Mene mene tekeli na peresi - Lema

Mene mene tekeli na peresi - Lema

You nailed it Hon. Lema. Much appreciated!

Mzee Tupatupa

Naona kama Taifa hatuko salama.CCM members mlikuwa mnamjua vyema huyu Peresi lakini bado mlimpa kura mpa za mkono.

Japo Nape ametenda lilopaswa kutendwa huko nyuma lakini sababu ya chuki ya watu wawili mkatuletea BOMU la kutumaliza watanzania
 
Kamanda siku hizi umekuwa makini sana,unagani vizuri sana maandiko yako,big up..hapa hata mbobezi wa criminal law hawezi kuraise offence ya uchochezi!
 
Salamu Watanzania,

Naomba tusome andiko hili kutoka katika Biblia. Daniel 5: 19-21 na mstari wa 25 hadi 28.

Na kwa sababu ya ule ukuu aliompa, watu wa kabila zote, na mataifa, na lugha, wakatetemeka na kuogopa mbele yake; aliyetaka kumwua alimwua; na aliyetaka kumwacha hai, alimwacha hai; aliyetaka kumtukuza, alimtukuza; na aliyetaka kumshusha, alimshusha.

Lakini moyo wake ulipoinuliwa, na roho yake ilipokuwa ngumu akatenda kwa kiburi, aliuzuliwa katika kiti chake cha enzi, nao wakamwondolea utukufu wake.

Akafukuzwa mbali na wanadamu moyo wake ukafanywa kuwa kama moyo wa mnyama, na makao yake yalikuwa pamoja na punda - mwitu; akalishwa majani kama ng'ombe, mwili wake ukalowa maji kwa umande wa mbinguni; hata alipojua ya kuwa Mungu aliye juu ndiye anayewatawala katika ufalme wa wanadamu, na ya kuwa humweka juu yake yeye amtakaye, awaye yote.

Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI NA PERESI. Na tafsiri ya maneno haya ni hii;

MENE - Mungu ameuhesabu Ufalme wako na kuokomesha.

TEKELI - Umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.

PERESI - Ufalme wako umegawanyika na wamepewa Wamedi na Waajemi.

SIO WOTE WAKRISTO . UWE UNABALANCE STORY ZAKO ZA KIDINI '' MBUGE GANI MDINI''; AU KURA ZAKO ZA UDINI''
NCHI HII AIONGOZWI NA BIBLE HII INAONGOZWA NA KATIBA ILIYOTENGENEZWA NA WATANZANIA
 
Umechanganya mada. Aliyeishi kama mnyama ni mfalme Nebukadneza wakati hayo maneno MENE MENE PERESI NA TEKELI aliambiwa mfalme Belshaza. Soma vizuri Biblia yako na epuka kutumia maandiko matakatifu bila kufanya utafiti wa kutosha.
 
Mh. Lema take this piece of advice, think now to get more time serving your people, arusha residents, stop being fanatical, since you have started this term nothing new have been delivered to arusha people, stand mbovu, barabara matope matupu..lkn mnaendesha manispaa mko wengi, kitu gani tofauti na enzi za ccm kaka? kiongozi ni kuwa mwerevu na kukawia kutoa au kutenda jambo,,take time to think brother!
Stand na barabara nyembamba na mitaa iiyopangwa nakuunga mkono.
Stand ya mabasi ni zero
Barabara chache zilizopo ni nyembamba kama njia za ng'ombe,
Mitaa haijapangika
sijui ana mpango gani na jiji letu
 
Na kwa Nape huyu sina shaka nae kwa hilo...!! Huko kwa JK aliendelea kuwa nao miaka yote hiyo kwa sababu JK anajua jinsi ya kuwa-handle watu wa aina ya Nape!!! Ndo maana kila wakati nawasisitizia watu tusimhukumu Nape kwa yale aliyokuwa anayafanya wakati akiwa Katibu Mwenezi wa CCM kwa sababu he's doing his job and there's no way anti-CCM angeweza kuyapenda yale... it's politics!! Kwahiyo nami nitafarijika sana akichukua huo uamuzi and I bet; atauchukua tu haidhuru hata kama sio leo au kesho!!!!
Huwezi kuniambia nifanya uovu eti kwa sababu ni politics.I say no tu kuchumia tumbo.Kama ni kuchumia tumbo bye bye politics,nitakula sisimizi,I am not interested!
 
SIO WOTE WAKRISTO . UWE UNABALANCE STORY ZAKO ZA KIDINI '' MBUGE GANI MDINI''; AU KURA ZAKO ZA UDINI''
NCHI HII AIONGOZWI NA BIBLE HII INAONGOZWA NA KATIBA ILIYOTENGENEZWA NA WATANZANIA

Hii habari ina udini gani?
Kama angejua na quran sawa angebalance kwa kuchomeka za kwenu,kama hajui afanyaje?
Ametolea mfano mistari anayoifahamu vizuri
 
Salamu Watanzania,

Naomba tusome andiko hili kutoka katika Biblia. Daniel 5: 19-21 na mstari wa 25 hadi 28.

Na kwa sababu ya ule ukuu aliompa, watu wa kabila zote, na mataifa, na lugha, wakatetemeka na kuogopa mbele yake; aliyetaka kumwua alimwua; na aliyetaka kumwacha hai, alimwacha hai; aliyetaka kumtukuza, alimtukuza; na aliyetaka kumshusha, alimshusha.

Lakini moyo wake ulipoinuliwa, na roho yake ilipokuwa ngumu akatenda kwa kiburi, aliuzuliwa katika kiti chake cha enzi, nao wakamwondolea utukufu wake.

Akafukuzwa mbali na wanadamu moyo wake ukafanywa kuwa kama moyo wa mnyama, na makao yake yalikuwa pamoja na punda - mwitu; akalishwa majani kama ng'ombe, mwili wake ukalowa maji kwa umande wa mbinguni; hata alipojua ya kuwa Mungu aliye juu ndiye anayewatawala katika ufalme wa wanadamu, na ya kuwa humweka juu yake yeye amtakaye, awaye yote.

Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI NA PERESI. Na tafsiri ya maneno haya ni hii;

MENE - Mungu ameuhesabu Ufalme wako na kuokomesha.

TEKELI - Umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.

PERESI - Ufalme wako umegawanyika na wamepewa Wamedi na Waajemi.
Mungu atajibu maombi na sala za watanzania kwa wakati wake
Kiongozi wetu amesahau kuwa ajikwezaye atashushwa na vice versa
 
Godbless J Lema matukio haya yanaonyesha mtapata shida sana 2020 maana nyie ndo mko front line. Ni Mkurugenzi gani atathubutu kukutangaza umeshinda ubunge hata kama umeshinda kweli? Unadhani wafuasi wako watakuwa salama wakisimama na wewe kutetea haki yao na yako?

Nakuomba kama viongozi, mjipange sana 2020 kimkakati. Dhuluma mtakayokutana nayo haijawahi kutokea.
 
SIO WOTE WAKRISTO . UWE UNABALANCE STORY ZAKO ZA KIDINI '' MBUGE GANI MDINI''; AU KURA ZAKO ZA UDINI''
NCHI HII AIONGOZWI NA BIBLE HII INAONGOZWA NA KATIBA ILIYOTENGENEZWA NA WATANZANIA
Vipi yule anayeongea kisukuma majukwaani? Kwani nchi hii ni ya kikabila?
 
M nadhani wakati ndugu wakigombana,sii ndio muda wetu wa kwenda kulima.huu ndio ulikuwa wakati wetu wa kujiimarisha,
 
MENE - Mungu ameuhesabu Ufalme wako na kuokomesha.

TEKELI - Umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.

PERESI - Ufalme wako umegawanyika na wamepewa Wamedi na Waajemi.

Kama misingi ikiharibika, Mwenye haki atafanya nini?
Bwana yu katika hekalu lake takatifu. Bwana ambaye kiti chake kiko mbinguni, Macho yake yanaangalia; Kope zake zinawajaribu wanadamu.
Bwana humjaribu mwenye haki; Bali nafsi yake humchukia asiye haki, Na mwenye kupenda udhalimu.
Awanyeshee wasio haki mitego, Moto na kiberiti na upepo wa hari, Na viwe fungu la kikombe chao.
 
Pamoja na maandiko funzo lingine tunalopata kwa issues zinazoendelea ni kwamba tunahitaji kuwa na Katiba imara yenye kuweka na kusimamia mihimili ya dola iliyo huru; yenye maamuzi yasiyoingiliwa au kuingiliana iwe moja kwa moja au kwa usiri (indirectly).

Kiufupi, bila Katiba imara hali itaendelea kuwa hivi hivi miaka nenda miaka rudi; hata aje malaika bila Katiba imara hakuna kitakachobadilika. 1. KATIBA 2. KATIBA 3. KATIBA. Kumbukeni yale maneno maarufu ya Mwl; "Kwa Katiba hii ..."
Kaka katika vinchi vyetu hivi vya dunia ya 3; visivyo na taasisi imara za utawala katiba peke yake sio muarobaini wa utawala wa bora, bila kupata kiongozi mkuu mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu, hekima na busara na upendo usio kifani kwa raia wake, katiba na sheria vitabakia kama makabrasha tu kabatini vikikusanya vumbi! Twafwaaa!
 
Back
Top Bottom