Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

Speechless-JF of old niliyojiunga nayo is back-what exactly is happening in tanzania"s frontline politics laid bare to the bone.Asante sana wachangiaji
 
You can fool all the people some of the time, and some of the people all the time, but you cannot fool all the people all the time, TANZANIAN now are wise enough, no time to cheat them, they know the time to make changes! its 2015
 
hivi hawa watu wawili, RA na EL haiwezekani wakauwawa jamani kama wanavyouwawa wananchi wengine ambao wana uchungu na nchi hii lakini wanasiasa hawawapendi?
 
Mpaka 2015, wale wanaofikiri wamesimama tayari watakuwa wamelala chini kwa mwendo huu.
 
Kweli kweli Ame u have made my day, thanks very much for the link of worshiping our LORD -YouTube!!!!!!!!!!!! Didn't know you had very beautifull things like this!!!!!!!!! Let my good LORD Bless u and your family enjoy your day thanks!!!!!!!!!!! And that profecy is Amen!!!!!!!!!!!!

My brother let me join my faith with you.....

Wanawaisrael walipokuwa wamekutana na bahari ya sham wakiyakimbia majeshi ya Misri Musa aliwaambia hivi...Fear not standstill and see the salvation of the Lord...for the egyptian whom you have seen today ye shall see tham again no more....the Lord shall fight for you...and the Lord said to Moses (AME) wherefore criest unto me? Speak unto the children of Israel (TANGANYIKA) that they go forward!

There is a cry of Mwakyembe, Membe, Mwandosia Slaa, those who are killed etc etc should I also cry yes I did and there was an answer from Jehova '... speak unto my children that they may go forward...Read exodus 14 for reference

To raise up your faith remember the work of God some few days a go.....


Yeye ndo katekwa nyara na majeshi ya mbinguni sasa hivi anaona maruwe ruwe nimeamua kusimama kwa zamu yangu katu Shekhe Yahaya hawezi kusema kitu kikatokea na daima ataonekana mwongo! I have the authority and powers to tread upon the serpents and all evils and nothing shall by any means hurt me; mpeni salamu the powerhand is changed!

what happened I need not say; it was not the work of my hand that I should bost! One thing I know and sure this is my strength as Moses sang this song so shall we do the same at the end...

"I will sing unto the Lord for He has triumphed gloriously: the horse and his rider has He thrown into the sea. The Lord is my strength and song and he is become my salvation: He is my God and I will prepare Him an habitation my father's God and I will exault Him! The Lord is a man of war: the Lord is His name.......Thy right hand ooh Lord has become glorious has dashed in pieces the enemy. And in the greatness of your excellence you have overthrouwn them that rose against thee......The enemy said I will persue will overcome I will divide the spoil; my lust shall be satisfied upon them; I will draw my sword my hand shall destroy them.....Though didst blow with thy wind; the sea covered them: they sank as lead in the mighty waters....The people shall hear and be afraid (non believers)...then the duke of Edom shall be amazed; the mighty name of Moab (UFISAD) trembling shall hold upon them.....Fear and dread shall fall upon them by the greatness of thine arm they shall be as still as stone; TILL YOUR PEOPLE PASS OVER which though hast purchased. THOU SHALT BRING THEM IN and PLANT THEM IN THE MOUNTAIN OF THINE INHERITANCE (TANZANIA NJEMA) which Lord hast made for them to dwell in....THE LORD SHALL REIGN FOREVER AND EVER......AMEN and so shall it be in Jesus name!
 
Lowassa, Membe wote wachumba tu. Waleteni 2015 tutawashugulikia vibaya sana. pawa pipoooooooooo!!!!
 
Yani kama movie based on true story the THE LAST DON.Anyway nadhani ndio maana kumbe tuko hivi,manake BASI hii ni hatari na SICILY ni DAR ES SALAAM.

Nilikuwa siamini kuwa Mwandosya na Mwakyembe wamefanyiziwa, sasa naanza kuamini kwani the guy who has written this thread seems to know what he is writing about and authoritatively too!! Nchi yetu imefika pabaya na yote hiyo kwa sababu ya tamaa ya cheo. Someone has to come forward and stop these mafiosi before the country disintergrates.
 
Kamanda naona hii post umeitumia chooni maana na wewe ukigundulika tutakukuta RSO Mtwala kama hutamfuata Mwakyembe Appollo India!!!!! Ila si vibaya kumtaarisha Ndg yetu Membe awe alert na hawa mamafia wa TZ!!!!!!!!!!!!

Humjuwi Membe! Ni fisadi usipime! na hivi ni vita vya kimaslahi zaidi kuliko commitment kwa watz! None of them is suitable for presidential post in 2015!
 
