Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Status
Not open for further replies.
Hivi hizo siku saba alizotoa Masha ni kwa sababu gani?
kwani ni yeye aliyetaja na Mengi? maana kama sisahau sikusikia Mengi akitaja jina lamtu yeyote pale.
Mbona amewahi kujihisi kwamba ni yeye? na hili ndilo lilimpeleka kule Keko? alikwenda kuwaambai wezi wenzie "ngoja nitamkomesha?"
Amuulize Masilingi ambaye hata yeye alijaribu anachofanya sasa na atamwambia pale ni moto wa kuotea mbali.
 
Haya mambo ya kusema siku saba,ndiyo yaliyomwangusha Mrema alipokuwa Waziri wa Mambo ya ndani. Halafu Mrema alikuwa anawapa hawa watu siku saba,waripoti ofisini kwake,wakienda kule,wanakuta Mrema hayupo,amekwenda Marangu,kijijini kwake. Kwa hiyo,wanakwenda mpaka Marangu.
Ndiyo mambo yaliyomwangusha,kwa sababu watu walikuwa wanauliza,watu kama I. G. Hamza Aziz,wanauliza,inawekuwaje leo,miaka arobaini baada ya Uhuru,Mrema anawaambia hawa watu,nakupa siku saba.?
Kwa hiyo hakuna utamaduni wa uhuru,kama ilivyo America. America waliwapa uhuru watumwa. Siyo kwa vile tu Lincoln alitoa amri kwamba anataka watumwa waachiwe huru,isipokuwa kwa vile,kulikuwa na mjadala mkubwa Marekani,watu wanasema mambo haya ya kuwafanya wengine watumwa ni mambo ya kizamani,hayana faida yoyote.Hata ukiona katika vitabu vya Mark Twain mwandishi maarufu wa Marekani wakati ule,katika hadithi ya Tom Swayer,kwa mfano,jinsi mtumwa anavyotoroka,kwa msaada wa Tom Sawyer. Halafu baadaye linamfikia tangazo yule mtumwa kwamba amekwishaachiwa huru,wakati yule mtumwa amekwishatoroka toka zamani.
Kwa hiyo,mambo ya udhalimu yanatokea iwapo tu yanakuwepo mazingara mazuri kwa ule udhalimu.
Masha anamtukana Mengi kama vile hajasikia kwamba Duniani kuna Financial Crisis,na lwamba viongozi wa Business ndio watakaiongoza Dunia kutokana na hii hali
 
Zitto apasua jina la waziri kijana

2008-12-07 13:37:18
Na Mwandishi Wetu

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, amesema ana ushahidi kuwa, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha ndiye aliyepeleka hoja ya kumhujumu Mwenyekiti wa IPP, Reginald Mengi katika vikao vya juu na kwamba taarifa hizo alithibitisha kuzipata jana.

Akiongea na Nipashe Jumapili jana, Zitto alisema waziri huyo, kwa taarifa alizonazo za kuaminika, alitoa hoja kuwa vyombo vya habari vya IPP vimekuwa mstari wa mbele kupiga vita ufisadi na hii inailetea matatizo serikali.

Hivyo, aliomba serikali ipange mikakati ya kumfilisi Mengi, kitendo ambacho kitasababisha kudhoofishwa kwa vyombo vyake vya habari ambavyo vitashindwa kuendelea kuupinga ufisadi.

Zitto alisema yeye hana sababu ya kumtetea Mengi ila hawezi kunyamaza kuona Mtanzania anayeipenda nchi yake na kulazimika kupinga ufisadi anafanyiwa hujuma.

Aidha, Zitto aliliambia Nipashe Jumapili kwamba, vyombo vya habari vimekuwa mstari wa mbele kuanika maovu ya ufisadi na vyombo hivyo lazima vilindwe na Watanzania wote wazalendo.

Akijibu hoja ya Mengi iliyotolewa jana kuwa yupo tayari kutupwa jela ikithibitishwa kuwa amedanganya na kumwomba Masha pia aseme kama atakuwa tayari kujiuzulu iwapo ukweli wa maneno ya Mengi yatathibitishwa, Masha aliliambia Nipashe Jumapili kuwa hawezi kujiuzulu kwa sababu nia yake ya kuwaagiza polisi kufanya uchunguzi ni kumlinda Mengi.

Alisema kutokana na taarifa ambayo Mengi aliipeleka kituo cha polisi cha Oysterbay, polisi wameamua kuifanyia uchunguzi ili kuhakikisha maisha yake yanakuwa salama.

``Nia ya serikali ya kuchunguza tuhuma zilizotolewa na Mengi ni kuhakikisha kuwa tunamlinda,`` alisema Masha na kuongeza kuwa hana tatizo na maneno yaliyotolewa na Zitto ili mradi awe na ushahidi.

Amesema, hata kama hawamuamini, basi waupeleke huo ushahidi kwa Rais au Waziri Mkuu kuuonyesha na kama ikibainika kama ni kweli yeye ndiye anayemhujumu Mengi, basi atajiuzulu.

Akasema kuwa yeye hakusema kuwa atamshughulikia Mengi kama alivyonukuliwa kwenye baadhi ya magazeti ila alisema kuwa sheria itachukua mkondo wake kama ikibainika kuwa tuhuma zilizotolewa ni za kweli.

Akiongea na TBC1 juzi, waziri Masha, alisema kuwa kama Mengi ana ushahidi wa tuhuma alizotoa, serikali haitapata shida ya kuhangaika na ushahidi na imemtaka apeleke ushahidi huo.

Kuibuka kwa sakata hilo kunatokana na Mengi kumtuhumu waziri mmoja kuwa ameagiza abambikiwe kodi bandia ya kiasi kikubwa atakachoshindwa kulipa ili hatimaye afilisiwe.

Alimtuhumu waziri huyo kuwa amekuwa akimtumia ujumbe wa vitisho kutokana na vyombo vyake vya habari kuwa mstari wa mbele katika kupigia kelele ufisadi.
Akifungua kongamano la kuwajengea uwezo vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa vijana wa chama hicho, John Mnyika, aliwataka vijana kuendeleza vita ya ufisadi na kutokatishwa tamaa na vitisho vinavyotolewa na baadhi ya watu.

Aliwakumbusha vijana kuwa ni wajibu wao kupigania haki zao kwa manufaa ya taifa na kwamba wanapaswa kukosoana pindi mwenzao anapofanya vibaya.

``Kwa maoni yangu naona kama kauli ya Masha ya kumtaka Mengi awasilishe ushahidi ndani ya siku saba ni ya kukurupuka kwa kuwa mbona nilipotuhumiwa na Mtikila kwamba nimeshiriki kumuua Chacha Wangwe hakusema lolote hadi leo?

Tunashangazwa sana na kauli ya Masha, tulidhani labda angechunguza kwanza kabla hajazungumza na katika hili nawaomba vijana muwe makini na vijana kama hawa na muwakosoe waziwazi,`` alisema.

Alionya kuwa iwapo vijana hawatakosoana jamii itapoteza imani juu ya utendaji wao na kuondoa matumaini ya taifa kuhusu umuhimu wa vijana.

Hata hivyo,alisema vita dhidi ya ufisadi bado ni kubwa kwa kuwa ni asilimia 10 tu imetekelezwa.

``Msibweteke na ushindi huu, ufisadi unaozungumziwa ni wa utawala wa Mkapa, katika awamu ya nne kuna ufisadi kama wa Richmond na Buzwagi kwa hiyo tunapaswa kupambana zaidi,`` alisema.

SOURCE: Nipashe
 
Zitto faces Masha

2008-12-07 12:15:36
By Staff Reporter


SOURCE: Sunday Observer

Kigoma North MP, Zitto Kabwe, yesterday named the Minister for Home Affairs, Lawrence Masha, as the one who presented the proposal on how to ruin the business muscle of IPP`s Executive Chairman, Mr Reginald Mengi, at a high ranking meeting involving a number of senior cabinet ministers.

Talking to The Guardian on Sunday yesterday, Zitto said he had evidence to the effect that Masha tabled the suggestion that Mengi`s media outlets were in the forefront of fighting corruption, which was giving the government a very hard time, hence strategies be put in place to bankrupt Mengi, and consequently weaken his media.

But, Minister Masha strongly denied the claims by the Kigoma North legislator, insisting that the latter should prove beyond reasonable doubt by submitting his evidence to the concerned authority.

Zitto said he had no agenda in supporting Mengi personally, but said he cannot keep quite when he witnesses efforts to punish a patriotic Tanzanian who has been in the forefront of fighting grand corruption because of his love for his people.

Furthermore, he said the media in the country has been doing a tremendous job of uncovering graft and fighting grand corruption, and therefore it is the duty of all patriotic Tanzanians to stand up for the media and press freedom.

Zitto declined to reveal the names of ministers who attended the meeting, saying he would do so when the right time comes, but insisted that the plot against Mengi was there.

He was speaking from Buchosa constituency where he had just held a public rally dubbed `Operation Sangara`, launched by Chadema last month to strengthen his party across the country.

The MP made it clear that he was ready for any legal actions, but insisted that Mr Masha was the author of the move to silence the IPP\'s Executive Chairman, adding that he had very clear evidence to prove his claims.

He also challenged the minister to resign if proven beyond reasonable doubt that he was the man behind the ill-conceived plan to \'destroy\' Mr Mengi and his business empire.

Contacted yesterday about the claims by Kigoma North MP, Mr Masha said, ``I have no problem as long as he(Zitto) submits evidence to prove these serious allegations against me.``

``I don`t have a problem with Zitto`s words. However, I am asking that they all present evidence that I planned a secret move to fleece Mengi.

If they dont trust me, they can take their evidence to the President, or the Prime Minister or even call international media and present it to them. If proven, I will resign immediately,`` Masha said.

The minister clarified that the seven days ultimatum he had given Mengi to present the evidence, was actually aimed at protecting him, but wasn`t a threat as reported yesterday.

In another move, Chadema`s Director of Youth Affairs John Mnyika, while opening the party`s youth forum in Dar es Salaam yesterday, urged youths to stand firmly on the war against corruption without succumbing to threats such as the ones levelled against Mengi.

``In my view, Masha has overreacted by asking Mengi to present evidence within seven days. How come when Reverend Christopher Mtikila accused Mengi of being among the killers of late Chacha Wangwe, Masha didn`t say anything?

We are very surprised by Masha`s statement, we think he would have investigated before claims before making such statement, `` Mnyika said.

He reminded Chadema youths that it was their responsibility to fight for the truth on behalf of the society and that when they see one of the young leaders making a mistake, they should be in the forefront to correct him/her.

He insisted that the fight against corruption still requires a big push, for only 10 per cent has been tackled so far.


SOURCE: Sunday Observer


My take!!
Guys, angalieni hii statement kama nakosea mnisahihishe! Hapo nilipo bold, it was aimed at protecting him?? Sasa kama mzee Mengi hakutaja jina kama ilivyoripotiwa huko nyuma na Mh. Masha akatoka public kujidefend!! 1+2 = 6 kuna haja gani ya kumtaja huyo waziri!! Huyu anayejidefend kwanini anataka huyo waziri atajwe wakati kisha jitaja mwenyewe?? Kama sivyo basi anajiprotect kwa lipi? Kwamba inahusu ofisi yake ama ambaye anawezwa tajwa ni swahiba wake!!! Obviously ni yeye just by simple logic!!
 
Masha thought he was preaching from the pulpit. He expected an "amen" response from the faithful. Alas! unexpectedly, it was a public uproar. Eti mwanasheria, teh teh teh! usitake ncheke!.
 
I do hope the author has facts and not hear say. Slaa na Mtikila tulikutana wapi nikataka kumpeleka Mahakamani? Nadhani vema kuwa na records correct.


Talk abt kutishia kwenda mahakamANI hata Slaa alitishia kumpelekea Mahakamni Mtikila mpaka leo kimya!

Mengi anajimalize mwenyewe " if u can kill some-one by giving a sugar, why give him a poison?"
 
Dr.W.Slaa
Dr.W.Slaa has no status.
Senior Member Join Date: Tue Jul 2008
Posts: 93
Rep Power: 21

Thanks: 283
Thanked 623 Times in 88 Posts
Credits: 9,947

Re: Zitto faces Masha

--------------------------------------------------------------------------------

I do hope the author has facts and not hear say. Slaa na Mtikila tulikutana wapi nikataka kumpeleka Mahakamani? Nadhani vema kuwa na records correct.


Quote:
Originally Posted by Masatu
Talk abt kutishia kwenda mahakamANI hata Slaa alitishia kumpelekea Mahakamni Mtikila mpaka leo kimya!

Mengi anajimalize mwenyewe " if u can kill some-one by giving a sugar, why give him a poison?"

Masatu najua uliandika hukujua kwamba Dr yuko hapa. Sasa naomba ujitetee au ufute kauli😀
 
I do hope the author has facts and not hear say. Slaa na Mtikila tulikutana wapi nikataka kumpeleka Mahakamani? Nadhani vema kuwa na records correct.

SHIKAMOO Mzee Silaa kwa heshima zote.
 
wud differ here: Mengi ni mtu mtu tajiri na prominent business man hapa kwetu (a successful businessman); Masha ni successful young man to be at his post at that age; they shud have taken a wise decision; and we expect wisdom from the two. For sure hii ndiyo ina prove how hapa kwetu watu wenye vyeo na wenye pesa hawana discipline! These people had time to contact each other even before going to media stalls. They shud be very busy working as they hav more important priorities than what they are doing now! Hapa ni ubabe tu, huyu anajua ana cheo na huyu anajua anayo-pesa; cowards!

approach was to seek elders or even the president and talk it friendly!

Tuchukulie wewe ndio Mengi. Halafu unasikia tetesi (ambazo pengine sio za kweli) kwamba wahasimu wako wanampango wa kukubambikizia kesi ili wakufilisi kwa sababu ya vyombo vyako kupigia kelele ufisadi. Wouldnt u see that your all your so important priorities are being threatened here? Wouldn't u reflect jinsi gani it is easy huku kwetu watu kubambikiwa kodi? Je ungekaa kimya and do nothing kwa sababu una displine au you have more important priorities? Kama ndio basi pengine ndio tofauti yako na huyu mzee. Yeye anaajiri mamia kama si maelfu ya watu; wewe unaajiri wangapi? Mzee anajaribu kuprotect interest zake binafsi kwa njia ambayo anaona inafaa. He knows more about the truth on this issue than we do. Kama on the way anavunja sheria, inabidi awajibishwe kwa mujibu wa sheria. La sivyo nadhani anauhuru wa kutumia resources zote za jasho lake kujitetea. Tusijifanye kama vile tunaelewa sana what he sees as is at stake for him. Huwezi kujua jinsi gani alishtuka kwa hofu alipopata hizo tetesi kwa mara ya kwanza. Mwache afanye anachofanya kutetea himaya yake. Akivunja sheria au taratibu m-blast kadiri unavyoweza.

Tuchukulie sasa wewe ndio Masha. Halafu unasikia mzee anatamka aliyoyatamka. Kama hukuwa umefanya aliyoyasema usingepata hasira angalau kidogo? Je, usingeona kwamba priorities zako zinakuwa threatened hapo? Je, ungekaa chini and do nothing kwa sababu ya hizo priorities zako na displine yako? Kama ungekuwa unajua ni ya uongo, na wewe ndio unajua abitions zako na plans za maisha yako, na ndiye unayejua what is at stake kwako, usingeona kama hii ni threat kubwa kwako ama kuna njama za hatari dhidi yako? Kama ni kweli ulifanya hayo anayoyasema Mengi, usinge-panic kidogo? Kama ni kweli, usingejiuliza nani kavujisha, na usingependa kumjua? Masha anajaribu kuprotect interest zake binafsi kwa jinsi ambavyo anaona inamfaa yeye zaidi. He knows more about the truth on this than we do. Kama on the way anavunja sheria, inapaswa awajibishwe kwa hilo. La sivyo tusijifanye kama vile tunajua zaidi kuhusu ukweli wa hili swala kuliko yeye. He knows the truth. Sisi tuna speculate. Let him do what he has to do to clear his name as he sees fit. Akivunja sheri au taratibu m-blast as you much as u can.

Bottom line: watu wanafanya maamuzi kuendana ni nini wanakijua na nini wanakiamini. Ukweli ni kwamba wahusika wanajua zaidi kuhusu ukweli wa hii issue kuliko sisi. Kuwa mshauri wao unahitaji kujua wanayoyajua, na pengine tusione kama solution zao ziko rahisi kama unavyoiweka.

Tuchukulie Masha kwa mfano. Masha anajua fika kama hizo tuhuma zilizo elekezwa kwake ni za ukweli ama la. Anajua kama alifanya hayo ama la. Sasa wewe ukimshauri ukiwa una-assume kwamba hakufanya, kuna kauwezekana unampa ushauri mbaya kama alifanya. Na ukimshauri ukiwa una-assume kwamba alifanya, pia kuna kauwezekano kwamba unampa ushauri mbovu kama hakufanya. Mbaya zaidi ni kama ukimpa ushauri wakati uaasume both au neither lol. Mabaya mbaya zaidi ni pale unapo-assume kwamba busara zao zina-desire certain outcomes ambazo wewe ndio una-desire.

Ningependa sana mtu ambaye anaielewa Game Theory ( Game theory - Wikipedia, the free encyclopedia ) afanye kaanalysis kalikoenda shule atupe mathematical side of this as there is not truth outside mathematics. 🙂

Labda mzee GT anaweza kutupa msaada ...
 
Kila wakati Masha akiongea ndio kwanza anazidi kujifunga kamba za miguu... bora akae kimya tu, itamsaidia...


ndio maana nikasema inabidi masha awe low profile
huku akitafuta issue moja ya "kutokea".
washauri wake wanayo kazi
 
I do hope the author has facts and not hear say. Slaa na Mtikila tulikutana wapi nikataka kumpeleka Mahakamani? Nadhani vema kuwa na records correct.

Dr Slaa,

Hiyo nimeipata kupitia magazeti yetu wakati ule wa kinyang'anyiro cha Tarime. Let me dig in my archives to unearth that particular paper. But if you categorically deny to have made such attempt I would be more than happy to take it back and personally apologise to you for any inconveniences caused.

Thanking you in advance
 
masha anasema anamprotect mengi kisha anatumia maneno
asipothibitisha atakiona cha mtema kuni; mara atakiona cha
moto na maneno yanayofanana na hayo.

ulinzi mwingine bwana!
 
Dr Slaa,

Hiyo nimeipata kupitia magazeti yetu wakati ule wa kinyang'anyiro cha Tarime. Let me dig in my archives to unearth that particular paper. But if you categorically deny to have made such attempt I would be more than happy to take it back and personally apologise to you for any inconveniences caused.

Thanking you in advance

huu ndio uungwana mkuu masatu. chukua tano
 
The minister clarified that the seven days ultimatum he had given Mengi to present the evidence, was actually aimed at protecting him, but wasn`t a threat as reported yesterday.


My take!!
Guys, angalieni hii statement kama nakosea mnisahihishe! Hapo nilipo bold, it was aimed at protecting him?? Sasa kama mzee Mengi hakutaja jina kama ilivyoripotiwa huko nyuma na Mh. Masha akatoka public kujidefend!! 1+2 = 6 kuna haja gani ya kumtaja huyo waziri!! Huyu anayejidefend kwanini anataka huyo waziri atajwe wakati kisha jitaja mwenyewe?? Kama sivyo basi anajiprotect kwa lipi? Kwamba inahusu ofisi yake ama ambaye anawezwa tajwa ni swahiba wake!!! Obviously ni yeye just by simple logic!!

We jamaa ni noma yani. Well spoted ...
 
...Sadly, unayosema ni Kweli. Mengi amesema kuna Waziri kijana anamfanyizia. Waziri amempa mengi siku saba amtaje huyo Waziri. Mengi amesema siku saba ni nyingi hata moja inatosha.

It is Checkmate.
Mengi atasema nangoja kupelekwa mahakamani nitoe ushahidi.
Masha atasema nasubiri ataje jina tumpeleke kwenye vyombo vya sheria.
Checkmate.
Mengi atasema nangoja kupelekwa mahakamani nitoe ushahidi.
Masha atasema nasubiri ataje jina tumepeleke kwenye vyombo vya sheria.
Checkmate.
Mengi atasema nangoja kupelekwa mahakamani ili nitoe ushahidi.
Masha atasema nasubiri ataje jina tumpeleke kwenye vyombo vya sheria.
checkmate.
December
Checkmate.
January 2009.
Chackmate.
April 2009.
Checkmate.
February 2010.....................'Kumbe mlikuwa mnataka viatu vya aina gani??'

C'mon don't u see? Tuchukulie chronology yako ni sahihi. Then, kama kweli kulikuwa na huo mpango, mpango unakufa and Mengi wins maana anakuwa amefanikiwa kulinda himaya yake kutokana na tishio hilo, Masha loses kwa sababu mpango umekufa. Kama kulikuwa hakuna huo mpango, uongo wa mengi hauthibitishwi and Mengi does not loose kwa sababu uongo huo ungethibitishwa ingekuwa bonge la soo kwake, na Msaha does not win kwa sababu anashindwa kuuthibitisha uongo ... ngoma drooo! Mchezo umeisha! 🙂


Game theory - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Jamani huyu Masatu anayeomba radhi huku ndo yule tuliyewahi kusema tusichukulie mambo yake serious au ni kuna mwingine?
Msaada tu!
NB: Ili Mzee Slaa akiona mahali pengine wala asiwe na haja ya kujibu hizi offs!
 
Dr Slaa,

Hiyo nimeipata kupitia magazeti yetu wakati ule wa kinyang'anyiro cha Tarime. Let me dig in my archives to unearth that particular paper. But if you categorically deny to have made such attempt I would be more than happy to take it back and personally apologise to you for any inconveniences caused.

Thanking you in advance

Quote the paper or just apologise to Dr Slaa and get it over with. Yeye amekuambia ni uzushi kwa hiyo hakuna haja ya kuweka vi-conditions visivyo na maana. Kwa nini unataka a-categorically deny hayo anayodai uliyomsingizia kabla ya wewe ku-apologise? Si kesha sema wazi kuwa hakuhusika? Unataka nini zaidi? Either una ushahidi kuwa Dr. Slaa anataka kutudanganya or uliteleza kama sisi wote tunavyoteleza mara nyingi tu. Just apologise. Trust me. Haikupunguzii kitu.

 
Nimewahi kukaa Masha , kula kunywa naye , niligundua kwamba hakuwa tayari kwa madaraka makubwa kama aliyo nayo ,Sijajua kwa nini JK alimpa madaraka makubwa kama haya haki akijua kabisa kwamba bado yu ngali kijana na ujana ni maji ya moto.Sijajua kwamba ndiyo kozi ya uwaziri zinatolewa namna hiyo ila kwa kweli Masha na Uwaziri ule mengi tutasikia.
 
If they dont trust me, they can take their evidence to the President, or the Prime Minister or even call international media and present it to them. If proven, I will resign immediately,`` Masha said.

- I mean ndio maana ninasema hii ishu ifike kwenye sheria, ukweli uwekwe wazi kama waziri ndiye noma ajiuzulu kama anavyosema mwenyewe hapa, hakuna sababu ya kuupeleka ushahidi kwa anybody else, ushahidi upelekwe kwenye sheria ambayo majuzi iliwalaza yona na Mramba lupango!
 
Mkuu Fmes heshima mbele as u used to say!
Hyo ni maono yangu tu mkuu na always huwa sipendi kudhulumu kile ninachokifikiria juu ya issue fulani, hayo niliyoyasema ndio ninayoyafikiria sasa kama nimekukwaza mkuu wangu naomba unisamehe ila niliyoyasema ndo nimeshayasema siwezi kuyabatilisha, ni matumaini yangu hujaghafirika sana mkulu wa kaya.

- Mkuu hoja hujibiwa kwa hoja, sasa ya kukwazika nafikiri kila mwenye akili timamua hapa ataona aliyekwazika hasa ni nani kati yetu, maana maneno yanajisema yenyewe wazi and clear!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom