Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Status
Not open for further replies.
1.

- Ahsante mkuu na heshima ikurudie pia, ingawa nilishamua kutoka hii mada lakini sina taizo kukujibu kwa kadri ya uwezo wangu wa kuelewa.

2.

- Ina maana msimamo wako huu ni kwa sababu una mgongano wa kimasilahi na waziri wa ndani, au?

3.

- Kutofautiana kwetu mawazo haina maana ya ushabiki wa anything, ila ni ku-practice demokrasia to the fullest, mtizamo wako ni kwamba hapa kuna kushabikia mtu, mtizamo wangu ni kwamba hapa kuna utata wa kisheria unahitaji kutatuliwa na pande zote mbili zipewe haki kisheria na ni lazima hii ishu iende kwenye sheria, kusiwe na anything less ili kupata ukweli wa kina na kwa faida ya wananchi in the future.

- Eti waziri wa jamhuri anachemka kwa kusimamia sheria za jamhuri ya kuwalinda wananchi wake ndani ya taifa?


4.

- Mkuu taifa limedumaa kwa sababu ya kutotii sheria, hakuna anayemkatalia Mengi kuwa ana uhakika na anachokisema, lakini ninasema hivi lazima kuwa na utaratibu kisheria, Mengi ana uhakika basi aupeleke kwenye sheria ili kama ni waziri mwenye makosa aabike not only kisheria bali hapa sasa hoja ya kumtaka ajiuzulu inakua na nguvu akifikia mahali akiabika kisheria,

- Sina tatizo na Mengi as individual anajua hilo, lakini nina tatizo kubwa na the way alivyoi-handle hii ishu, in fact toka ile ishu ya mashehe nilishaanza kua na wasi wasi naye na agenda zake, mkuu hili litakua ni taifa la namna gani ambalo wananchi watakurupuka tu na kuwarekodi wengine kwenye video na tapes, halafu kwenda kwenye media na kuwatishia nazo, wewe huoni kuwa huo ni u-Banana Republic? Sheria iko wapi?

- Sasa mwananchi anadai kuna waziri anamhujumu, kudai wkangu sheria itumike kuamua ukweli wa hii tuhuma kunanifanya niwe na beef na kampuni za Mengi? Hujanitendea haki hapo mkuu![/SIZE]


Mkuu Fmes heshima mbele as u used to say!
Hyo ni maono yangu tu mkuu na always huwa sipendi kudhulumu kile ninachokifikiria juu ya issue fulani, hayo niliyoyasema ndio ninayoyafikiria sasa kama nimekukwaza mkuu wangu naomba unisamehe ila niliyoyasema ndo nimeshayasema siwezi kuyabatilisha, ni matumaini yangu hujaghafirika sana mkulu wa kaya.
 
Zitto faces Masha

2008-12-07 12:15:36
By Staff Reporter


Kigoma North MP, Zitto Kabwe, yesterday named the Minister for Home Affairs, Lawrence Masha, as the one who presented the proposal on how to ruin the business muscle of IPP`s Executive Chairman, Mr Reginald Mengi, at a high ranking meeting involving a number of senior cabinet ministers.

Talking to The Guardian on Sunday yesterday, Zitto said he had evidence to the effect that Masha tabled the suggestion that Mengi`s media outlets were in the forefront of fighting corruption, which was giving the government a very hard time, hence strategies be put in place to bankrupt Mengi, and consequently weaken his media.

But, Minister Masha strongly denied the claims by the Kigoma North legislator, insisting that the latter should prove beyond reasonable doubt by submitting his evidence to the concerned authority.

Zitto said he had no agenda in supporting Mengi personally, but said he cannot keep quite when he witnesses efforts to punish a patriotic Tanzanian who has been in the forefront of fighting grand corruption because of his love for his people.

Furthermore, he said the media in the country has been doing a tremendous job of uncovering graft and fighting grand corruption, and therefore it is the duty of all patriotic Tanzanians to stand up for the media and press freedom.

Zitto declined to reveal the names of ministers who attended the meeting, saying he would do so when the right time comes, but insisted that the plot against Mengi was there.

He was speaking from Buchosa constituency where he had just held a public rally dubbed `Operation Sangara`, launched by Chadema last month to strengthen his party across the country.

The MP made it clear that he was ready for any legal actions, but insisted that Mr Masha was the author of the move to silence the IPP\'s Executive Chairman, adding that he had very clear evidence to prove his claims.

He also challenged the minister to resign if proven beyond reasonable doubt that he was the man behind the ill-conceived plan to \'destroy\' Mr Mengi and his business empire.

Contacted yesterday about the claims by Kigoma North MP, Mr Masha said, ``I have no problem as long as he(Zitto) submits evidence to prove these serious allegations against me.``

``I don`t have a problem with Zitto`s words. However, I am asking that they all present evidence that I planned a secret move to fleece Mengi.

If they dont trust me, they can take their evidence to the President, or the Prime Minister or even call international media and present it to them. If proven, I will resign immediately,`` Masha said.

The minister clarified that the seven days ultimatum he had given Mengi to present the evidence, was actually aimed at protecting him, but wasn`t a threat as reported yesterday.

In another move, Chadema`s Director of Youth Affairs John Mnyika, while opening the party`s youth forum in Dar es Salaam yesterday, urged youths to stand firmly on the war against corruption without succumbing to threats such as the ones levelled against Mengi.

``In my view, Masha has overreacted by asking Mengi to present evidence within seven days. How come when Reverend Christopher Mtikila accused Mengi of being among the killers of late Chacha Wangwe, Masha didn`t say anything?

We are very surprised by Masha`s statement, we think he would have investigated before claims before making such statement, `` Mnyika said.

He reminded Chadema youths that it was their responsibility to fight for the truth on behalf of the society and that when they see one of the young leaders making a mistake, they should be in the forefront to correct him/her.

He insisted that the fight against corruption still requires a big push, for only 10 per cent has been tackled so far.
SOURCE: Sunday Observer
 
Zitto declined to reveal the names of ministers who attended the meeting, saying he would do so when the right time comes, but insisted that the plot against Mengi was there.

Yale yale... sarakasi tupu!
 
Nadhani hapa kuna namna ya kujishuku, Mengi anaweza kuwa mkweli kwa kusema na kuweka ukweli wote hadharani na hapo ndo tutajua ni kwanini kuku alivuka barabara



RUSHWA NI ADUI WA MTU, AMANI BILA HAKI NI MAZINGAOMBWE
 
Yale yale... sarakasi tupu!

Mkuu hakuna sarakasi wala judo hapo. Wakati Slaa akitangaza list of shame pale temeke nani aliamini ingekuwa chanzo kizuri cha leo hii kuona vigogo wakubwa wakilala selo? ukweli ukijulikana usemwe tu. tatizo lenu wengi ukiona kitu kimesemwa na mwana upinzani mwaishia kuona ni majungu ya kisiasa lakini kikisemwa na JK mnaona aah kweli kweli.

Masha kama kweli hausiki, aende mahakamani. Wangapi walimtishia Slaa atoe ushahidi wa tuhuma laa sivyo ataishia jela na hakuna hata mmoja aliepeleka pua mahakamani. Tunangoja kwa hamu kuona masha akienda kuomba asafishwe jina la sivyo JK you ha have to do something unless na wewe ni sehemu ya mpango wa kummaliza mzee mengi.

Viongozi kama hawa hatakiwi aombe kujiuzulu bali mkuu wake amfute kazi tu. JK ukiyafumbia macho haya kwa sababu zozote zile ujue na wewe hatutakuonea haya ifikapo 2010.

Tutaonana wabaya haya shauriako JK na mtu wako Masha
 
"The minister clarified that the seven days ultimatum he had given Mengi to present the evidence, was actually aimed at protecting him, but wasn`t a threat as reported yesterday."


Iweje umpe mtu siku saba za kuleta ushahidi , halafu ubadilike kwamba hicho si kitisho.

sakata la kumfilisi Mengi niliwahi kulisikia kwenye mkutano wa Sullivian uliofanyika december mwaka jana Huko washington Dc. nilipuuza kwa sababu sikuona kama kuna motive. Ni kweli limejadiliwa sana ndani ya serikali. sasa ni akina nani wanataka hivyo na kwanini panya wanafanya kazi usiku kucha kunusa. tatizo hapa sio magazeti yake iko kitu kubwa ni nini???
invisible kazi ianze.

