Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 24,706
- 44,087
Huyu Mkuu ameadimika sana,yupo kweli aje kushuhudia unabii.Utawala wa pharaoh umekaribia mwisho ndiyo maana Mungu anaufanya moyo wake kuwa mgumu ili aweze kumuaibisha sana huyu pharaoh
Huyu Mkuu ameadimika sana,yupo kweli aje kushuhudia unabii.Utawala wa pharaoh umekaribia mwisho ndiyo maana Mungu anaufanya moyo wake kuwa mgumu ili aweze kumuaibisha sana huyu pharaoh
Aisee wewe mwambaMkuu MKWEPA KODI, not necessarily, Waisrael ni taifa la Mungu, na walikaa utumwani Misri kwa miaka 400!.
Paskali
Dah kumbukizi matata sana hii, sijui Mayalla kila reply yeye ni duh, duh..Kumbukizi
Aiseeee !!!Mungu atajibu maombi na sala za watanzania kwa wakati wake
Kiongozi wetu amesahau kuwa ajikwezaye atashushwa na vice versa
Eee bhana eeeeUkitaka kuifurahia JF fanya marejeo mara kwa mara. utagundua kuna watu wameona miaka mingi mbele na baadhi ya mabadiko hayapitwi na wakati
Duh!Huo ni ufunuo Wa Roho Wa Mungu uliofunuliwa kwa Anko G Lema.
Na maandiko yatimie kama ilivyonenwa
Yametimia !!! Mungu ibariki JFUtawala wa pharaoh umekaribia mwisho ndiyo maana Mungu anaufanya moyo wake kuwa mgumu ili aweze kumuaibisha sana huyu pharaoh
Huo ni ufunuo Wa Roho Wa Mungu uliofunuliwa kwa Anko G Lema.
Na maandiko yatimie kama ilivyonenwa


daaah 
Soon nafungua kanisaRudi sasaNaweka nafasi hapa,nitarudi kumsoma Kamanda Lema
Mungu amekupa jibu lakoTafadhari sana Mkuu, tunaomba mseme kitu.
Watanzania tunaumia sana. Kwani si makaratasi tu ndiyo yamewaweka hapo Magogoni? Kwanini wanaonekana ni tofauti na sisi?
Please we need UKUTA, ASAP
Rudi mzee umejificha wapi lumumba au dodomaYou nailed it Hon. Lema. Much appreciated!
Mzee Tupatupa
Kumbe Chige na Nape who is whoNape , karibu Chadema tufanye kazi yenye nia njema kwa Taifa.


ImepasukaNgoma ikilia mno, ujue inakaribia kupasuka
Kweli kabisaMkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu wake sana (Mithali 28:16)
NapeMateso yakizidi ujue neema inakaribia!!!
Nape, you have a great and good way to go karibu tuunganishe nguvu, taifa linakuhitaji.


Hakika MUNGU Ni mwaminifu SanaBinafsi naona ukombozi unakaribia...naona nuru....naona tunatoka misri tunaelekea kanani....Tunaelekea Nchi ya Ahadi...Mungu ni mwaminifu atatutoa hapa..njia ni ngumu...kuna ukame...kuna wakati tunakosa chakula...kuna wakati tunabezwa....kuna wakati tunakumbuka tulipotoka....lakini tupige Goti 2020 sio mbali..Mungu wetu ni mwaminifu.

Naogope Nguvu na utukufu wa MUNGU hakika nitaanza hata Mimi kuzinyooosha njia zangu Sasa.Huo ni ufunuo Wa Roho Wa Mungu uliofunuliwa kwa Anko G Lema.
Na maandiko yatimie kama ilivyonenwa
Ule umefika hakika Sasa Ni mwanzo mpyaMuda ni hakimu. Yana mwisho haya.
Ndio uelewe Sasa andiko lilikuwa Ni lina nguvu ya MUNGU ndani yake .SIO WOTE WAKRISTO . UWE UNABALANCE STORY ZAKO ZA KIDINI '' MBUGE GANI MDINI''; AU KURA ZAKO ZA UDINI''
NCHI HII AIONGOZWI NA BIBLE HII INAONGOZWA NA KATIBA ILIYOTENGENEZWA NA WATANZANIA
Na kweli haikuwahi tokea ule ulikuwa uchafuzi sio uchaguzi wameshinda wao 98%Godbless J Lema matukio haya yanaonyesha mtapata shida sana 2020 maana nyie ndo mko front line. Ni Mkurugenzi gani atathubutu kukutangaza umeshinda ubunge hata kama umeshinda kweli? Unadhani wafuasi wako watakuwa salama wakisimama na wewe kutetea haki yao na yako?
Nakuomba kama viongozi, mjipange sana 2020 kimkakati. Dhuluma mtakayokutana nayo haijawahi kutokea.