Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

aisee.............

That is why we love JF!!! I must admit kwamba i couldnt agree more with Slider on EL, his a goner and past is always a past

But on Membe!!!!??? i will never agree with you, you need to separate two things uadilifu and a leader. Member could muadilifu, but he is never a leader IMO

Where is my pack of embassy light

I have the lighter hapa, acha nipumzishe ubongo. This is too much to handle in one tym
 
This thread has done us one significant favour. For the first time, the serial killers have claimed responsibility for what has befalled two of our dedicated Tanzanians who are now bed ridden in India. They are also claiming responsibility for what is in stoke, as far as eliminating their critics and competitors is concerned. But don't think that Tanzanians are so stupid. They will not stand aside and watch as you execute these murderous acts unabetted. Again, don't drag our beloved President into this suicidal plot because we know our preseident more than what you think we know.

The thread has clearly told us that your king fears competition and criticism and he is the Charles Taylor of this country who thinks he can eliminate everybody to ascend to the coveted seat. He assumes that God will bless these satanic plans through and through. They have confirmed that these are dirty people who cannot be trusted with any junior position in the service of this country. We now know that Membe is next on the list and Tanzanians have taken note of this and they are watching!
 
"So far Lowasa has convinced himself that if he reminds us about his old gone by days as former premier and how UNFAIR life has been to him tangu ajiuzulu, we'll forget about his incompetence, deceits, duplicities, dishonesty, downright lying, bullying, cowardice, legendary volcanic temper tantrums, vanity, sulking, unjustified sense of entitlement, betrayal, bungling and boasting in both public and private functions.

quoting sliding doors this is very true representation of EL..we dont need him, membe nae hafai too close to JK, Riz1 and all the malaise of this government. Tunataka mapinduzi 2015 CDM wapewe nafasi waje na wao kuaribu basi, CCM wamechoka hata kufikiria acha kuongoza.

 
Ushauri wangu kwa Membe:

Be careful sana katika game hili Membe. Kama kweli unautaka urais lazima kwanza uufahamu mchezo unavyokwenda. Wenzako wanacheza game nzito na kisayansi zaidi.Know your enemy first. Na kwa kukusaidia, adui yako namba moja ni huo utatu and not an individual person

Toka lini kuua wapinzani wako ikawa ni kucheza game kisayansi? Ni lazima muelewe one thing:

We may not know who the next president is, we know who will not be! Edward Ngoyai Lowassa will not be the president of this wonderful Republic!
 

The difference between Lowasa & Membe ni kuwa tofauti zao ni sawa na Usiku na Mchana. And the is that Lowasa hasn't got a 'story' which comes anywhere close not only to JK lakini to Membe.
Just like JK, Mheshimiwa Membe is the son of of an ordinary MKULIMA, who rose from poverty to become one of our best foreign ministers. He has a proud record of political integrity and has never been afraid to put the interests of this country first.


Hiki kilichokufanya ubadili mawazo yako kuhusu Bernard Membe ningependa kweli kukijua. I'm impressed.
 
Huo utatu mtakatifu ukija kuparanganyika basi wengi wataumia na kwenda na maji.
 
Hizi story nzuri sana hebu tutafute wanaJF wanaoweza kuigiza vizuri tutengeneze movie naamini itakuwa bonge ya movie tuuite SPEED TOWARDS 2015 PRESIDENTIAL CANDIDATE
 
Kuamini kuwa jk anaweza kushiriki ku 'eliminate his enemies' ni non sense; JK yuko incompetent hata kwenye ku fight his enemies...

Halafu yeye alichotaka ni kuwa rais na ameshakipata....sasa 'aji risk 'kiwango hiko?

Hiyo siamini...

But hapa kuna kitu ineresting zaidi......

Future ya nape nnauye....with all this....
 
Nikiangalia kazi anayoifanya Nape sasa na uhusiano wa hao watatu uliowaeleza hapa nachanganyikiwa kabisa. Wengi tunaamini kauli na matendo ya Nape yana "full backing" ya JK kama hayo maneno ya kiingereza ni sahihi. Hilo moja.

La pili, JK na hao wawili hawana namna ya kutupatia Rais ajaye wala mmoja wao kuwa kiongozi wetu mkuu. Hili hata wao wanalijua. Jambo moja ambalo wengi hatulijui ni nani Rais wetu 2015.
 
Tanzania yenye neema bila CCM kuwa madarakani inawezekana.

Hawa wooote wanaopigana vita hadi kuwekeana sumu hawafai kuongoza kwani uongozi hasa nafasi ya urais ni mzigo mkubwa mno kuubeba kama unayo dhamira ya kweli ya kuwatumikia watanzania hivyo mtu yoyote anayeitafuta nafasi hiyo kwa mbinu chafu ikiwa ni pamoja na matumizi ya fedha, kuwachafua wengine, kuwadhuru wengine na vitendo vinvyofanana na hivyo hatufai. Hao wote wanaotajwa na kupigiwa debe wameshajiingiza kwenye mbinu hizo chafu hivyo hawafai.

Mfano hai ni JK ameutafuta urais kwa miaka 13 na alitumia mbinu chafu hadi kuupata urais, lakini sisi wote hapa Tanzania ni mashahidi wa jinsi alivyoshindwa kuongoza na jinsi afisadi ulivyoshamiri katika kipindi chote cha utawala wake. Dawa peke ni watanzania kuikataa CCM na makada wake wasipate nafasi tena katika uongozi wa Taifa letu.

TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA
.
 
Kwa kuzingatia viapo vya watu hao, Nape naye ni mmoja wa wahanga wa mipango hii, hasa kwa kitendo chake cha kumsindikiza mbaya wao kuelekea safari ya Apollo.
 
wakati mwingine unaweza kuamini kabisa kuwa TZ imefikia kama Sicily Italia enzi hizo... rejea masimulizi ya Mario Puzzo

mwanakijiji pls if u have t plss n pleaseeeee naomba...NAPENDA SANA HISTORIA YA ITALY n its politics..umafia wao ..sicily..pleasee naomba unitumie!!!!!
 
hutaki unaacha nakukumbuka sana mwaka jana wakati wa uchaguzi......hahah.....
 
Itafika siku hao wote watang'olewa na Haki. Haki ni kwa wote wache wale tu lakini ikifika siku watapumzika huko kula, kwao kutakwisha na Wanyonge watapata kupumua eeeh Mwenyeezi Mungu inusuru Nchi yetu na utupatie viongozi wanaoipenda Nchi yao pamoja na Sisi walala hoi amina.
Mwenyezi Mungu ndio anapanga kila kitu, wote tutakufa hata kama Mwandosya na Mwakyembe wako njiani. Mungu anajua nani atatungulia, si ajabu kifo cha wabaya wao kitakua kibaya zaidi.
 
Hiki kilichokufanya ubadili mawazo yako kuhusu Bernard Membe ningependa kweli kukijua. I'm impressed.

[h=5]Total Posts[/h]Total Posts
5
Posts Per Day
0.01
[h=5]Visitor Messages[/h]Total Messages
0
Most Recent Message
Never
·
[h=5]User Notes[/h]
[h=5]General Information[/h]Last Activity
Today 03:24
Join Date
19th September 2010
 
Mwisho wa siku kwenye uzi huu tutatengeneza tamthilia yenye episode nyingi itakayoisha 2015 November.
 
Back
Top Bottom