Mambo binafsi ya mtu usiyafuatilie. Wengine tupo kibiashara zaidiHiki kilichokufanya ubadili mawazo yako kuhusu Bernard Membe ningependa kweli kukijua. I'm impressed.
Ushauri wangu kwa Membe:
Be careful sana katika game hili Membe. Kama kweli unautaka urais lazima kwanza uufahamu mchezo unavyokwenda. Wenzako wanacheza game nzito na kisayansi zaidi. Know your enemy first. Na kwa kukusaidia, adui yako namba moja ni huo utatu and not an individual person
ndo maaaanaaaaa....... dah
Mwenyezi Mungu ndio anapanga kila kitu, wote tutakufa hata kama Mwandosya na Mwakyembe wako njiani. Mungu anajua nani atatungulia, si ajabu kifo cha wabaya wao kitakua kibaya zaidi.
Mwanakijiji hujaitendea haki hii thread. You cannot be this economical with facts. We need your robust contribution please!
This thread has done us one significant favour. For the first time, the serial killers have claimed responsibility for what has befalled two of our dedicated Tanzanians who are now bed ridden in India. They are also claiming responsibility for what is in stoke, as far as eliminating their critics and competitors is concerned. But don't think that Tanzanians are so stupid. They will not stand aside and watch as you execute these murderous acts unabetted. Again, don't drag our beloved President into this suicidal plot because we know our preseident more than what you think we know.
The thread has clearly told us that your king fears competition and criticism and he is the Charles Taylor of this country who thinks he can eliminate everybody to ascend to the coveted seat. He assumes that God will bless these satanic plans through and through. They have confirmed that these are dirty people who cannot be trusted with any junior position in the service of this country. We now know that Membe is next on the list and Tanzanians have taken note of this and they are watching!
Hilo group la watu watatu linamnyemelea Sitta baada ya kumwangamiza Mwakyembe kwa sumu. Mipango yote inatekelezwa na Rostam.
Na huko Appolo alikokwenda ndipo wanaenda kummalizia kabisa, Kwa nini wasipelekwe hospitali nyingine? Wahindi wanaoshirikiana na Rostam wanahakikisha kila anaepinga interest zao za kuimaliza TZ anapelekwa huko na huko ndiko madaktari waliolipwa na kodi zetu wanawamaliza.
Hivi majuzi nikiwa nasafiri kutoka Tz kwenda mashariki ya kati nilisafiri na mmoja wa wanafamilia wa JK ila mwanzoni sikumjua kwani tulianza maongezi bila ya kufahamiana mwisho nilipokua naunganisha ndege nyingine nikafahamiana nae kwa majina ndio nikatambua alikua ni mmoja wa wanafamilia wa JK.
Ila tuliyoyaongea kweli yanatisha na ndipo nilipojua sasa hivi ni zamu ya Sita, baada ya Mwakyembe.
Ila cha kushangaza hata JK anajua kinachoendelea. Halafu kwa unafiki anaenda kumtembelea nyumbani huku akijua kinachomtokea Mwakyembe.
MUNGU IBARIKI TZ NA UIPONYE