Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Status
Not open for further replies.
Nashindwa kuelewa kama ni green card inahitajika kabla ya kufanya kazi hapa USA(Legally except with work permit/visa or otherwise ilegally"undertable") Ama ni kuwa lazima uwe na green card kabla ya kuajiriwa na World Bank? Kwasababu inamaanisha hapa kuwa you must be a US citizen or at least a permanent resident before you could get hired at WB? And this is excluding other citizens of the world?
Kwa wenye ufafanuzi tafadhali....
 
Kule Wizara ya Fedha nako kuna naibu ambaye yuko kambi ya Lowassa kwa hiyo hili suala la kubambika tax lilikuwa mbioni na naona mengi ameweza kupreempt kwa hiyo wananchi tukae mkao wa kula.

Jk usiruhusu nchi kuwa na serikali formal na watu wengine kuwa na serikali informal wakitumia baadhi ya watu walioko serikalini na kwenye CCM Uongozi. Kata huu mzizi mapema otherwise tunakoenda sio kuzuri.

Nchi ina rais mmoja na power yote katiba imetoa kwa rais wetu, kwa hiyo mkuu tumia nguvu ukomeshe huu wazimu wa hawa mafisadi ambao hawajui kuwa 21century upumbavu wao hauwezi kuwin kwani wananchi sasa hivi wameamka.

Naibu waziri (Jerry Solomon/Jeremiah Sumari) ni mzazi mwenzake EL...is this what you are talking about? Hats off, this one so obvious yet none of us could see it. Kudos!

I wonder what more will happen in the light of this info.
 
Nasikitika hii mada imegeuzwa kuwa ni nani anamhafamu nani na kwa ukaribu gani. Honestly, who cares?? Kwanini tusijadili mada yenyewe, je Masha anahusika au ahusiki katika tuhuma alizotoa Mengi? Je, Masha amevuka mstari wa uadilifu kwa kuchukua chuki binafsi na kutaka kummaliza Mengi? Kama watu hawana undani wa taarifa, kwa heshima naomba muache kuchukua nafasi binafsi na kumtetea Mengi au Masha. Hivi ndivyo JF inashuka hadhi!

Kwa heshima na taadhima, wasalaam

Hapana...Lazima tujuwe kwanza hizo ajira zao zilizopita maana ni muhimu.
Ni lazima tuwe tunajifunza kukinga badala ya kusubiria kutibu tu...Sasa kama kila mtu anashangazwa na uwezo wa kufikiri wa Mh huyo...Then huwezi kushangazwa pale watu wanapojaribu kujiuliza...Kwanza tumefikaje hapa tulipo?
 
Jmushi1,
maneno yako sawa kabisa isipokuwa nadhani tunatoka sana nje ya mada hii kwa kuuliza vitu ambavyo majibu yake sii rahisi kupatikana. Navyofahamu mimi kila mtu hapa duniani ana bahati yake, Nafasi yake na hata utaratibu wake wa maisha tofauti na mtu mwingine kwani maisha yetu sote hayako programmed..Na hata hayo mashirika pia kila moja lina utaratibu wake sio lazima mwajiri akapokea watu kwa sheria moja kwani sisi sote tuna background tofauti. Inawezekana kabisa kuwa Masha alihitaji kwanza Green card ili apate kuishi Marekani na swala la kazi World bank lilifuatia tu..au sababu nyingine yeyote ile ambayo sio lazima ifanane na ya Kuhani ama FMES.. wote sisi wazamiaji tu kila mtu aliingia na tungi lake!

Kafanya kazi WB au hakufanya binafsi sioni sababu ya hawa jamaa zetu kurushiana marungu humu ndani kwani sote tumefanya kazi ktk mashirika makubwa kama hayo lakini ukweli unabakia kuwa tumebea box tu huko nyuma ya jengo..
Hata kama masha alikuwa ofisa ndani WB bado haitupi picha ya kile alichokifanya kuhusiana na haya ya Mengi... nadhani wakuu zangu tutulize mpira, turudi ktk nia na madhumuni ya hii mada, tuache ushabiki kwani hauwezi kutusaidia kitu kabisa..
Mengi pia anayo makosa yake kama binadamu na mfanyabiashara na tutamkosoa kama amevunja sheria.
Lakini hadi sasa hivi kwa maoni yangu Masha kachemsha!.. Ule utawala wa vitisho wa Mkapa na jamaa zake umepitwa na wakati sasa hivi Kikwete amekuja na kizazi kipya na pengine ndioyo baraka ya Uongozi wake pamoja na kwamba yapo mapungufu mengi tu...
 
