Membe, Kinana, Nape, Makamba kwanini hawakumzika Rais Magufuli?

Stuka

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
214
686
SIKU ya mazishi ya HAYATI MAGUFULI, Membe, Kinana, Nape, Makamba Baba na Makamba mtoto hawakuonekana mazikoni nini kiliwasibu kutomzika Magufuli?

Maswali haya walijiuliza watanzania wengi kwamba Magufuli aliwakosea nini hadi washindwe kumzika?

Kama nitakuwa nimekosea kusema hawakuwepo kumbe walikuwepo Chato mnaweza kunisahihisha.
 
Msiba wa kuzika watu wote haijawahi kutokea wanaojaaliwa wasaa ndio wanaozika labda kama mna ugomvi wenu na hao uliowaulizia

Sent from my 2201116SI using JamiiForums mobile app
 
SIKU ya mazishi ya HAYATI MAGUFULI, Membe, Kinana, Nape, Makamba Baba na Makamba mtoto hawakuonekana mazikoni nini kiliwasibu kutomzika Magufuli?

Maswali haya walijiuliza watanzania wengi kwamba Magufuli aliwakosea nini hadi washindwe kumzika?

Kama nitakuwa nimekosea kusema hawakuwepo kumbe walikuwepo Chato mnaweza kunisahihisha.
Waganga wa Jadi kama hawa huwa hawajitokezi kwenye MISIBA maana wanajua nafsi zinawashitaki

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIKU ya mazishi ya HAYATI MAGUFULI, Membe, Kinana, Nape, Makamba Baba na Makamba mtoto hawakuonekana mazikoni nini kiliwasibu kutomzika Magufuli?

Maswali haya walijiuliza watanzania wengi kwamba Magufuli aliwakosea nini hadi washindwe kumzika?

Kama nitakuwa nimekosea kusema hawakuwepo kumbe walikuwepo Chato mnaweza kunisahihisha.

Topic ya kimbeya ! Mambo ya misiba ni ya kiimani na kirafiki huwezi kuwahusisha watanzania kwenye maamuzi binafsi ya mtu.
 
SIKU ya mazishi ya HAYATI MAGUFULI, Membe, Kinana, Nape, Makamba Baba na Makamba mtoto hawakuonekana mazikoni nini kiliwasibu kutomzika Magufuli?

Maswali haya walijiuliza watanzania wengi kwamba Magufuli aliwakosea nini hadi washindwe kumzika?

Kama nitakuwa nimekosea kusema hawakuwepo kumbe walikuwepo Chato mnaweza kunisahihisha.
Kwani wewe unahudhuria kwenye mazishi ya ndg zako wote? Au unataka kusema ndg zako ambao hujahudhuria mazishi yao wamekukosea au hawana thamani kwako?
 
Kwa ile chuki isiyo na sababu ambayo Magufuli aliipandikiza dhidi ya wote wenye mtizamo tofauti na msimamo wake, ulitegemea hao uliowataja watoe pole au kuhudhuria msiba wa Magufuli?

Ni wazi kama wangedhuria ingeonekana ni dhihaka dhidi ya Marehemu na wapambe wake. Busara ilikuwa ni kukaa kimya na kukwepa mazishi yake, muda upite na mambo mengine yaendelee.
 
Hamnaga jambo jepesi na la kuhuzunisha ka uwapo bafuni waoga mara ghafla anafungua mlango mwanasiasa inauma sanaa
 
Back
Top Bottom