Mswahili Old Acc
JF-Expert Member
- Sep 27, 2006
- 488
- 24
Mlalahoi
Mimi siwezi kukutukana maana umesema wewe ni baba yangu wa kambo naheshimu kauli yako. Lakini usikatae kabila lako na kujitia usukumani na ungoni au umeamua kulikimbia kabila lako kwa vile Mnachuna sana ngozi za watu?
Umekikataa chuo chako na kujiweka UDSM kumbuka mkataa kwao ni mtumwa, yaani kabila lako hulitaki na sasa umejipachika UDSM kwani kule kitonga reputation yake ndogo? acha baba wa kambo kujipakazia.
Unafanya kazi supermarket ipi TESCO,ASDA au MOrrison ? ina maana mwanao(mimi) naweza kukutungia uongo? basi utampa nafasi Mahita october 7 kumkana mwanae kwa kutumia rejea ya kesi yako kunikana mwanao kuwa nakuzushia. na MAHITA atafanya reference kesi ya MLALAHOI vs Mswahili.
Nilikuwa msomaji humu lakini kutokana na kauli zako na vurugu sikutegea mtu kama wewe kuwa na tabia ya aina hii(udini) hata wanabodi wangekuwa wanakujua wangeshangaa sana 'HATA HUYU MHESHIMIWA YUMO HUMU'
Kwenu wana forum mheshimiwa shule yake ni ya kuunganisha sana na hata professional yake ni ile ya failure wengi huangukiwa huko, ila kazi yake aliyopata ni nyeti ndani ya serikali yetu hakupata kwa sifa bali ule utaratibu uliotumika shirika la Bima wakati wa kina Mwaikambo ambapo hadi mfagiaji alitoka nyanda za juu za kusini, huyu mheshimiwa alitiliwa cross na mstaafu wa hivi karibuni ambaye alikuwa na jukumu la usalama wetu. Angekuwa makini hii forum ingemsaidia sana kwenye fani yake.
wanabodi hapa kuna mpango wa kuivuruga huu mjadala na huyu bwana amekuwa akiingia kwenye forum mbalimbali kwa majina tofauti (majina ninayo mkiyataka) ili kuvuruga mada mfano kule Darhotwire alikuja na kutoa matusi na hatimaye mada ya Mengi ikafutwa na hapa kaamua kuleta hoja hizi kuleta mchafuko na hatimaye mjadala ufe kwani yupo karibu sana na Mzee Mengi na kwa vile kazi anayoifanya hana sifa halisia zaidi ya kubebwa anahisi riziki yake itakuwa mikononi kwa Mengi, Mzee mengi ni muwekezaji mkubwa kwenye fani yake.
Administrator muda si mrefu utapata simu toka kwa Mzee Mengi na kuombwa ufute huu mjadala au utapewa kitu kidogo kazi kwako Uzalendo au Mlungula? na hakika Mzee wetu Mengi analifuatilia hili kwani watu wake tayari wamo humu na wanamfanyaia kazi.
Baba yangu wa kambo (mlalahoi) unasema Kapuya ni mdini naona tumuulize Michael Wambura ambaye Kapuya kamtoa kwenye ufundi cherehani pale kinondoni na kumuingiza FAT kwanini asimtetee Ndolanga na huku ni muislam mwenzake? haikutosha hiyo amempeleka hadi Simba Sports na kupewa madaraka makubwa huku hata mpira alikuwa haujui yeye alikuwa kwenye vinyoya. kama ni UDINI labda ndio huo.
Nani alikuwa anamjua Magori? huo ndio ujadina wa KAPUYA je Magori muislam?
NA JIHAD anayoifanya Dr.Dau NSSF ni ile ya kukuta kiwango cha chini cha mshahara 50,000 miaka minne iliyopita na sasa ni 384,000 kama Jihad ndiyo hiyo hata mimi namkubali. haya yalifanyika Bima, au GAPEX? acha majungu na chuki kwa binadamu wenzako unakwenda kanisani kila week unajifunza kuwa na upendo kwa binadamu wenzako(waislam) au chuki? kama ni hivyo bora usiende hawa ni binadamu wenzako wape neno la Mungu wanaweza kukufuata huko uliko.
uko UK lakini umeshindwa kujifunza kuvumilia baina ya dini tofauti? hao wazungu pale kanisani kwako umewaona wanakuja? mbona mko Wafrica watupu? je unaweza kwenda Brazil mpirani na usiwakute wenyeji wako uwanjani? tafakali baba yangu wa kambo.
Wanabodi huu ni mchango wangu wa mwisho na hakuna tusi ila kumuweka sawa mheshimiwa lau kama mngemjua basi mngezidisha kutoa maoni. ila jamaa yupo kwa kazi maalum humu. ana agenda zake pia alikuwa awe kwenye baraza la mawaziri kama mheshimiwa Mwandosya angepita na alikuwa front kwenye kampeni yake sasa frustration yake inaleta chuki kwa waislam na JK mtaiona wazi. naomba samahani tena na huu ndio mchango wangu wa mwisho kumjibu huyo bwana kwenye mjadala huu.