu usokuwa na faida wala sababu maana hauwezi kukusaidia kwenye maisha yako, Lau amefanya kazi kwenye Law Firm ya Warioba na Mahalu mbona huna kwenye hiyo CV yako, amefanya kazi Playland, alipomaliza MA Georgetown, akapewa kazi World Bank, lakini dakika za mwisho kabla ya kwenda kuchukua hiyo kazi akaamua kurudi nyumbani na kuingia Law Firm ya Warioba,

- Mkuu unahangaika bure tu labda mlaumu Lau kwa mengine lakini ya kusoma na kazi, huyajui zaidi tu ya kusoma hiyo CV sijui unaitoa wapi, Lau hakuniambia anything isipokuwa nilikuwa naye NY all the time, infact siku alponifanyia party nzito sana yeye kwa kushirkikana na Margai, pale Trinity Obey, kwenye hotuba yake ya kunikaribisha na kueleza kwa nini amenifanyia ile party, alisema wazi kwa wote waliokuwepo pale kua kama sio mimi asingekua na bidii na heshima na kazi, haya pasuka sasa!

Najua kuwa jamaa ni waziri mwenye umri mdogo sana, lakini punguza jazba naye maana hata asipokua waziri the guy is cool
 
Hiyo habari ya FMES sio ya kweli. Nimeweka sababu zote za kwa nini hajasema ukweli, bahati mbaya ma mods wameifuta. Anyhow, habari hizo za FMES kwamba Masha ni member wa NY Bar sio za kweli.

- Unahangaika bure tu, hata Dr. Masau ulisema haya haya just give it up bro, maana hauwezi ku-porve unayoyalilia, kwenye maisha kila mtu na bahati yake ya kwako ni kuwa ulipo sasa na yeye ya kwake ni kuwa waziri kwa umri mdogo sana, hiyo ni fact of life huwezi fanya anything utalia weee hapa lakini wapi.
 
Masha bado ni partner wa IMMA, kwa hiyo profit zozote IMMA lawfirm inayopata Masha naye anapewa according to ownership stake yake.
Anachofanya ni kutokurun day to day activities ya IMMA ( Kwa Tanzania ni vigumu sana kuprove hili kuwa ahajishughulishi na lawfirm).

- Mkuu baada ya Azimio La Arusha kuvunjwa kifo cha mende, hakuna tatizo tena ila tatizo ni kuiba mali za taifa na kuliltea taifa hasara, kama kina Yona na Mramba.
 
``I don`t have a problem with Zitto`s words. However, I am asking that they all present evidence that I planned a secret move to fleece Mengi.

If they dont trust me, they can take their evidence to the President, or the Prime Minister or even call international media and present it to them. If proven, I will resign immediately,`` Masha said.

- I like this one maana ndio inabeba weight ya whole sagga, akigundulika kuwa ni yeye hana njia ni kuachia ngazi tu, very responsible words.
 

... alipomaliza MA Georgetown, akapewa kazi World Bank, lakini dakika za mwisho kabla ya kwenda kuchukua hiyo kazi akaamua kurudi nyumbani na kuingia Law Firm ya Warioba,

Ha haa aa aaaaa aaaaaaa

Field Marshall bana! Funny guy indeed.

Okay, okay, nimekupata FMES. Waziri hakufanya kazi World Bank.

Just wanted to get the facts straightened there. You exhibited a smidgen of bigness there, you are a gentleman and I thank you.

Tunaweza kuendelea mbele, hilo la sketchy information kuhusu career ya "Lau" liko nyuma yetu sasa.

Issue ya Waziri kutokuwa member wa NY Bar nimeweka vidhibiti vyote hapa lakini uongozi wa forum umevifuta, kama walivyofuta na kufungia watu wakati tunaleta vidhibiti vya wataalam wa kujibambika waliowahi kuwekwa humu. Huwa si push the issue kwa kubandika tena vitu walivyovifuta, au mijadala walioamua kuifunga au kufungui watu. Najaribu kufuata sheria zao kuliko wao wenyewe wanavyo purport kuzi uphold.

Okay, kwa hiyo tumebaki na hili la "Lau" ku dogde National Service, na la kuingia UDSM bila madarasa ya kutosha ya msingi na sekondari, unless alirushwa huko nyuma. Inawezekana aliingia kifisadi.
 
Ha haa aa aaaaa aaaaaaa

Field Marshall bana! Funny guy indeed.

Okay, okay, nimekupata FMES. Waziri hakufanya kazi World Bank.

Just wanted to get the facts straightened there. You exhibited a smidgen of bigness there, you are a gentleman and I thank you.

Tunaweza kuendelea mbele, hilo la sketchy information kuhusu career ya "Lau" liko nyuma yetu sasa.

Issue ya Waziri kuwa member wa NY Bar nimeweka vigezo vyote hapa lakini uongozi wa forum umevifuta, kama walivyofuta na kufungia watu wakati tunaleta vidhibiti vya wataalam wa kujibambika waliowahi kuwekwa humu. Huwa si push the issue kwa kubandika tena vitu walivyovifuta, au mijadala walioamua kuifunga au kufungui watu. Najaribu kufuata sheria zao kuliko wao wenyewe wanavyo purport kuzi uphold.

Okay, kwa hiyo tumebaki na hili la ku dogde National Service, na la kuingia UDSM bila madarasa ya kutosha ya msingi na sekondari, unless alirushwa huko nyuma. Inawezekana aliingia kifisadi.

Aroo if you continue your effiminate whinings about the moderators you are going to get banned. You have been warned...if you don't believe me, try them....
 
1.
Ha haa aa aaaaa aaaaaaa

Field Marshall bana! Funny guy indeed. Okay, okay, nimekupata FMES. Waziri hakufanya kazi World Bank. Just wanted to get the facts straightened there. You exhibited a smidgen of bigness there, you are a gentleman and I thank you. Tunaweza kuendelea mbele, hilo la sketchy information kuhusu career ya "Lau" liko nyuma yetu sasa.

- Haya maneno sio mara yangu ya kwanza kuyasema hapa, kuna wakati nime-debate sana na Fundi Mchundo, nilisema exactly nilivyosema leo kua Lau aliacha kazi World Bank na kurudi nyumbani, lakini kwa sababu ni lazima tu ushinde kwa any means necessary, unajaribu kuigeuza geuza ishu wakati iko very clear na leo sio mara yangu ya kwanza kusema kua wakati anarudi nyumbani, Lau alikuwa tayari ana ajira World Bank, kwa hiyo hujabadili wala kuongeza anything ila unapoteza muda wako na wa wananchi hapa bure kwa kujaribu kunitega na kunizunguka huku ukijua wazi kuwa una -deal na a pro wa this game. Nafikiri kati yangu na wewe kila mwananchi hapa ana akili saafi ya kuona wazi nani ni a funny guy!

2.
Issue ya Waziri kutokuwa member wa NY Bar nimeweka vigezo vyote hapa lakini uongozi wa forum umevifuta, kama walivyofuta na kufungia watu wakati tunaleta vidhibiti vya wataalam wa kujibambika waliowahi kuwekwa humu. Huwa si push the issue kwa kubandika tena vitu walivyovifuta, au mijadala walioamua kuifunga au kufungui watu. Najaribu kufuata sheria zao kuliko wao wenyewe wanavyo purport kuzi uphold.

- Naomba nirudie tena kwamba mimi binafsi ndiye niliyemuendesha na kumpeleka kwenye mtihani, Lau alikua ndio kwanza amemaliza Georgetown, akawa anafanya kazi Playland, akiwa anasubiri green card yake ili akafanye kazi World Bank akaamua kufanya hiyo Bar, akashinda na kuipata, baba yake akaamua kurudi bongo, akaipata green card yake akabadili mawazo na kurudi nyumbani, sasa sielewi exactly hasa unachopotezea muda na maneno mengi yasiyo na uhakika wala ukweli, halafu sikutegemea kwua kuna siku utarudia tena haya maneno yako kama ya Dr. Masau ya kudai unajua sana US kuliko wengine wote, drop it bro maana huna ukweli mimi ninao, na hizo CV unazopigia kelele nazo hazina yote aliyoyafanya kijana waziri Lau, maana maefanya mengi kikazi kuliko hiyo CV yako!.

3.
Okay, kwa hiyo tumebaki na hili la "Lau" ku dogde National Service, na la kuingia UDSM bila madarasa ya kutosha ya msingi na sekondari, unless alirushwa huko nyuma. Inawezekana aliingia kifisadi.

- Naomba nirudie tena kwamba baba yake Lau alikuwa na matatizo mengi sana kisiasa na watawala wa wakati huo, kwanza hata kurudi kusoma bongo haikuwa rahisi, na mengine mengi ambayo sio sawa kuyaweka hapa kuhusu utata wa baba yake na siasa za watawala wa enzi hizo, infact ndio maana hata baba yake ambaye aliwahi katibu mwenezi wa TANU taifa, alikuwa UN badala ya bongo,

kwa hiyo hata huku nako huna hoja wala ukweli just drop it and quit maana unazidi kuaibika bure tu na wewe ndiye bingwa wa analytic na critical thinking hapa JF ni heshima kubwa sana mkuu kuwa nayo na kujiingiza na haya malumbano yasiyo na faida hata kidogo kwa wananchi taifa kwa ujumla, ni waste of time!
 
Waungwana, najua thread hii imepanda moto sana. Hata hivyo naomba sasa tupunguze propaganda na madongo kusudi turudi tena kwenye mada - "Mengi Vs. Masha: Tuhuma, Vitisho na Matokeo"
 
Waungwana, najua thread hii imepanda moto sana. Hata hivyo naomba sasa tupunguze propaganda na madongo kusudi turudi tena kwenye mada - "Mengi Vs. Masha: Tuhuma, Vitisho na Matokeo"

- Mkuu Kichuguu, maneno yako ni sawa na nimesema toka jana kwamba turudi kwenye ishu, Mengi ameongea na waziri ameongea, sasa nikusubiri sheria inasema nini, na itasema nini,

Tunachotaka ni kuona sheria inachukua mkondo wake na haki inatendeka, lakini kujaribu kum-fault waziri na maneno mengi yasiyokuwa na ukweli bila ya kujua tunachosema ni waste of time, kwa wale tunaojua ukweli hatutachoka kujibu ingawa hatuko wengi maana tunaaimini in mnyonge mnyongeni, lakini haki apewe.
 
Field marshall Es,
Mkuu wangu huyu dogo kachemsha ni lazima tukubali ukweli unapokuwa wazi... yeye kama waziri ni lazima aonyeshe uwezo wa juu zaidi kama waziri tofauti na mfanyabiashara Mengi ambaye ni tajiri mmiliki wa kampuni za IPP na magazeti..
Hata Trump kama raia pamoja na Utajiri wake huwa anazungumza kuhusiana na viongozi, na nafikiri amewahi kumponda Obama na kumsifia mama Clinton, lakini Obama kama kiongozi hawezi kujaribu kushindana maneno ya Trump kama vile mchezo wote ni siasa...Kina Lou dobbs wamemponda Obama kwa uzushi wa kila namna lakini Obama shrugged off katazama kazi yake.

Ndicho anachotakiwa kukifanya Masha hapa! Haiwezekani hata siku moja umwambie mtu umempa siku saba na kama hakufika utamwonyesha cha MOTO, kisha ugeuze maneno hayo kuwa ulitaka kum protect mtu huyo. Masha anafahamu fika madhambi alkiyoyafanya, iwe alikuwa amelewa au sober, kachemsha...
Kama waziri kuna mambo mengi sana yenye maslahi ya Taifa ambayo yeye anatakiwa kuyazungumzia/ kuyawekea siku saba na hata hivyo vitisho vya kuona cha MOTO kuliko maswala yake binafsi ambayo kwanza ni Ujinga mtupu!..
Kila anapozidi kupanua domo lake ndivyo anavyozidi kudidimia ktk quick sand.. issue hii itammaliza na nina hakika hana kinga ktk utawala huu zaidi ya hao Mtandao.
 
1. - Haya maneno sio mara yangu ya kwanza kuyasema hapa, kuna wakati nime-debate sana na Fundi Mchundo, nilisema exactly nilivyosema leo kua Lau aliacha kazi World Bank na kurudi nyumbani, lakini kwa sababu ni lazima tu ushinde kwa any means necessary, unajaribu kuigeuza geuza ishu wakati iko very clear na leo sio mara yangu ya kwanza kusema kua wakati anarudi nyumbani, Lau alikuwa tayari ana ajira World Bank, kwa hiyo hujabadili wala kuongeza anything ila unapoteza muda wako na wa wananchi hapa bure kwa kujaribu kunitega na kunizunguka huku ukijua wazi kuwa una -deal na a pro wa this game. Nafikiri kati yangu na wewe kila mwananchi hapa ana akili saafi ya kuona wazi nani ni a funny guy!

Hilo tumelimaliza. Ni factoid ndogo tu uliteleza, umerekebisha, Waziri hakuwahi kufanya kazi World Bank, tume move forward. I don't think we should keep rehashing it ad nauseam.

2. - Naomba nirudie tena kwamba mimi binafsi ndiye niliyemuendesha na kumpeleka kwenye mtihani, Lau alikua ndio kwanza amemaliza Georgetown, akawa anafanya kazi Playland, akiwa anasubiri green card yake ili akafanye kazi World Bank...

Huhitaji green card kufanya kazi World Bank!!

Baharia we kitambo maisha haya, mbona unaniangusha tena kwenye issue za safari na za Wazee wa nondo tena ?

...ya kudai unajua sana US kuliko wengine wote...

Siijui, sijadai na hutaniona nadai kujua chochote cha US au cha Usangi. Tena "weledi na wajuzi" feki nawachukia kama janga la kideri. Ila chochote ninachoandika hapa kuhusu US kuna ma elfu na labda malaki ya Wabongo wanaoishi US wanasoma. Nikisema michemsho ya uongo hapa trust me kuna ma vigilantes wapo chonjo wanangoja kurusha madongo, you will know, trust me.

3.- Naomba nirudie tena kwamba baba yake Lau alikuwa na matatizo mengi sana kisiasa na watawala wa wakati huo, kwanza hata kurudi kusoma bongo haikuwa rahisi, na mengine mengi ambayo sio sawa kuyaweka hapa kuhusu utata wa baba yake na siasa za watawala wa enzi hizo, infact ndio maana hata baba yake ambaye aliwahi katibu mwenezi wa TANU taifa, alikuwa UN badala ya bongo,

Issue za Baba hazielezei, haihalalishi, mtoto ku- dogde National Service.

Obviously kama aliweza kupeteshwa wakati wengine wote walienda National Service ina maana alikuwa a scion of the privileged class. Sasa matatizo ya Baba ndio yalimfanya iwe rahisi kuingia chuo kifisadi fisadi kweli ? You got it backwards Field Marshall.

kwa hiyo hata huku nako huna hoja wala ukweli just drop it and quit maana unazidi kuaibika bure tu na wewe ndiye bingwa wa analytic na critical thinking hapa JF ni heshima kubwa sana mkuu kuwa nayo na kujiingiza na haya malumbano yasiyo na faida hata kidogo kwa wananchi taifa kwa ujumla, ni waste of time!

So I am a waste of time, which is proof positive that I couldn't be that champion of whatever it is you have just anointed me to be. Kuabika mimi naabika kila siku hapa. Sio hatari. Natukanwa for almost every post and viewpoint that I posit. And you know it. You threw a four letter epithet at me today, I took it in the chin. You know, I take my lumps. "Kuabika" ? Not fazed whatosever.

In any event, bado hatujajua "Lau" alivyo dogde National Service na alivyoingia ingia UDSM.
 
Kuhani,
Mkuu samahani kidogo, Unaposema huhitaji green card kufanya kazi World Bank una maana umefuatilia maisha na status ya Masha wakati huo Marekani, kusema hivyo ama umechukulia mtu yeyote yule anaweza kufanya kazi World bank bila green card!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom