Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

tafiti then jadili said:
Naam nillipotea kwa muda kutokana na mambo ya hapa na pale na nashukuru nimerejea na kukuta a fair amount of relevant information na watu kurejea katika topic... this is good.

Ndugu yangu katika mapenzi ya nchi yetu Mlalahoi, naona niweke mstari mmoja kukuhusu wewe hapa kwa vile naona umekuwa ukiniandama sana na kila sehemu unaweka jina langu, na kulaumu kuwa kuna ''mada maalum'' huwa nachangia...

Well sijui hii fikra potofu uliyonayo kuhusu uhusiano wangu na jihadist comments umetoa wapi, i have never knowingly let religion of anybody here or in the subjects/personalities i discuss bias me in my views. I never form opinion based on peoples religion/tribes or anything bali maoni yangu hapa na uchambuzi wangu hapa unabase zaidi katika utendaji wa mtu,taasisi au kampuni husika na wachangiaji wa humu ndani nawaheshimu kwa maoni yao sio kwa kuangalia dini zao, beside mtu akijiita Nungwi au Kulikoni, Fikiraduni, Mugishagwe au for that wewe mlalahoi utajua kweli dini yao? ni vigumu lakini unaweza kupata clues kutokana na kauli na michango yao, sasa usichukue njia ya mkato katika mjadala ya kumjadili mjumbe badala ya ujumbe. Sishangai kwa nini unaniandama mimi manake kama alivyowahi kutamka rafiki yangu Mbowe ''MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAOPIGWA MAWE''

Nimeona nikuweke sawa katika hizi prejudices zako kabla sijarejea katika mjadala, nashauri kama una bifu na mimi kumewekwa private messages hapa tumia hiyo tutawasiliana, nimeona katika pahala flani upo hapa UK basi tuwasiliane kwa private messages huko tunaweza hata kuonana ana kwa ana!

Wajumbe wengine mniwie radhi kwa haya lakini kwa faida ya wote niliona nimuwekee hii tanabahi mapema ili kuclarify his misleading remarks against me...

Naam sasa tunaingia katika mjadala wetu wa Mengi:

-Huyu mzee nimekuwa na heshima nae kubwa sana kwa muda mrefu sana kutokana na jinsi anavyojiprotray as mtu mwema na mwenye kupenda disavantaged individuals kama vile walemavu na hata walio wazima ambao hawana uwezo wa kujisupport ipasavyo...yes ni kweli anayoyafanya in terms of his corporate image ni mazuri sana na yanabenefit jamii, hapa London kuna watu wangu wa karibu sana nawafahamu walikutana nae for the first time Heathrow Airport mzee Mengi akiwa nae anawasili wale vijana wakaenda kumsalimia mzee tumekuona tumeona tukujulie hali, alifurahi sana kuonana na watanzania wenzie na akasema mniwie radhi sina kitu kikubwa mfukoni lakini hizi zinaweza kuwasaidieni, hapo hapo akatoa paundi mia tatu kwa wale vijana!

Vijana walikuwa na mwenzao Mlemavu aliekuwa akifanya masters hapa wakamueleza mzee Mengi kuwa kijana anastruggle na ada, mzee akachukua contacts zao na kuahidi kufuatilia, baada ya muda kurejea dar akawapigia vijana simu na kutaka details za chuo alipe ada!

Huo ni upande mmoja wa mengi ambao unatia moyo lakini hapa kwa vile tumepose maswali yanazunguka kadhia nzima ya mabilioni ya shilingi zilizotumiwa na wajanja wachache ambazo binafsi naamini inawezekana ikawa sio mengi bali nae alikuwa lazima aisaidie polisi, haitoshi kusema tu through press release kwamba kuna watu wametumia jina langu...naweka masahihisho hapa kwa taarifa ya mjumbe mmoja kuwa amewaarifu polisi, NO ripoti haikusema hivyo...wala pia haikusema kwamba eti mzee ameripoti kwa Manumba, Mengi ameshawahi kunukuliwa na gazeti lake la THIS DAY akimlaumu Manumba kuwa ''anatumiwa'' na Manji..

Tena kwa kulitaja gazeti hili linalosifiwa sana humu maswali mengine yananijia:

-Hivi inawezekana kweli kama Mengi hakuhusika na kashfa hii ya mabilioni ya fedha [takriban sawa sawa na mabilioni ya kwenye episode yao ya NSSF] gazeti hili likae kimya tu bila kutaka kuingia kwa undani zaidi kutaka ku-uncover the truth na that way kum-exonerate mwajiri wao?

-Naomba niweke sawa kauli hiyo hapo juu ieleweke vizuri... mtu ambae ameanzisha gazeti ambalo lina sifa ya kuwa ni investigative paper na linaonekana na baadhi kama ni serious katika kazi hiyo, halafu atokee mtu/au kikundi cha watu ambao wanatumia jina la mwenye gazeti kujipatia mabilioni ya shilingi, kisha waandishi wa investigative paper wasiulize chochote wala kufutatilia..badala yake wanaweka tu press release ya bosi kisha basi!! HAINGII AKILINI...

Hii habari ni explosive kwa kweli na kama alivyowahi kusema na nikamkariri Mugishagwe ni kuwa kuna deep flaws katika fani ya uandishi wa habari tanzania, haiwezekani mwandishi worth his salt asome hii habari na kisha asifuatilie chochote wakati hapa kungekuwa na a lot of credits na kuliokoa taifa na matapeli wachache.

--Mengi ni mfanyabiashara mahiri na wa muda mrefu ambae anaweza kusifika kwa jinsi alivyohodari wa kusafisha his corporate image lakini I am afraid sipo pamoja na wale ambao wamepublicly declare kwamba they stand by him kwa sababu ameshahusika na kashfa nzito nzito ambazo zinafanya mchango wake kijamii kuwa peanut.

Nungwi:

Hiyo issue ya Manumba, my version ni kuwa anadaiwa na TRA 6 bilioni in terms of unpaid taxes ambazo jamaa walikuwa wanaclose in katika kuipeleka kesi katika mahakama ya madai CIVIL COURT ambayo ilikuwa ni normal kuwa wangemdai hizo pesa au wamfilisi to that tune lakini akasubmit baadhi ya returns ambazo zilikuja kugundulika kuwa ni forgeries ikabidi kesi hiyo iende anti fraud squad [wakati huo IGP ni Mahita] sasa Mahita akazuia uchunguzi usifanyike, faili hilo lilikwenda pia kwa DCI [adadi rajabu], mengi akalainisha njia kwa kuchangia hayo mapesa kwenye msikiti uliopo kijijini kwa adadi rajabu ambao ndio huo na mahita alikuwa mhusika.

Wameingia kina Manumba na Saidi Mwema, kesi imefufuliwa na TRA wanaclose in kwa upande wa madai yao ya bilioni sita!

Ndio maana sasa hivi Mengi ameshamlalamikia Manumba publicly wakati wa sakata yake na Manji... Sidhani kwamba Manji amewabankroll hawa watu kumsakama mengi bali ni Mengi mwenyewe ambae anajiponzea ana madeni mengi sana.

Nafuatilia sakata ya Mengi na kaka yake anaitwa Benjamin ameshirikiana na Felix Mosha kumpa PI British national. Wamemzika pounds 3.5 milioni. Suala hili limeandikwa katika magazeti ya UK na limejadiliwa kwenye House of Commons, mtaisoma hapa hapa...

Sina beef na wewe bali hoja zako.Nashawishika kukuita mjahidina baada ya kushindwa kabisa kuelewa mantiki yako ya kutetea ulaji among vigogo.And if you go through the postings carefully utagundua I'm not the only one disgusted with tabia yako ya kutetea ulaji miongoni mwa vigogo.Tunapozungumzia mada muhimu eg "nini matatizo yatu kama Taifa" huonekani,wala huchangii hoja,tukizungumzia kashfa kama za "uuzaji eneo la jangwani by CCM" unakaa kimya,tukiongelea hili skendo jipya la "gas turbine/Dr Msabaha" unauchuna,etc etc.

To be honest with you,pindi ningekutana nawe ningekuhoji iwapo u-Mtanzania wa kweli au wa kuhamia coz kuna nyakati nashindwa kabisa kuelewa mantiki ya mtu kutetea jambo bila hata kuwa na huruma na wale wanaoumizwa na jambo hilo.Unamshikia bango Mengi kuhusu hayo mabilioni ya UNAIDS wakati huohuo unai-defend NSSF na Manji katika senti wanazokamuliwa walalahoi waliowekeza kwenye mfuko wa umma (unaiita EPISODE...what about this ya fedha za UNAIDS?Seems to me it's becoming longer than Eastenders).Logic yako iko wapi hapa?If Manji and NSSF wako innocent until proven guilty,why not Mengi?