........usiku wa kiza.
Hakuna ukweli wowote zaidi ya siasa na vita baina yao ktk maandalizi ya mgombea Urais 2015...Hawa wote ni wamoja, Safari ya 2015 watakufa wengi na Membe sii mmoja wao, he is smart na ndio maana ianatakiwa na makundi yote ya ndani. Mafiga matatu yanayo eneza fear ni Lowassa, Rostam na Chenge!..

Na nitaendelea kusema mwandishi hajui kinachoendelea nyuma ya kundi hili kwani hata huyo JK ni mtu alowekwa tu kama alivyowekwa Membe. Mwakyembe na Mwandosya sii tishio na hawajawahi isipokuwa wanatumiwa kama walivyotumiwa mawaziri wengine wote..CCM ni chama kubwa, ni System ambayo kama wanataka kumwondoa Membe wangefanya bila wewe kujua, na Membe angejua kabla ya mtu yeyote na tukamsikia akipiga makelele wanataka kuniua!.

Uchaguzi wa Igunga ilikuwaje CCM wakamtumia Mkapa na Rostam? - Ilikuwaje Lowassa akawa mwenyekiti wa kupitisha wabunge wa CCM ktk uchaguzi uliopita wakati yeye na Chenge wakarudi bungeni ili iweje? - Tunatakiwa kuwalipa Dowans (kina nani) kwa maamuzi ya mahakama! - Wauaji wa Kombe wametolewa kwa hisani ya rais ambaye hajui hata la kusema, unaweza kuiweka hii katika maandishi yoyote ya kisheria up to why?..JK anaendeshwa kwa remote control na yeyote anayekwenda naye yuko salama tu..
Membe atakuwa mgombea kama wakitaka na hakuna lolote baya alolifanya kufikia hawa watu kumweka ktk kitabu cheusi..
 
VOR naona unaitaji kuingia dalasani kidogo kuhusu hawa jamaa Hiyo movie ni story ya Mafia based on true story iliyotegenezwa kuelezea mfumo wa shughuri za kimafia kuanzia miaka 1922 ya ndani ya Taifa la Marekani na hicho nilichokitoa mimi ndio ufahamu wangu katika kupitia vitabu na kusoma makala mbalimbali[1922].Hawa jamaa naona wewe unaona ni vitabu ya kuigiza [Fiction Story] kamwe haya ni mambo ya kweli.Na kwa wenzetu Hooly wood ni watu wenye kutengeneza vitu ambavyo wakati mwingine aviendi mbali sana na ukweli wa mambo yao mengi haswa zinapokuja kwenye angle za kisiasa na kiuchumi.

Hata issue ya JFK Rais wa Marekani miaka ya 1960 alikumbana na mziki wa hawa jamaa baada ya kuwa alikuwa na mahusiano na superstar, kmcheza sinema na Mwimbaji Marilyn Monroe [Beyonce wa zama hizo] kwa miaka hiyo ya late 50s na early 60s.Walikutana na JFK miaka ya 1954 na wakaja kuwa wapenzi lasmi [President's Lover] mwaka 1961 December yani ndani ya Mwezi huo Tanzania Inapata Uhuru.Lakini binti huyo aliingiza familia ya JFK kwenye mgogolo kiasi kuwa bwana mdogo wa Rais ambae alikuwa mwanasheria wa Serikali RFK [Attoney General] FFK nae akaanza kula mzigo ulio liwa na kaka yake ,kiasi kuwa Wazazi wao JFK na RFK wakamwomba dogo kutema mzigo huo haraka sana baada ya kujua hilo.

Katika familia kutema mzigo huo mdau wa mafia akaibuka Don Sam Giancana akawa anatafuna mzigo, na makazi yake ya kutafuna mzigo yalikuwa kwenye Mansion ya Mwanamziki Maalufu enzi hizo Frank Sinatra [kwa wazungu wanamziki wa kizazi cha sasa hakuna mfano wake].Sasa pata picha je wakati Mkuu anatafuna mzigo je The Don nae alikuwa anakula pamoja nae.Mrembo huyo alikufa mwaka 1962 mwaka mmoja baada ya ya bosi kujua kuwa mtoto kaliwa uroda na Don Sam katika Bangaroo la Frank na wakati huo aliaga dunia na kuacha taarifa kuwa wahusika ni nani.Baadae mwaka mmoja 1963 Rais wa Nchi ya Marekani JFK nae akaondoka kwa kuuwawa [Asssination]

Kwa hivyo hizi sio hadhiti za kuigiza haya ni maisha ya kweli na yapo mpaka sasa,inatgemea unayachukuliaje.

Kama kuna ukweli vile... soma: Frank Sinatra and Marilyn Monroe named in Mafia plot to smear Kennedys, FBI file reveals | Mail Online
 
Kazi ipo kwa kweli naona kila mtu anaamua kuweka majasusi wake humu kwa njia ya kumchafua mwenzake kwa kweli....Kwa mtazamo wangu Lowassa anayo haki ya kuwania Urais nchi hii na sidhani kama kuna kosa hapo...Hata Membe yuko poa pia......Tuwe watulivu jamani vijembe kama kwenye taarab ila pia msitaje mambo ya ndani jamani nawaomba muwe wapole.
 
emotions running high

Lowassa has to move on

he had his chance and he blew it
 
Binadamu ni viumbe dhaifu sana. Kwa udhaifu wao hujisahau na kujipa mamlaka ya kimungu. Hujihisi wanaweza kuumba, kuua na kumiliki na kutawala hisia za watu wote.

Awali zilitumika fedha kujaribu kunyamazisha hoja hazikufanikiwa kunyamazisha watu wote na kupangua hoja zote. Kisha, ikaonekana pengine kwa kununua wanahabari na magazeti wanaweza kufanikiwa kunyamazisha hoja na hisia za watu dhidi yao. Wakanunuliwa wahariri na wasomi lakini nalo likashindikana. Ikaamuliwa sasa kutumia wanasiasa, vikao vya siasa(vikao vya Chama na bunge ikiwemo Kamati za Bunge) nako kumeshindikana. Wakaamua kujificha chini ya Sheria kwa kununua mawakili machachari na kutumia Mahakama ikiwemo tozo ya Dowans ambako nako ushindi wa hukumu ya Dowans umekuwa shubiri kwao.

Sasa wamegeukia vitisho, kupandikiza hofu na kuondosha watu(elimination). Na mbinu hii pia itashindwa maana bado haitaweza kutoa majawabu ya kiu ya wananchi ya kutaka haki, Amani, maisha bora na ustawi wao na vizazi vyao. Yeyote atakayesimamia haya atavikwa taji na kukumbatiwa na watu.

Hata akiuawa Membe au Mwakyembe, wataibuka wengine wengi kweli kwa kuwa haitawezekana kamwe kuua kile wanachokisimamia ambacho ni ustawi na maslahi mapana ya umma. Nchi hii ni yetu sote. Vitisho vyao havitanyamazisha sauti iliyo kuu ya kupinga ufisadi. Hata ikitokea sauti ya Membe na wengine ikanyamazishwa basi mawe yatapaza sauti.

Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.
Vox populi vox Dei!
 
hivi hawa watu wawili, RA na EL haiwezekani wakauwawa jamani kama wanavyouwawa wananchi wengine ambao wana uchungu na nchi hii lakini wanasiasa hawawapendi?
Tumuachie Mumngu ndie muamuzi wa yote. Wenyewe kwani wataishi milele????
 
Ni swala la wakati,yote yana mwisho na ukweli utafahamika na kusimama. Ikithibitika haya mambo yatakuwa mabaya na magumu mno kwa wahusika ktk taifa hili,fikra haiuwawi na Mungu wetu ni wa haki na hapendi watu wake wapotee. Siku ikifika,ambayo naamini iko kalibu sana kwani viashiria vya onyesha ndipo mkweli,mnafiki na muuwaji watafahamika wazi na kila mmoja atabeba dhamana yake. Mungu ameamua kutufunua watanzania sasa basi yatosha na haki na ukweli utakuwa wazi kwetu sote.
 
hivi ccm wooooote kwisha mnamwaminia lowasa tu
ndo mnaweza kumsimamisha??????????
asee ccm ni maiti inayotembea teyari
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Membe???? If I had to choose of the two evils, I will go for Lowassa! By the way siyo kila mwana JF amemchoka Lowasa! Gizani hatujaingizwa na Lowassa bali na Jakaya! Why should u blame a child for the wrongs of his father?
 
Jamani , Nisaidieni, vipi Membe anauwezo? Au tu kwa vile jk amekuwa rahisi na kila moja anaweza? Hii vacuum ni babkuwa

Mimi na mwona Membe kama hana uwezo kabisa. Anatabia ya kike zaidi kuliko jk, hotuba zake zote nimeziona kama vile haina mpangilio na tena hana mvuto wowote wakati akifunua kinywa chake kuzungumza. Amefanya makosa mengi moja wapo ya karibuni ni pamoja na kutokuitambua serikali iliyopigana na gadafi na kumwita balozi wa libya. Je munamwonaje?
 
Back
Top Bottom