Mene mene tekeli na peresi - Lema

Mene mene tekeli na peresi - Lema

Hata Tanzania ni taifa la Mungu na hatujawahi kutoka utumwani hivyo nadhani huu sasa ndio wakati wa majilio. Mungu anaweza kumuinua dictator ili watu wake wawe huru, kwa jinsi ileile alivyomuinua Farao ili kuwakomboa wana wa Israel kutoka utumwani Misri!
Duh...!.
P
 
Binafsi naona ukombozi unakaribia...naona nuru....naona tunatoka misri tunaelekea kanani....Tunaelekea Nchi ya Ahadi...Mungu ni mwaminifu atatutoa hapa..njia ni ngumu...kuna ukame...kuna wakati tunakosa chakula...kuna wakati tunabezwa....kuna wakati tunakumbuka tulipotoka....lakini tupige Goti 2020 sio mbali..Mungu wetu ni mwaminifu.
Duh...!.
P
 
Salamu Watanzania,

Naomba tusome andiko hili kutoka katika Biblia. Daniel 5: 19-21 na mstari wa 25 hadi 28.

Na kwa sababu ya ule ukuu aliompa, watu wa kabila zote, na mataifa, na lugha, wakatetemeka na kuogopa mbele yake; aliyetaka kumwua alimwua; na aliyetaka kumwacha hai, alimwacha hai; aliyetaka kumtukuza, alimtukuza; na aliyetaka kumshusha, alimshusha.

Lakini moyo wake ulipoinuliwa, na roho yake ilipokuwa ngumu akatenda kwa kiburi, aliuzuliwa katika kiti chake cha enzi, nao wakamwondolea utukufu wake.

Akafukuzwa mbali na wanadamu moyo wake ukafanywa kuwa kama moyo wa mnyama, na makao yake yalikuwa pamoja na punda - mwitu; akalishwa majani kama ng'ombe, mwili wake ukalowa maji kwa umande wa mbinguni; hata alipojua ya kuwa Mungu aliye juu ndiye anayewatawala katika ufalme wa wanadamu, na ya kuwa humweka juu yake yeye amtakaye, awaye yote.

Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI NA PERESI. Na tafsiri ya maneno haya ni hii;

MENE - Mungu ameuhesabu Ufalme wako na kuokomesha.

TEKELI - Umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.

PERESI - Ufalme wako umegawanyika na wamepewa Wamedi na Waajemi.
Acha ujinga,huwezi kumhukumu mtu yoyote,hiyo ni kazi ya Mola
 
Godbless J Lema matukio haya yanaonyesha mtapata shida sana 2020 maana nyie ndo mko front line. Ni Mkurugenzi gani atathubutu kukutangaza umeshinda ubunge hata kama umeshinda kweli? Unadhani wafuasi wako watakuwa salama wakisimama na wewe kutetea haki yao na yako?

Nakuomba kama viongozi, mjipange sana 2020 kimkakati. Dhuluma mtakayokutana nayo haijawahi kutokea.
Duh...!. Kuna watu mliona mbali...!
P
 
So what brother. Tunaongea habari za Nebkadneza hapa ; pharaoh na Kaisari zilikuwa just tittle kama ilivyo Rais na gavana na kati ya wenye hizo tittle kuna waliofanya uovu na Mungu akawashughulikia
Duh...!.
P
 
Salamu Watanzania,

Naomba tusome andiko hili kutoka katika Biblia. Daniel 5: 19-21 na mstari wa 25 hadi 28.

Na kwa sababu ya ule ukuu aliompa, watu wa kabila zote, na mataifa, na lugha, wakatetemeka na kuogopa mbele yake; aliyetaka kumwua alimwua; na aliyetaka kumwacha hai, alimwacha hai; aliyetaka kumtukuza, alimtukuza; na aliyetaka kumshusha, alimshusha.

Lakini moyo wake ulipoinuliwa, na roho yake ilipokuwa ngumu akatenda kwa kiburi, aliuzuliwa katika kiti chake cha enzi, nao wakamwondolea utukufu wake.

Akafukuzwa mbali na wanadamu moyo wake ukafanywa kuwa kama moyo wa mnyama, na makao yake yalikuwa pamoja na punda - mwitu; akalishwa majani kama ng'ombe, mwili wake ukalowa maji kwa umande wa mbinguni; hata alipojua ya kuwa Mungu aliye juu ndiye anayewatawala katika ufalme wa wanadamu, na ya kuwa humweka juu yake yeye amtakaye, awaye yote.

Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI NA PERESI. Na tafsiri ya maneno haya ni hii;

MENE - Mungu ameuhesabu Ufalme wako na kuokomesha.

TEKELI - Umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.

PERESI - Ufalme wako umegawanyika na wamepewa Wamedi na Waajemi.
Prophet Godbless Lema.
Kweli uliona mbali
 
2494093_magu.jpeg
 
Back
Top Bottom