Kuna makundi mawili yanayomzungumzia Mengi:la kwanza ni lile ambalo liko curious kujua kuhusu Mengi just like any other Tanzanian.La pili ambalo linapata nguvu kila siku ni hili la watu ambao wamekumbwa na hoja ya Manji kuwa IPPMEDIA na Mengi wana kampeni dhidi ya Uislam.Kundi hili la pili limekuwa likizungika katika webforums mbalimbali kuibua ishu in forms of contributuions from other members katika kujenga kesi yao dhidi ya adui namba moja wa Uislam TZ.Kundi hili linaona uchunguzi wa This Day na Kulikoni dhidi ya Manji kuwa ni wa maslahi binafsi.

My only prejudice against you ni jinsi unavyotetea baadhi ya unadhirifu na kuushikia bango mwingine (for reasons better known to yourself).Can you TAFITI and THEN JADILI kuhusu kuuzwa kwa viwanja vya Jangwani,ndoto za Mramba kununua ndege nyingine ya serikali,Mkapa kuwa na mansion South Africa,matumizi ya presidential jet by Salma Kikwete,tuhuma za udini NSSF,hela za walalahoi zinavyutumiwa na NSSF na Manji,na hli la mitambo ya Umeme?Au mchango wako katika "nini chanzo cha matatizo ya Taifa letu"?

Ishu ya Benjamin Mengi imefika mpaka kwa Dr Ngasongwa na alijaribu kuwapatanisha na huyo mfanyabiashara wa Kiingereza,ambaye aliomba serikali ya UK iiwekee vikwazo TZ kutokana na ishu yake hiyo binafsi (ombi hilo lilipigwa chini).Habari kuhusu mgogoro huo imekuwa ikiripotiwa na magazeti mengine kwa mfano Mwananchi ambalo halimilikiwi na Mengi.In my little understanding,connection ya Reginald na hiyo ishu ni ukweli kuwa Benjamin ni nduguye.PI inatolewa na Idara ya Uhamiaji,sasa sijui Mengi ndiye DG wa Uhamiaji au vipi.

Mchango wangu wa mwisho katika topic hii ni kwamba kwa wale wenye evidence kuhusu mabilioni yaliyoliwa na Mengi,ni vema wakawasilisha ushahidi huo kwa polisi na DCI (while you keep us informed of your findings).Na kuhusu kudaiwa na TRA,ufumbuzi ni the same😛ut pressure on them to get the money back.One can go even farther kwa "kuwaamsha" UNAIDS na NBC kwamba "mwizi wenu ni Mengi na uthibitisho ni huu".NBC wanaweza kuhongwa wasifanye kitu lakini I'm definitely sure UNAIDS wataudaka "ushahidi huo" kwa mikono miwili.

I stand to be criticized.
 
Ndiyo ni kweli Kapuya ni mdini sana na kaanza kumzulia Mengi kwamba hawapendi Waislam na yeye anakula na Manji .
 
Mzeeshughuli Bwana said:
Ndiyo ni kweli Kapuya ni mdini sana na kaanza kumzulia Mengi kwamba hawapendi Waislam na yeye anakula na Manji .
Nakuunga mkono asilimia 101.
 
MLALAHOI.

Nakushangaa sana kushabikia udini hivi hiyo kazi yako unaifanyeje ukiwa umegubikwa na hisia kama hizi?

Hata hao waliokupa kazi walikupa kwa kigezo gani?nadhani ndio ulitumika ule ule mtindo wa BIMA(NIC) ambako kabila lenu liliundiwa hadi tume kwa kuwa wakabila na wadini zaidi.
kwenye kampuni yako binafsi uliyoianzisha unayoshughulikia mambo ya PR na Investment mimi sijaona muislam hata mmoja uliwashirikisha mbona waislam hawajakuhumu wewe kuwa ni mdini+mkabila?

kuna mwanabodi umesema sio raia kwani hana uchungu na nchi jee hapa inazungumzwa mada ya joyce woo woo? nadhani wewe ndio tuna mashaka na uraia wako na hata kabila lako halina asili ya Tanzania tunakuomba ubehave kama wewe ulivyomsisitiza ADMINISTRATOR.

Ila kama itakuwa kila watu wakitaka kujenga hoja zinaletwa mada za udini ni bora tusijadili kitu tuwe sawa kama chombo chako ambacho kipo kutetea serikali tu.

Pia wewe unafanyia chombo muhimu cha serikali na inajulikana serikali haina dini inakuwaje uwe MDINI na mwenye chuki na waislam kiasi hicho? wewe umejenga hoja dhidi ya MAHITA mimi soni sababu ya kukupinga wewe kwa hilo, kwani anahukumiwa Mahita kama yeye na kwa tuhuma alizo nazo ila tunaona kila kona unaleta hoja za kidini tu jee tuseme hata hoja za kina Mahita unajenga sababu ni Muislam?

nakupa mfano wa wazi NSSF haijajiili wafanyakazi wapya na waliopo waliajiliwa na mkurugenzi mkuu wa zamani (Mkulo) uliza kwa wanaofanya kazi hapo. sasa huyu Dau kawajaza wazaramo na waislamu gani?

Pia Kapuya hakuingiza wafanyakazi wapya Jeshini aliko na wala hakuwa mwanasiasa nyuma ya 1995 lakini tunaambiwa alitaka kugombea Urais 1995.

Kapuya na Dau hawawezi kufanya aliyoyafanya ndugu zako akina Nyakyoma na Gapex,AMON NSEKELA NA NBC au MBOMA wote wawili yule wa Railway na wa jeshi. au Mwandosya

Mlalahoi kabila lako linaogopwa kwa ugonjwa wa ukabila na udini wewe fuatilia NSSF na uone kuna wazaramo wangapi wamechukuliwa au wanyamwezi waliowekwa kipindi cha huo udini mnaodai.
halafu uliza TRA ilivyoajili na hadi sasa kuna ajira lakini hadi jinalako liwe Lyimo,Mushi,mbowe, Kittlya.n.k
huko ndio ulitakiwa ujenge hoja.

wanabodi samahani kama niwewaudhi ila tusipoangalia hizi chokochoko za ukabila na udini zinazoletwa na Mlalahoi hatutafikia lengo wakati forum hii inamsaidia sana ktk profesional yake.

Mimi ni muislam siwezi kuzuia mtu asijadiliwe kisa ni muislam mwenzangu huo utakuwa utoto ambao anauleta Mlalahoi
 
mswahili said:

Mwenyekiti Mao aliwahi kusema "no research,no right to speak".From nowhere unazungumzia kazi yangu na kabila langu as if nimekupatia makazi hapa kwangu.Mie sio mtu wa Mbeya,na kwa kumbukumbu za haraka sina hata ndugu huko Mbeya.As to kazi,mie si mfanyakazi,ni mwanafunzi.Nadhani haya ndio matatizo ya kukurupuka kuweka post kwenye forum kabla usingizi haujatoka au pale vidole vinapobishana na tumbo (mmoja anasema ni-type mwingine anasema nipatie mlo).

By the way,siwezi kupoteza muda kubishana na mtu mwenye postings 3 kwani kwa kufanya hivyo ntakuwa nakusaidia kuongeza idadi ya postings kwa kubishana nawe.Uchache wa postings zako ni ushuhuda tosha kuhusu ufinyu wa hoja zako (unless ulikuwemo humu ukitumia jina jingine...another dalili ya ubabaishaji).Uvivu wa kufikiri ndio unakufanya ung'ang'anie topic moja wakati wenzio tunajihangaisha kujadili mambo mengine lukuki yanayolihusu Taifa letu.Haujatulia wewe,lakini ukitulia na kupanua fikra zako utaweza kuchangia na mada nyingine badala ya kung'ang'ania topic moja tu.By the way,nini mchango wako kuhusu mkutano kati ya JK na watanzania waishio marekani? (a mock exam to you)
 
Nungwi,

Pole ndugu yangu.

Waliojitahidi kukuvurugia topic yako kwa kuleta udini, name calling, colouring, kuihusisha na Manji na NSSF etc wanaelekea kufanikiwa. I admire their persistence.

And to my surprise, juhudi zao zimeungwa mkono na Administrator! Anafahamu fika kuwa mada zilizotakiwa kuchanganywa ni ile ya Dr. Who na ya 'Official Mengi + ippmedia v/s NSSF" ambazo more or less zilikuwa kitu kimoja.. lakini kwa makusudi kabisa ameichukua hii mada yako ya 'Reginaldi Mengi na Mabilioni yaliyopotea' akaifanya imezwe na hizo nyingine na kuwa vurugu mechi.
 
Kumbe Nimekosea.. Samahani Waheshimiwa. Na bahati mbaya siwezi Ku-undo.
 
Mswahili,
Umemtaja Mboma. Mimi nilidhani alikuwa mwanajeshi makini au? Naomba unipe data.
 
Administrator said:
Kumbe Nimekosea.. Samahani Waheshimiwa. Na bahati mbaya siwezi Ku-undo.

Hakuna noma mzee. Na Samahani kwa kukufikiria umefanya makusudi.
 
Nafurahi Umenishitua... Siku ingine kabla sijamerge nitauliza kwanza.
 
Mlalahoi
wewe ni mwanafunzi umeenda UK mwaka jana na sasa unamalizia masters yako mwezi october haina maana mtu kuwa mwanafunzi si muajiriwa hata ulipokuwa unafanya degree ya kwanza ulitokea kazini tunakujua vizuri na hakuna sehemu niliyopinga kuwa wewe si mwanafunzi tizama vizuri au ni udini tu ndio unauona?

pia unakataa kabila lako au umeshajilipua na sasa ni msomali? lakini kwa maumbile yako nadhani ukijifanya mburundi ndio safi.

kingine unasema nina michango mitatu kwani humu ndani kuna mashindano ya kuchangia mada? au ndio maana kila siku lazima upaste mada ya mtu then ucomment hata maneno mawili ili uonekane umechangia?

pole ndugu yangu mimi siko kwenye tumbo anyway msubiri mwandosya 2015 bado muda mnao maana hapo itakuwa THE BIG FOUR TU.
 
wandugu, naomba tuache personal attacks, zinavunja moyo wanaforum na vilevile zinadivert discussion. Please!
 
Arguing with a nut would make me a nut too.I can't tarnish my academic credentials by arguing with someone with a mentality of a one-day course graduate.Keep on trippin'
 
mTz said:
wandugu, naomba tuache personal attacks, zinavunja moyo wanaforum na vilevile zinadivert discussion. Please!

Although I'm not really enjoying arguing with my twisted friend (mswahili) but there's no harm in helping him expand his severely limited skills in participating in discussions with people who are far beyond his level of comprehension.Let him have fun.Haihitaji diploma ya agriculture kutofautisha pumba na mchele.
 
Ooops!

ES umenikatisha kutoa maoni yangu juu ya personal attacks zinazoendelea. Nanaheshimu hoja zenu.

Back to the mada. Ninahisi kuna kitu ambacho wengi humu hatujui kuhusu hawa matajiri wawili, Mengu ni mtu wa media kila siku tunamuona, ila Manji hatukuwa tunamjua mpaka alipotoa Tzs millioni 200 kujenga barabara, baadaye tukagundua alitoa kwa kutaka agombee ubunge. Tukaambiwa baadaye alimfanyia mtoto wa katibu mkuu wa CCM wa sasa harusi (kugharimia kwa kiasi kikubwa, ingawa hili ni gumu kuthibitisha). Baadaye kiwanja cha waislamu, baadaye kuifadhili Yanga.
Mengi sina haja ya kumuelezea anafahamika. Ila kinachonishangaza kuhusu Mengi ni kupenda popularity. Jamaa anaweza kwenda kula chakula cha mchana na walemavu wakati wafanyakazi wa radio one hawajalipwa mishahara (mwisho wa mwezi umeshapita)!. Ninajiuliza kitu kimoja. Kwanini anapenda sana kujisafisha kwenye jamii? why? kwanini hajali wafanyakazi wake(mishahara midogo)?, analipa mishahara late(not always)?, kwanini halipi mikopo na kodi ipasavyo?.

Kuna kitu hapa. Kuna mshkaji wangu mmoja yupo Montreal anasemaga, huwezi kuwa tajiri mpaka UIBE au udhulumu au uwe JAMBAZI.

FD
 
fikiraduni said:

FD ,naomba kuuliza kidogo.Hivi Manji huyu ndio yule alotaka kugombea ubunge Temeke kupitia CCM au mwingine?Inayat Manji ndio Yusuf Manji au ni watu wawili tofauti?
 
Mlalahoi,

Aligombea Kigamboni "baada ya kuombwa na Makamba" akashinda kwa tiketi ya CCM (ndani ya chama), jina lilipopelekwa mbele halikurudi.

Yaani miaka yoote hiyo sijui alikuwa wapi kusaidia kujenga bara bara mpaka karibu na uchaguzi! Tzs 200 Mio bro. Dr Moshi angeiweka hivi hii story, jamaa alitoa wastani wa Tzs 3.33mio kila mwezi kwa miaka yote mi tano ambayo angekuwa mbunge!, ina maana kuna biashara ali expect kufanya huko bungeni.

Mlalahoi umeelewa?

Nimekupata mzee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom