ALHAJI SHEIKH YAHAYA HUSSEIN ATAHADHARISHA TEna

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,697
8,843
Wadau hii imekaaje ? au ndio yale ya Mwakyembe ?

PRESS RELEASE
VIONGOZI KUTEKWA NYARA

UTABIRI WA MWEZI APRILI:

"Kuanzia tarehe 19 April na kuendelea hadi July, viongozi wa siasa na wafanya biashara maarufu wajichunge kutekwa nyara na kuibiwa, wao wenyewe na kufanywa kama bidhaa.

Viongozi hao wachukue tahadhari nyakati zao za kutembea na wanaposafiri kwani pana uwezekano wasirudi, utekaji nyara huo ni wa viongozi tuliowataja na wasijiamini wanaposafiri au wakiwa kwenye mikutano wasiwe peke yao na wawe na mipangilio ya tahadhari nyakati zote. Nyota pia zinalenga wake na masahiba ya viongozi hao mashuhuri".

Sheikh Yahya Hussein.
Mnajimu Mkuu Afrika Mashariki na Kati
P.O.B0X 21250 DAR ES SALAAM
TEL: +255 75 4672464​

H@ki Ngowi: Sheikh Yahya Hussein Atabiri Viongozi Kutekwa Nyara
 
Yeye ndo katekwa nyara na majeshi ya mbinguni sasa hivi anaona maruwe ruwe nimeamua kusimama kwa zamu yangu katu Shekhe Yahaya hawezi kusema kitu kikatokea na daima ataonekana mwongo! I have the authority and powers to tread upon the serpents and all evils and nothing shall by any means hurt me; mpeni salamu the powerhand is changed!
 
Sheikh Yahya Hussein.
Mnajimu Mkuu Afrika Mashariki na Kati
P.O.B0X 21250 DAR ES SALAAM​
TEL: +255 75 4672464​
Huu ukuu kampa nani?
 
Mnajimu "Mkuu" ni nani aliyempa U-MKUU ...Je ni wanajimu wenzake? Pia inakuwaje mtu anatabiri...wakati huo huo anatoa ushauri wa kuweza kuepuka
 
Wadau hii imekaaje ? au ndio yale ya Mwakyembe ?

PRESS RELEASE
VIONGOZI KUTEKWA NYARA

UTABIRI WA MWEZI APRILI:

"Kuanzia tarehe 19 April na kuendelea hadi July, viongozi wa siasa na wafanya biashara maarufu wajichunge kutekwa nyara na kuibiwa, wao wenyewe na kufanywa kama bidhaa.

Viongozi hao wachukue tahadhari nyakati zao za kutembea na wanaposafiri kwani pana uwezekano wasirudi, utekaji nyara huo ni wa viongozi tuliowataja na wasijiamini wanaposafiri au wakiwa kwenye mikutano wasiwe peke yao na wawe na mipangilio ya tahadhari nyakati zote. Nyota pia zinalenga wake na masahiba ya viongozi hao mashuhuri".

Sheikh Yahya Hussein.
Mnajimu Mkuu Afrika Mashariki na Kati
P.O.B0X 21250 DAR ES SALAAM
TEL: +255 75 4672464​

H@ki Ngowi: Sheikh Yahya Hussein Atabiri Viongozi Kutekwa Nyara

Bull
..........................................
 
...isije ikawa ndo ile movie ya kuwadili akina Sitta na Mwakyembe. Ngoja tuone.
 
Siyo kwamba anatabiri ila anatoa taarifa kutokana na yale yanayoendelea huko Dodoma, unajua kuna kundi ambalo litaumia huko hivyo tayali limemuambia mtoa habari wao ambaye ni ALHAJI SHEIKH YAHAYA HUSSEIN kuhadharisha kwa namna hiyo.
 
Hivi bado anatabiri jamani, AIBU aliyopata mwaka jana kuhusu uchaguzi mkuu kutofanyika bado hafungi mdomo tu, kweli kazeeka vibaya
 
Mnajimu "Mkuu" ni nani aliyempa U-MKUU ...Je ni wanajimu wenzake? Pia inakuwaje mtu anatabiri...wakati huo huo anatoa ushauri wa kuweza kuepuka

ndugu huwezi jua inawezekana hicho cheo wamepeana huko kny vikao vyao vya kichawi.
 
Na akitekwa mtu yeye ni mtuhumiwa wa kwanza. Ashindwe kwa Jina lishindalo majina yote!!!!!!:A S clock:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom