sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,369
Nina ujumbe mfupi Kwa vijana WA CCM Tu yakuwa January Makamba wa 2015-2020 sio Jaunuary Makamba wa 2023-2024 ili hata nyie mtanielewa.
Popularity ya January Makamba aliyeingizwa top 5 na Wana CCM yaani wajumbe imeshuka Sana na hata hii iliyopo ni Kwa juhudi za Samia Suluhu Hassani kinyume chake huyu angelikuwepo mwendazake walahi sijui nini kingejili.
Je, wajua kwanini?
January alijengwa vizuri Sana na ndugu yetu Jakaya Mrisho Kikwete na alimuandaa kuja kuwa Rais baada ya Membe.
Kilimchomharibu.
Kwanza ni baada ya kunaswa maongezi akimtusi Magufuli yeye Baba yake, Nape na Kinana walikuwa wapotezwe.
Pili lile genge team Makamba lililompandisha mpaka kileleni Magufuli alilitapanya
Je, Makamba alikuwa Presidential material au Kikwete alikuwa anajiandalia mazingira ya kuendelea kututawala miak 20 baada ya kutoka madarakani?
Kwa ufupi Makamba ni mwanafasihi mzuri wa kutunga riwaya yaani ni MTU mwenye Akili nyingi mno Ila sio presidential material kamwe
Kwa ufupi Kikwete alikuwa akiandaa mazingira ya kututawala Kwa kivuli cha Membe, na baadae Makamba junior.
J, waliomtweza January mpoooooo?
Kuthibitisha hilo Makamba ajitokeze aelezee Umma mafanikio ya Wizara ya Nishati tangu alipokuwa Waziri.
Wizara aliyowekwa sasa atiweza maana aliwai kuhudumia na yule bwana na mambo zetu haya ndo mwake mwake.l