Mwanagenzi said:Mlalahoi,
Inayat Manji na Yusuf Manji ni watu wawili tofauti. Huyu Yusuf Manji alitaka kupitia jimbo la Kigamboni. Alikuwa anajulikana zaidi kama mfanyabiashara, kijana, tajiri. Aliona na yeye afuate nyayo za Mohamed Dewji, ambaye naye ni kijana na tajiri, katika lingo wa siasa. Nasikia hawa jamaa wawili, ambao ni marafiki, pia wanakuwa na "ushindani" wa aina fulani.
mswahili said:Mlalahoi.
Kwani waislam wamekukosea nini? unasema Mao kasema no research no right to speak nakubali lakini wewe ulituambia humu kuwa Es yuko marekani hadi mwenye alipokuijia juu kuwa una ushahidi kama yeye yuko huko, kumbe hukufanya utafiti ulikurupuka tu na kutudanganya?
Pia unasema mjadala wa Mengi ni ubabaishaji hauna faida yeyote na maneno au tuhuma anazopewa hazina ushahidi wakati umeambiwa suala liko kwa Manumba kwanini usipige simu kwa Manumba halafu akisema halipo ungekuja humu na kusema mjadala huu ni uzushi tu.
Mfano mzuri mimi nilikuwa sijui suala lilifikishwa House Of Commons ni la Mengi kutokana na mjadala huu tumeweza kujua kumbe mheshimiwa ametuchafua hadi kwa wafadhili wetu, hivi unafanya utani wabunge 645 ndani ya bunge wanasikia ndugu yao kazikwa na akina Mengi toka Tanzania? huoni jina la nchi linachafuliwa na mtu au familia moja kumbuka wazungu hawakurupuki kama mimi na wewe wanaweza baadae wakawa na mashaka na nchi yetu. pia kama serikali yetu inahangaika na wawekezaji huku muingereza kazimwa milion£ 3.5 huoni ni vigumu kwa wengine kuja kuwekeza?au tukiuliza tutaambiwa tunamsakama bila ushahidi nadhani kwa watu wanaotizama mbali Mengi na familia yake wametuadhibu sana (wametubebesha msalaba mzito).
Kumbuka Action Aid. Oxfarm,Red Cross,Plan International ambao wanaleta misaada Tanzania wanakusanya hizo pesa toka kwa wafanyabiashara na wafanyakazi si fungu la serikali na misaada yao haifanani na ya Mengi (lunch kwa walemavu mwaka mara moja) leo wasome kwenye magazeti mwenzao kaibiwa itawavunja nguvu.
Nashangaa unashindwa kujua kuwa wawekeza au international organisations mara nyingi uhakika wa usalama wa mali zao na maisha yao(gurantee of peace&security) ndio vitu muhimu kwao kwenda nchi husika. hivi nani anafikiria kwenda kuwekeza Somalia labda Mlalahoi.
Unadai wewe ni msomi kwenye mada yako hapo juu kama wewe ni msomi na Professor mwandosya au Dr. Migiro nani? Degree yako ya kwanza umeipata kwa kuungaunga tena umefanya kazi miaka mingi tu hadi ilipokuja loophole ya vyuo vikuu binafsi ndio nawe ukawa wa mwanzo kwenda kujisajili tena chuo ulichosoma hakikuwa hata na mizengwe ya kupokea wanafunzi hivi ungesoma UDSM tungelala Mlalahoi? na hata kozi ulisoma si ya kiume ndio maana UDSM hawakuona haja ya kuwa nayo kwa miaka mingi waliona haina maximum Impact kwenye nchi, zaidi ya hapo hata mtu ukimwambia umegraduate chuo fulani(chako) atakuuliza mara mbili mbili kiko wapi? mbona umeshindwa hata kusoma Mzumbe? kweli tukuite msomi wewe! najua chuo chako lecturers walikuwa na degree moja tu na kilikuwa hakina vifaa kabisa.
Na hii masters yako inanitisha zaidi ungekuwa mwanaume ungeomba masters UDSM? pia wanafunzi wa kweli ambao wako mwishoni mwa kozi zao kama wewe wasingekuwa na muda wa kuleta hoja za utumbo humu. ungekuwa busy kutayarisha dissertation yako au labda umeshanunua cheti unaona noma kurudi mapema bongo utashutukiwa?au umewakatia kitu kidogo Nigerians wanakufanyia Dissertation yako? au umetumia ule mtindo ambao watoto wengi wa vigogo huutumia tena kwenya kile chuo maarufu chenye wabongo wengi ambapo Dissertation moja hiyo hiyo ina kopiwa na kupaste nahakika na hii njia kwani mara nyingi una copy na kupaste mada, msomaji wa kweli angekuwa busy lakini kwa vile usha copy dissertation yako ndio maana uko free kiasi hicho? maana mara tukuone pale Hyat Churchill Hotel unamsubiri JK ile safari anarudi USA tena ulikuwa busy na hatimaye JK akawakaushia.
mara ujifanye usalama uko busy na mzee wa Kihaya aliyekabidhiwa majukumu hayo official.
kama kweli wewe ni mwanafunzi makini usingekuwa na muda huo,
Pia waislam wamekukosea nini wao ndio waliokuwa wenyeji wako wakikupakia kwenye magari yao na kukupa uenyeji leo umewageukia au kukukaribisha kwenye jiji na kukuonyesha vichochoro ndio ilikuwa Jihad? tena wewe mtu mbaya unachafua watu hadi ubalozini acha hivyo ndugu yangu watu wamekuja kutafuta kama Mengi anavyotafuta
Mzee Es said:Guys vipi? Haya mkisha maliza matusi subirini Takrima, pilau, kofia na fulana, ili muipe CCM, kura za 80%,
yes ni watu kama nyinyi wawili ndio chanzo cha kura 80%, I mean mmeambiwa kuwa jamani enough turudi kwenye issue, mmeng'ang'ania tu maneno ya low life ambayo hata viongozi tunaowapiga mawe hawawezi kuyasema hadharani licha ya kuyaandika kama kumbu kumbu,
Man hebu do us a big favor nendeni muanzishe forum ya low life's, I mean both of you it takes two, kwa hiyo hebu acheni sasa mnataka hata kuwafukuza watu wanaotaka kurudi, kusimamia hoja ni one thing, na mambo ya chooni ni another thing, wote you should be ashamed of yourselves,
watu wazima ovyo! Yaani sisi watu wazima
Mr. CLEAN said:Definitely, I can't / don't see the role of this so called Administrator here!
Why don't you delete ASAP once the bullshit message appear? where the hell are you brows us to?
PLEASE DONT ENTERTAIN THOSE STUFF on this respected forum.
..........................
:U Can't Change The Nature: