Mene mene tekeli na peresi - Lema

Mene mene tekeli na peresi - Lema

BARAKOA.
20210318_141445.jpg
 
Na kwa Nape huyu sina shaka nae kwa hilo...!! Huko kwa JK aliendelea kuwa nao miaka yote hiyo kwa sababu JK anajua jinsi ya kuwa-handle watu wa aina ya Nape!!! Ndo maana kila wakati nawasisitizia watu tusimhukumu Nape kwa yale aliyokuwa anayafanya wakati akiwa Katibu Mwenezi wa CCM kwa sababu he's doing his job and there's no way anti-CCM angeweza kuyapenda yale... it's politics!! Kwahiyo nami nitafarijika sana akichukua huo uamuzi and I bet; atauchukua tu haidhuru hata kama sio leo au kesho!!!!
LEMA, MWENZIO ANAKWENDA KUWAONGOZA MALAIKA MBINGUNI, WEWE ENDELEA TU NA MIPASHO YAKO
 
sote tunapita njia moja. hatupaswi kufurahia kifo cha binadamu mwenzetu maana Mungu anaweza kumchukua yeyote yule amtakaye. Lema acha kuhalalisha chuki zako kwa kulinganisha maandiko
hakuna anayefurahia kifo hiki, bali wengi wanashukuru kwamba walau hatma ya maisha yao yaweza kurudishwa !! kumbuka Mwenyezi Mungu ni mwenye HAKI na kazi yake haina makosa!! yawezekana akamwondoa mmoja ili kuweka sawa yajayo !! who knows.
 
Kama hapa duniani wenzake wote walikuwa wanaajiri walimu na madaktari kila mwaka, yeye alishindwa si akifika huko atafuta sherehe na atawapangia malaika cha kufanya?
Km alishindwa kutoa nyongeza ya mshahara na fao la kujitoa huko si itakuwa balaa akifika?
Km uhakiki ulifanyika kwa polisi, walimu, madaktari na kada zingine lkn wanajeshi waliachwa kisa wakirudi mtaani watakuwa majambazi. Unafikiri haki ilikuwepo? Akifika huko si atakuwa ana upendeleo
LEMA, MWENZIO ANAKWENDA KUWAONGOZA MALAIKA MBINGUNI, WEWE ENDELEA TU NA MIPASHO YAKO
 
Salamu Watanzania,

Naomba tusome andiko hili kutoka katika Biblia. Daniel 5: 19-21 na mstari wa 25 hadi 28.

Na kwa sababu ya ule ukuu aliompa, watu wa kabila zote, na mataifa, na lugha, wakatetemeka na kuogopa mbele yake; aliyetaka kumwua alimwua; na aliyetaka kumwacha hai, alimwacha hai; aliyetaka kumtukuza, alimtukuza; na aliyetaka kumshusha, alimshusha.

Lakini moyo wake ulipoinuliwa, na roho yake ilipokuwa ngumu akatenda kwa kiburi, aliuzuliwa katika kiti chake cha enzi, nao wakamwondolea utukufu wake.

Akafukuzwa mbali na wanadamu moyo wake ukafanywa kuwa kama moyo wa mnyama, na makao yake yalikuwa pamoja na punda - mwitu; akalishwa majani kama ng'ombe, mwili wake ukalowa maji kwa umande wa mbinguni; hata alipojua ya kuwa Mungu aliye juu ndiye anayewatawala katika ufalme wa wanadamu, na ya kuwa humweka juu yake yeye amtakaye, awaye yote.

Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI NA PERESI. Na tafsiri ya maneno haya ni hii;

MENE - Mungu ameuhesabu Ufalme wako na kuokomesha.

TEKELI - Umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.

PERESI - Ufalme wako umegawanyika na wamepewa Wamedi na Waajemi.
Duh...!.
P
 
Nami binafsi nashukuru sana kuona maandiko yanatimia!! Ni kutimia huku kwa maandiko; ndiko wale wenye macho na hawaoni na wana masikio lakini hawasiki; hatimae wataanza kuona wazi wazi "Malaika" akianza kunywa damu za kondoo wa Bwana!!!

Si wote walishaona ukuu aliopewa ameanza kuutumia kuua kwa aliyemtaka na kumwacha hai yule aliyemtaka!! Lakini taratibu, kadri siku zinavyoenda, maandiko yanaaza kudhihiri hata miongoni mwa wale wenye masikio ambao walishindwa kusikia kwa kipindi kirefu au wale wenye macho na kushindwa kuona!!!

Huyu Mtoto pekee ndio muujiza mkuu tulioletewa wanadamu ili hatimae vipofu waweze kuona na viziwi kusikia!!
Duh...!.
P
 
Back
Top Bottom