Mh. Lema take this piece of advice, think now to get more time serving your people, arusha residents, stop being fanatical, since you have started this term nothing new have been delivered to arusha people, stand mbovu, barabara matope matupu..lkn mnaendesha manispaa mko wengi, kitu gani tofauti na enzi za ccm kaka? kiongozi ni kuwa mwerevu na kukawia kutoa au kutenda jambo,,take time to think brother!Salamu Watanzani naomba tusome andiko hili kutoka katika Biblia . Daniel 5 : 19-21 na mstari wa 25 hadi 28.
Na kwa sababu ya ule ukuu aliompa , watu wa kabila zote , na mataifa , na lugha , wakatetemeka na kuogopa mbele yake ; aliyetaka kumwua alimwua ; na aliyetaka kumwacha hai , alimwacha hai ; aliyetaka kumtukuza , alimtukuza ; na aliyetaka kumshusha , alimshusha . Lakini moyo wake ulipoinuliwa , na roho yake ilipokuwa ngumu akatenda kwa kiburi , aliuzuliwa katika kiti chake cha enzi , nao wakamwondolea utukufu wake . Akafukuzwa mbali na wanadamu moyo wake ukafanywa kuwa kama moyo wa mnyama , na makao yake yalikuwa pamoja na punda - mwitu ; akalishwa majani kama ng'ombe , mwili wake ukalowa maji kwa umande wa mbinguni ; hata alipojua ya kuwa Mungu aliye juu ndiye anayewatawala katika ufalme wa wanadamu , na yakuwa umweka juu yake yeye amtakaye , awaye yote.
Na maandiko yaliyoandikwa ni haya ; MENE , MENE , TEKELI NA PERESI . Na tafsiri ya maneno haya ni hii ; MENE , Mungu ameuhesabu Ufalme wako na kuokomesha . TEKELI , umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka . PERESI , ufalme wako umegawanyika , na wamepewa Wamedi na Waajemi .
Ili uone anafanya kazi arusha, asiandike JF?Mh. Lema take this piece of advice, think now to get more time serving your people, arusha residents, stop being fanatical, since you have started this term nothing new have been delivered to arusha people, stand mbovu, barabara matope matupu..lkn mnaendesha manispaa mko wengi, kitu gani tofauti na enzi za ccm kaka? kiongozi ni kuwa mwerevu na kukawia kutoa au kutenda jambo,,take time to think brother!
Alama gani..mnamjua Mungu nyinyi, toeni mizaha yenu..standard za Mungu ziko juu sana, tumia akili vzr acha kumuweka Mungu kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wako!Alama ni dhahiri kabisa ukutani, aliyosema Mwalimu yanatimia haraka sana .
Taja alichofanaya..Ili uone anafanya kazi arusha, asiandike JF?
Well said bro. Thumb upNa kwa Nape huyu sina shaka nae kwa hilo...!! Huko kwa JK aliendelea kuwa nao miaka yote hiyo kwa sababu JK anajua jinsi ya kuwa-handle watu wa aina ya Nape!!! Ndo maana kila wakati nawasisitizia watu tusimhukumu Nape kwa yale aliyokuwa anayafanya wakati akiwa Katibu Mwenezi wa CCM kwa sababu he's doing his job and there's no way anti-CCM angeweza kuyapenda yale... it's politics!! Kwahiyo nami nitafarijika sana akichukua huo uamuzi and I bet; atauchukua tu haidhuru hata kama sio leo au kesho!!!!
Kweli jela siyo mchezo,umegeuka mhubiri sasa?wacha uwoga weka vitu wazi wewe ni mwanasiasa na mwanaharakati kama unavyo jiitaga.LOL,ukitaka kupambana na udikteta kuwa mwazi kama Lisu,uwoga ni ushindi kwa aliokutia uwoga.Salamu Watanzania,
Naomba tusome andiko hili kutoka katika Biblia. Daniel 5: 19-21 na mstari wa 25 hadi 28.
Na kwa sababu ya ule ukuu aliompa, watu wa kabila zote, na mataifa, na lugha, wakatetemeka na kuogopa mbele yake; aliyetaka kumwua alimwua; na aliyetaka kumwacha hai, alimwacha hai; aliyetaka kumtukuza, alimtukuza; na aliyetaka kumshusha, alimshusha.
Lakini moyo wake ulipoinuliwa, na roho yake ilipokuwa ngumu akatenda kwa kiburi, aliuzuliwa katika kiti chake cha enzi, nao wakamwondolea utukufu wake.
Akafukuzwa mbali na wanadamu moyo wake ukafanywa kuwa kama moyo wa mnyama, na makao yake yalikuwa pamoja na punda - mwitu; akalishwa majani kama ng'ombe, mwili wake ukalowa maji kwa umande wa mbinguni; hata alipojua ya kuwa Mungu aliye juu ndiye anayewatawala katika ufalme wa wanadamu, na ya kuwa humweka juu yake yeye amtakaye, awaye yote.
Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI NA PERESI. Na tafsiri ya maneno haya ni hii;
MENE - Mungu ameuhesabu Ufalme wako na kuokomesha.
TEKELI - Umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.
PERESI - Ufalme wako umegawanyika na wamepewa Wamedi na Waajemi.
Sasa na wewe ndo unaongea madudu gani hapa...!!!! Hivi kuna muoga zaidi ya yule anayemtuma mwanae abebe askari sita wenye silaha nzito wakati wanakwenda kwa watu wasio hata na kisu?!Kweli jela siyo mchezo,umegeuka mhubiri sasa?wacha uwoga weka vitu wazi wewe ni mwanasiasa na mwanaharakati kama unavyo jiitaga.LOL,ukitaka kupambana na udikteta kuwa mwazi kama Lisu,uwoga ni ushindi kwa aliokutia uwoga.
Aache kuleta mahubiri azungumze au akemea yaliyotokea kuliko kuanza mafumbo,watuwamekuwa waoga wapinzani hawazungumzii kuingiliwa kwa uhuru wa vyombo vya habari,na huyu tuliokuwa tunadhani ataongea nae ndiyo anaanza mahubiri.Sasa na wewe ndo unaongea madudu gani hapa...!!!! Hivi kuna muoga zaidi ya yule anayemtuma mwanae abebe askari sita wenye silaha nzito wakati wanakwenda kwa watu wasio hata na kisu?!
Pamoja na maandiko funzo lingine tunalopata kwa issues zinazoendelea ni kwamba tunahitaji kuwa na Katiba imara yenye kuweka na kusimamia mihimili ya dola iliyo huru; yenye maamuzi yasiyoingiliwa au kuingiliana iwe moja kwa moja au kwa usiri (indirectly).
Si ndo hapo, huyu jamaa kashakua muoga,, tena uoga wa Hali ya juu *****, ongea kiharakat, HAYA mahubir kina Gwajima wpo na wanaeleweka, kashakuwa mwanaharakati bubu, huruma sana, Kwel jela noma hata shehe ponda hasikiki ck hz!shame on Lema!Aache kuleta mahubiri azungumze au akemea yaliyotokea kuliko kuanza mafumbo,watuwamekuwa waoga wapinzani hawazungumzii kuingiliwa kwa uhuru wa vyombo vya habari,na huyu tuliokuwa tunadhani ataongea nae ndiyo anaanza mahubiri.
Yani kuna mambo mawili muhimu sn kuyapigania kwa nguvu zote,
1.Katiba mpya ya Warioba.
2.Tume huru
Salamu Watanzania,
Naomba tusome andiko hili kutoka katika Biblia. Daniel 5: 19-21 na mstari wa 25 hadi 28.
Na kwa sababu ya ule ukuu aliompa, watu wa kabila zote, na mataifa, na lugha, wakatetemeka na kuogopa mbele yake; aliyetaka kumwua alimwua; na aliyetaka kumwacha hai, alimwacha hai; aliyetaka kumtukuza, alimtukuza; na aliyetaka kumshusha, alimshusha.
Lakini moyo wake ulipoinuliwa, na roho yake ilipokuwa ngumu akatenda kwa kiburi, aliuzuliwa katika kiti chake cha enzi, nao wakamwondolea utukufu wake.
Akafukuzwa mbali na wanadamu moyo wake ukafanywa kuwa kama moyo wa mnyama, na makao yake yalikuwa pamoja na punda - mwitu; akalishwa majani kama ng'ombe, mwili wake ukalowa maji kwa umande wa mbinguni; hata alipojua ya kuwa Mungu aliye juu ndiye anayewatawala katika ufalme wa wanadamu, na ya kuwa humweka juu yake yeye amtakaye, awaye yote.
Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI NA PERESI. Na tafsiri ya maneno haya ni hii;
MENE - Mungu ameuhesabu Ufalme wako na kuokomesha.
TEKELI - Umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.
PERESI - Ufalme wako umegawanyika na wamepewa Wamedi na Waajemi.
Aka kalema bana Leo kinamjua Mungu, alimpiga tofari MwigambaLakini moyo wake ulipoinuliwa, na roho yake ilipokuwa ngumu akatenda kwa kiburi, aliuzuliwa katika kiti chake cha enzi, nao wakamwondolea utukufu wake