Masha ajiuzulu kwa kutishia wawekezaji wazawa. kwanini wabambikeze kodi kama mengi, hii ni tabia iliyojijenga ndani ya serikali yetu kama wanakuona huna mpango nao wanataka kukuwa au kukufilisi, kama wewe huishabikii CCM unakua adui wao. ni lazima kukomesha hii tabia la sivyo watamaliza wengi.

Utawala wa sheria ndio suluhisho pekee, hii hali ya kiongozi kuwa na majibu ya kibabe itaisha pale sheria zitakapofanya kazi.
na kodi zetu lazima zithaminiwe , sio wazitumie kututukana badala ya kufanya kazi.
Masha unadahalilisha degree zako za sheria ... aibu sana. Ukimfilisi mengi then who next siasa za udikteta zinaanza taratibu halafu zinazaa watoto .. vita na kuuana.
 
Mkuu hakuna sarakasi wala judo hapo. Wakati Slaa akitangaza list of shame pale temeke nani aliamini ingekuwa chanzo kizuri cha leo hii kuona vigogo wakubwa wakilala selo? ukweli ukijulikana usemwe tu. tatizo lenu wengi ukiona kitu kimesemwa na mwana upinzani mwaishia kuona ni majungu ya kisiasa lakini kikisemwa na JK mnaona aah kweli kweli.

Masha kama kweli hausiki, aende mahakamani. Wangapi walimtishia Slaa atoe ushahidi wa tuhuma laa sivyo ataishia jela na hakuna hata mmoja aliepeleka pua mahakamani. Tunangoja kwa hamu kuona masha akienda kuomba asafishwe jina la sivyo JK you ha have to do something unless na wewe ni sehemu ya mpango wa kummaliza mzee mengi.

Viongozi kama hawa hatakiwi aombe kujiuzulu bali mkuu wake amfute kazi tu. JK ukiyafumbia macho haya kwa sababu zozote zile ujue na wewe hatutakuonea haya ifikapo 2010.

Tutaonana wabaya haya shauriako JK na mtu wako Masha


Talk abt kutishia kwenda mahakamANI hata Slaa alitishia kumpelekea Mahakamni Mtikila mpaka leo kimya!

Mengi anajimalize mwenyewe " if u can kill some-one by giving a sugar, why give him a poison?"
 
Yale yale... sarakasi tupu!
Mkuu,hata sarakasi nazo huitaji 'Ufundi' wa namna fulani hivi,huwezi kubinukaX2 tu,utavunja uti wa mgongo hivihivi.....pana kitu hapa...we kuwa mvumilivu kiduuuchu!!
 
Hivyo Masha naye mwanasheria! Alikariri, kazawadiwa, au ........!
 
The best advice I can give to Masha, is that he should hand in his resignation soonest lest he is disgraced!!
 
Mengi haoti! Hawazikuwa na ujasiri wa kuongea upupu mbele ya watanzania. Nafikiri kwa Masha kazi anayokubwa!
 
Nafikiri ndo maana akatumia udhamana wa uwaziri wa Mambo ya ndani kumvaa Mengi.
Napenda kufahamu kama TBC 1 walimwita au yeye mwenyewe aliomba kwenda kwenye kipindi ili awauzie woga watanzania!Kazi anayo!
 
Hiviiiii...whats wronging Tanzania? Kila siku script mpya isiyoeleweka utafikiri movie ya nollywood. Flippin' 'ell!!!
 
Hivyo Masha naye mwanasheria! Alikariri, kazawadiwa, au ........!

Ni mwanasheria,Hapo ndo unaona tattizo! Kafanya mauza uza IMMMA akapata hiyo dhamana then anawatisha watu.Anafananisha deep green,tangold na IPP
 
Hiviiiii...whats wronging Tanzania? Kila siku script mpya isiyoeleweka utafikiri movie ya nollywood. Flippin' 'ell!!!

The same thing that, to use your wonderful term has been "wronging" Tanzania for many years;

Corrupt, Incompetent leaders.

Masha needs to resign. His behaviour is beyond pathetic and unbecoming of a cabinet minister. A complete embarassment.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom