....sasa mamlaka ya mapato bandarini inachunguza malalamiko ya chama cha walemavu kuwa Reginald Mengi mwaka jana kaingiza BENZ fully automatic [kila kitu kipo kwenye usukani] kwa ajili ya disable. Documents ZOTE zinaonyesha gari ni ya Chama cha walemavu. Hivyo basi kapewa excemption ushuru. Kwenye usajili kaandika jina lake!!!!! Kawazika walemavu!!! ...
Kulikoni said:Duh,
Maskini topic ya nungwi imebadilishwa mpaka imevurugika sasa, imeenda NSSF na sasa imekuwa ni kumjadili/kumshambulia tafiti.
Nlikuwa na hamu ya kujua ukweli kuhusu hayo mabilioni yaliyopotea... maana to me the news was fishy.. na kulikuwa na 'rumours' kuwa ni kweli Mengi ameattempt hilo dili na likakaribia kushtukiwa. Sasa akafanya preemptive defence ya kutangaza kuwa kuna watu wametumia jina lake kuattempt wizi. Sasa nlitarajia wazee wenye data humu watazimwaga.
Inanshangaza sasa kuwa badala ya kudiscuss issues tunamdiscuss mchangiaji. Regardless of whether data kaleta tafiti au mtu mwingine, the issue is whether aliyoyaleta hapa yana ukweli au la, the message rather than the messenger.
Kwa mfano, ikiwa ni kweli kuwa Mengi kawaibia walemavu ... I don't see atashindwa vipi kutapeli hayo mabilioni. Ikiwa ni kweli kuwa anakwepa kulipa VAT na kodi nyinginezo, nae pia ni mhujumu wa uchumi ... no better than the other BANDTIS and CORRUPTS.
Kwa maoni yangu hii ripoti ya NSSF imekuja hapa kimakosa, hata hivyo .. badala ya kumshambulia mletaji ... ilikuwa tudiscuss ukweli/uongo/mapungufu ya ripoti hiyo.
My attempt to get us back to the topic.
tafiti then jadili said:Kwa kuheshimu taratibu zetu za kidemokrasia nayapokea yote yanayosemwa dhidi yangu binafsi badala ya kujadili yale ninayopost some people have decide to go for the softer option in a discussion yaani kumjadili mjumbe badala ya ujumbe.
Inashangaza mambo yoooote ninayochangia humu ndani kama mwanachama mwingine yeyote mimi naitwa mtetezi wa wala rushwa!! yaani hii ni kali, nimeitwa mbishi kama jiwe yaani mzee mugishagwe licha ya kuamua kuwithdraw my comments kwenye ile topic uliyoweka na kukuomba radhi bado unaona kwamba mimi ni mbishi....katika kanuni za busara ni kujifunza wakati gani you have to move on...
Naam in the spirit of our mjadala kuhusu mabilioni yaliyopotea ambayo ndio mada halisi mshukiwa ni mengi au at least alitakiwa kuwa ni yeye manake haingii akilini kwamba pesa zote zile zipotee halafu kusiwe na japo mengi kuitwa katika kituo cha polisi kuhojiwa!
Jambo kuu ni kuwa taarifa aliyotoa yeye ni kuwa kuna watu wametumia jina lake kuanzisha charity na wamepokea misaada kutoka shirika la umoja wa mataifa ambapo jamaa wamepokea bilioni arobaini na moja na kutoa bilioni thelathini na tisa!
Taarifa hiyo ilisema vile vile kuwa Mengi ana account katika benki hiyo sasa maswali yangu ni haya kwa wachangiaji na mamlaka husika:
-Hizi ni fedha ambazo zilikusudiwa kutolewa kwa jamii nchini tanzania for good causes imekuwaje licha ya taarifa hiyo kutoka kwa NGUMA ambae ni company secretary wa IPPGROUP bado kusiwe na kauli yoyote kutoka POLISI,UN,NBC au serikali kwa ujumla katika taasisi zake za kuzuia ufisadi?
Tukumbuke hapa tunazungumzia takriban robo ya mapato ya serikali kwa mwezi!
- Mengi baada ya kuona kuwa kuna watu wametumia jina lake kuiibia UN and in other ways kuwaibia wananchi wa tanzania ambao kikhalisi hasa walistahili kuwa ndio beneficiaries wa hizi pesa kwa nini asitoe taarifa kituo cha polisi au relevant authority yeyote badala yake kukanusha tu.
Nimemjua Mengi for a long time kuamini kuwa anapenda kuonekana kama ni mtu wa watu mwenye kujali utu na maadili mema, kama raia mwema wa tanzania kwanini hakutoa taarifa kunakohusika au tu kuomba wahusika matapeli washughulikiwe?
- Benki ya NBC nayo inalake swali kwanini baada ya kuona jina la mmoja wa account holder wao [ripoti ilieleza kuwa mengi ni account holder hapo] wasijaribu kuhoji iwapo anataarifa na fedha au taasisi hii?
Ni basics gani zimetumika kufungua akaunti hii?
Nimeshawahi kuwa mwanachama, mwanzilishi na kiongozi katika taasisi kadhaa za hiari Tanzania na najua utaratibu ni kwamba unapofungua akaunti ya taasisi basi unahitaji kuwa na zaidi ya mtu mmoja kuweka sahihi zao na hao ndio wanakuwa authorised officials katika masuala ya fedha mara nyingi huwa ni mweka hazina na mwenyekiti au katibu na hawa majina yao yanafahamika wazi, sasa tuseme benki haiwajui hawa watu au vipi?
-Ili taasisi iweze kuqualify na misaada mizito kama mabilioni haya inabidi iwe na usajili katika ofisi ya msajili wa vyama vya hiari tanzania ambayo inaoperate chini ya wizara ya mambo ya ndani, nao wamekaa kimya!
-Naam kuna walakini mkubwa kwa waandishi wa habari tanzania kama asemavyo Mugishaghwe manake haya ni maswali nyeti yenye kuhitaji majibu, sifikirii kama watu wenye uchungu na nchi yao wataweza kuona kiwango hiki na kuturn another page bila kujiuliza maswali kadhaa....
Hivi hapa kuna nini, wananchi tunahitaji kujua pesa hizi....
Mlalahoi said:Kawaibia walemavu?where is the evidence? Mimi nawachukia sana watu wanaokuja hapa wakiwa hawana data bali tetesi.Dunia haiendeshwi na tetesi bali facts.Kulikoni,dont try to hide your true colours...unataka kuthibithisha unachokiamini...kwamba tuhuma dhidi ya Mengi ni za kweli ndo maana unadai kuwa kama kawaibia walemavu hawezi kukwepa kodi.
Pengine hujapitia topic anazochangia huyo anaelaumiwa
ndio maana unakurupuka kusema asilaumiwe.Ok,ripoti ya NSSF umeiona,unashauri tu-discuss ukweli/uongo/mapungufu ya ripoti hiyo.Hilo halina tatizo,lakini wewe binafsi mchango wako ni nini hasa katika discussion hiyo kabla ya kuwaomba wengine wadiscuss? Je kwa mtizamo wako ripoti ina ukweli au uongo?
Mlalahoi said:Mujahidina on the move
Kulikoni said:Mzee Unanishangaza sana jinsi hili suala la Mengi lilivyokugusa na unavyojitahidi kumtetea hata bila data. Ile misimamo yako kwa watu corrupt naona katika suala hili umeiweka pembeni.
Suala la walemavu, nimetoa mfano ambao uko clear.. na nimesema "kama ni kweli", there is still a room for you to convince us otherwise. Kama una data si uzimwage hapa? .. wasomaji tutaamua wenyewe nani msema kweli. Na kama huna data on this issue NYAMAZA, it works.. sio kuleta hasira tuuu kwa Mengi kusemwa! Na inaonekana wazi umekasirishwa kwa hii mada kurudi back on track.
Ripoti ya NSSF nimemuomba Admin aihamishie kunakostahili lakini hajafanya hivyo,.. I hope he will... maoni yangu nitayaweka huko, hapa sitaki kuharibu topic.
E jama ee, achaneni nae huyu. Leteni data on the topic kama bado zipo! FD tunasubiri maelezo kutoka NBC. Kama Mengi ni mwizi, haitaandikwa katika ippmedia wala THISDAY. Ni forum kama hizi ndimo wenye data watakapozimwaga. I recently saw a similar discussion in Darhotwire..which is associated with IPP... and guess what, as of today, the whole thread has been deleted.. na wachangiaji against Mengi wamekuwa banned! Sasa humu ni wazi wakina Mlalahoi nao wanataka hii discussion ife. Haifi mpaka iwe exhausted.
Mlalahoi said:Hizo data zako ziko wapi?
Kulikoni said:Mzee Unanishangaza sana jinsi hili suala la Mengi lilivyokugusa na unavyojitahidi kumtetea hata bila data. Ile misimamo yako kwa watu corrupt naona katika suala hili umeiweka pembeni.
Suala la walemavu, nimetoa mfano ambao uko clear.. na nimesema "kama ni kweli", there is still a room for you to convince us otherwise. Kama una data si uzimwage hapa? .. wasomaji tutaamua wenyewe nani msema kweli. Na kama huna data on this issue NYAMAZA, it works.. sio kuleta hasira tuuu kwa Mengi kusemwa! Na inaonekana wazi umekasirishwa kwa hii mada kurudi back on track.
Ripoti ya NSSF nimemuomba Admin aihamishie kunakostahili lakini hajafanya hivyo,.. I hope he will... maoni yangu nitayaweka huko, hapa sitaki kuharibu topic.
E jama ee, achaneni nae huyu. Leteni data on the topic kama bado zipo! FD tunasubiri maelezo kutoka NBC. Kama Mengi ni mwizi, haitaandikwa katika ippmedia wala THISDAY. Ni forum kama hizi ndimo wenye data watakapozimwaga. I recently saw a similar discussion in Darhotwire..which is associated with IPP... and guess what, as of today, the whole thread has been deleted.. na wachangiaji against Mengi wamekuwa banned! Sasa humu ni wazi wakina Mlalahoi nao wanataka hii discussion ife. Haifi mpaka iwe exhausted.
Mlalahoi said:Unajua kila kitu huwa kinakufa.Nothing lasts forever.Hate him or love him,Mengi has done a lot to the society.Mimi na-appreciate efforts zake hususan katika sekta ya habari,na if he were to be compared with Manji nadhani kila mtu anaelewa what's the outcome.Whether misaada yake kwa walemavu inatafsiriwa kama utapeli,the fact remains that he's at least done something (eg kuwa-entertain walemavu from time to time).Kwangu mie,Mengi amefanya vitu kadhaa vya kizalendo contrary to akina Manji ambao kimsingi allegiance yao iko India kuliko Tanzania.
Simtetei Mengi kama Reginald bali kama mzalendo ambaye at least ameonyesha njia kwa Watanzania wengine.Tuhuma dhidi yake (ambazo pamoja na urefu wa mada hii hazijaweza kuthibitishwa) zatapata maana pale tu zitapoletwa data kuzithibitisha na sio tetesi zisizo na kichwa wala miguu.
You surely know why I associate this with ujahidina,and I dont need to clarify that.