Kuhani,
Mkuu samahani kidogo, Unaposema huhitaji green card kufanya kazi World Bank una maana umefuatilia maisha na status ya Masha wakati huo Marekani, kusema hivyo ama umechukulia mtu yeyote yule anaweza kufanya kazi World bank bila green card!

Bila samahani Mkandara, au Bob Mkandara, kama ndugu yangu mmoja anavyokuita. Pia anapenda kusema, ndugu yangu huyo anapenda kuanza kwa kusema, heshima mbele. Bahati mbaya mara nyingi tunashindwa kuheshimiana na ndugu yangu huyo. Sad situation.

Anyhow, ukifanya kazi World Bank wewe sio mhamiaji wa nchi hiyo ulipo. Green Card ni hali ya uhamiaji, immigrant status, specifically permanent resident status. Unapopata kazi World Bank, au IMF ama offshoots zingine za UN wewe huna jukumu la kutafuta uhamiaji wa nchi enyeji. Ni nchi hiyo yenyewe ndio imekubali kuwa mwenyeji wa ofisi za jumuiya hizo za kimataifa na wao ndio watajiju katika kukupa haki za uwepo ambazo sio lazima ziwe umamiaji wa kudumu.

Pale Arusha, kwa mfano, sisi ni wenyeji wa Wakenya, Waganda, Waburundi na wa Rwanda katika EA Community. Hawa hatuwaulizi vibali vya kudumu vya kuishi Arusha. Hawakutaka kuishi Arusha isipokuwa kwa kazi za jumuiya.

Similarly, the US does not, it can not, require immigrant status, especially permanent residence, of anybody in the employ of a world body that they have agreed to host in their own volition.

"Lau" asingehitaji Green Card kufanya kazi World Bank katika ofisi zilizoko Marekani, au mahala pengine popote pale duniani. Lakini hata hivyo this is a moot point kwa sababu FMES ameshakubaliana na mimi kwamba Waziri "Lau" hakuwahi kufanya kazi World Bank, kinyume na alivyo indicate mwanzoni.
 
Kuhani,
Mkuu sawa lakini kama Mkenya huyo alikuwa akiishi Arusha na kaomba kazi akiwa Arusha Je, haiwezekani kabisa kuwepo na utaratibu tofauti...
Navyofahamu mimi haya mashirika kukuombea work permit ni lazima kweli wanakuhitaji wewe lakini kama ni kazi ya Udereva ama kazi ambayo kuna mtu mwingine pale raia ama mwenye greencard au work permit na anaiweza kazi hiyo hawana sababu ya kukuombea Work Permit..How knows labda Masha working permit yake ilikwisha na alikuwepo pale chini ya meza aki process hiyo greencard..
Unaweza kuwa na mtu ndani WB akakushauri - a tip - utafute Work permit wewe mwenyewe ama uwe na green card utaipata kazi fulani..Hili pia lawezekana au sio?
 
Jmushi1,
maneno yako sawa kabisa isipokuwa nadhani tunatoka sana nje ya mada hii kwa kuuliza vitu ambavyo majibu yake sii rahisi kupatikana. Navyofahamu mimi kila mtu hapa duniani ana bahati yake, Nafasi yake na hata utaratibu wake wa maisha tofauti na mtu mwingine kwani maisha yetu sote hayako programmed..Na hata hayo mashirika pia kila moja lina utaratibu wake sio lazima mwajiri akapokea watu kwa sheria moja kwani sisi sote tuna background tofauti. Inawezekana kabisa kuwa Masha alihitaji kwanza Green card ili apate kuishi Marekani na swala la kazi World bank lilifuatia tu..au sababu nyingine yeyote ile ambayo sio lazima ifanane na ya Kuhani ama FMES.. wote sisi wazamiaji tu kila mtu aliingia na tungi lake!

Kafanya kazi WB au hakufanya binafsi sioni sababu ya hawa jamaa zetu kurushiana marungu humu ndani kwani sote tumefanya kazi ktk mashirika makubwa kama hayo lakini ukweli unabakia kuwa tumebea box tu huko nyuma ya jengo..
Hata kama masha alikuwa ofisa ndani WB bado haitupi picha ya kile alichokifanya kuhusiana na haya ya Mengi... nadhani wakuu zangu tutulize mpira, turudi ktk nia na madhumuni ya hii mada, tuache ushabiki kwani hauwezi kutusaidia kitu kabisa..
Mengi pia anayo makosa yake kama binadamu na mfanyabiashara na tutamkosoa kama amevunja sheria.
Lakini hadi sasa hivi kwa maoni yangu Masha kachemsha!.. Ule utawala wa vitisho wa Mkapa na jamaa zake umepitwa na wakati sasa hivi Kikwete amekuja na kizazi kipya na pengine ndioyo baraka ya Uongozi wake pamoja na kwamba yapo mapungufu mengi tu...

Sidhani sana kama ni nje ya mada.....At least sidhani kama ni moja kwa moja kwasababu maneno kuwa alifanya kazi WB and so on si yametoka kwake kama yale ya siku saba?

Tukianza kuangalia anayosema basi tunajiuliza pia ni kwanini alisema alisubiri green card...Sidhani kama tuna relate directly situation hizi mbili isipokuwa kauli zake zote alizowahi kutowa na hata mambo aliyoyafanya ie kwenda Keko ni issue zitakazoibuliwa hapa na pale kwenye mjadala huu...Provided bado uko...Nadhani.
Nadhani pia alishasema alijaribu kum protect Mengi...Ok tukianza tena kujadili kuhusu siku saba za kumprotect ndugu Mengi tutakuwa nje ya mjadala?
 
Manitoba,
Mkuu kumuuliza au kubishana na FMES habari za New York (since 1984) ni sawa na kubishana na Kuhani habari za Bongo!.. ushahidi wa nini wakati yeye ndiye mjini!
 
Nasikitika hii mada imegeuzwa kuwa ni nani anamhafamu nani na kwa ukaribu gani. Honestly, who cares?? Kwanini tusijadili mada yenyewe, je Masha anahusika au ahusiki katika tuhuma alizotoa Mengi? Je, Masha amevuka mstari wa uadilifu kwa kuchukua chuki binafsi na kutaka kummaliza Mengi? Kama watu hawana undani wa taarifa, kwa heshima naomba muache kuchukua nafasi binafsi na kumtetea Mengi au Masha. Hivi ndivyo JF inashuka hadhi!

Kwa heshima na taadhima, wasalaam

Tatizo hapa kila mtu anataka kujionyesha anamjua nani na anajua nini. It's always been like this. There are too many almighties and Mr. know it alls....
 
Samahani nilitaka kusema Halisi badala ya Kuhani... utanisamehe mkuu.
 
Kumbe tuna waziri Obama URT? this is news to me!
 
Nyani Ngabu,
Uzee tena mkuu hatuwezi kuwa sawa...

Lusajo,
Mkuu jamaa kamaliza masters 1993 na ajira ya kwanza iliyoandikwa ni 1995. kati ya hapo alikuwa akifanya nini!... besides jamani hii kweli ni kazi yetu kujua kama alifanya kazi WB..kafanya hakufanya itapunguza ama kuongeza kipi ktk sakata hili la Mengi! Au wafanyakazi WB wana akili sana hawawezi kufanya makosa alofanya..

Capital Hill,
Bado haijajibu utaratibu wa mtu ambaye tayari yuko Marekani ana green card au Working permit. Je, haiwezi kuondoa taabu ya kurudi nyumbani na kuomba hiyo G4 visa?..
 
Ofcourse...he can see Russia from his Chicago backyard...retarded aah?

Yeah....beyond retarded.....which means he has zipo executive experience. But the cranky old lady doesn't think we have an Obama in the our cabinet...
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 64 (27 members and 37 guests)
Waberoya, Capitol Hill, Field Marshall ES, Gelange Vidunda, grandpa, Haki.tupu, Hauxtable, Hey, KatuleJ, Kichuguu, Mama Subi, Manitoba, Maskini Mimi, Mndundu, moelex23, mtu wa kawaida, Mzee Mwanakijiji, Njimba Nsalilwe, Pipiro, QM, Shakazulu, Sikonge, Ushirombo, Verily Verily

thread inaendelea....

mpaka kieleweke uko wapi???
 
1.
Huhitaji green card kufanya kazi World Bank!!Baharia we kitambo maisha haya, mbona unaniangusha tena kwenye issue za safari na za Wazee wa nondo tena ?

- Kama nilivyosema unahangaika tu hoja siioni, ni nani aliyesema kuwa huwezi fanya kazi World bank bila green card? Who said that?

2.
Siijui, sijadai na hutaniona nadai kujua chochote cha US au cha Usangi. Usangi. Tena "weledi na wajuzi" feki nawachukia kama janga la kideri. Ila chochote ninachoandika hapa kuhusu US kuna ma elfu na labda malaki ya Wabongo wanaoishi US wanasoma. Nikisema michemsho ya uongo hapa trust me kuna ma vigilantes wapo chonjo wanangoja kurusha madongo, you will know, trust me.

- Ndio maana haikuwa tatizo kukuelewa kwenye ishu ya Dr. Masau, maana wengi hapa wananishi US kama ulivyosema, sasa eti this time utakua unasema ukweli kuhusu Masha na US?.

3.
Issue za Baba hazielezei, haihalalishi, mtoto ku- dogde National Service.
Obviously kama aliweza kupeteshwa wakati wengine wote walienda National Service ina maana alikuwa a scion of the privileged class. Sasa matatizo ya Baba ndio yalimfanya iwe rahisi kuingia chuo kifisadi fisadi kweli ? You got it backwards Field Marshall.

- Irrelevant na pure nonesense, has kutoka kwako bingwa wa analytic na critical thinking in JF, it is sad!

4.
So I am a waste of time, which is proof positive that I couldn't be that champion of whatever it is you have just anointed me to be. Kuabika mimi naabika kila siku hapa. Sio hatari. Natukanwa for almost every post and viewpoint that I posit. And you know it. You threw a four letter epithet at me today, I took it in the chin. You know, I take my lumps. "Kuabika" ? Not fazed whatosever. In any event, bado hatujajua "Lau" alivyo dogde National Service na alivyoingia ingia UDSM.

- Haya ni matatizo yako ya binafsi siwezi kukusaidia. Bwa! ha! ha! ha!
 
...Bado haijajibu utaratibu wa mtu ambaye tayari yuko Marekani ana green card au Working permit. Je, haiwezi kuondoa taabu ya kurudi nyumbani na kuomba hiyo G4 visa?..

Ukiwa tayari una permanent residence huhitaji tena Visa nyingine.

Unakumbuka wakati marehemu Ballal kapotea hospitali halafu waandishi wa kibongo wakawa wanamuuliza balozi Green kama Ballali ni raia? Balozi Green akawaambia Ballali akiingia Marekani anaingia na Visa ya kikazi, na hivyo akasema angekuwa raia au permanent resident asingehitaji Visa nyingine!!!!

Kama "Lau" angekuwa na Green Card (permanent resident visa) basi asingehitaji non-permanent Visa, G-4!!!!

Lakini hii ni moot point kwa sababu "Lau" hakuwahi kufanya kazi World Bank. FMES alikosea na amerekebisha.

Mkandara unauliza what's the point of discussing hili la World Bank employment ? Right, there is no point! So drop the issue of green card and visas needed to work for the World Bank!!!

It's a moot point! Poor "Lau" never worked there!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom