Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

siku zinakwenda na mambo yanakuja na kupita ila alichokifanya FISADIi LOWASA hakita sahaulika katika nchi hii hata mkipost thread zote kumuhusu yeye but the GUY IS DEAD in political point of view he is no more.
 
Hii biashara yote hii ni matokeo ya MAIN genge, CCM.
they have to at least split into three, then when they are out of the government.......at least some of their tentacles are not in the government, they can be chopped off.
 
Nikiangalia kazi anayoifanya Nape sasa na uhusiano wa hao watatu uliowaeleza hapa nachanganyikiwa kabisa. Wengi tunaamini kauli na matendo ya Nape yana "full backing" ya JK kama hayo maneno ya kiingereza ni sahihi. Hilo moja.

La pili, JK na hao wawili hawana namna ya kutupatia Rais ajaye wala mmoja wao kuwa kiongozi wetu mkuu. Hili hata wao wanalijua. Jambo moja ambalo wengi hatulijui ni nani Rais wetu 2015.

Hapo ndipo napokumbuka maneno ya salma2015 kwamba nape anatumikishwa bila hiari yake, na angekuwa na uwezo angetoka ccm lakini kuna wazee wanamtuma nini cha kufanya.

Hata hivyo huu utatu utakapoparaganyika, na hasa kikwete atakapoondoka madarakani, nape anaweza kujikuta kwenye hali ngumu sana.

Jambo baya sana kwa kweli, ni huu ukigeugeu wa rais kikwete, anatutangazia kwamba uraisi wake hauna ubia na mtu kumbe ubia upo wa utatu!!
 
I feel terrific and so refreshed by JF today! We're now getting somewhere closer to our national senses.
 

food for thought

Babu M.... we saw this coming long time, the good thing in our free country ni kwamba a man can change his fookin' mind a million time for as long as he wants cause he can!!! i do that all the time


slider (for now) has now is a permanent opinion on Membe/EL/JK.... this permanent decision can be permanent until it changes again epending on who provides international trips, chance to shine on executive meeting and a few sundries to pop up looks that would correspond with what he is doing or wishes to be doing

we are all like that dude.... i promise!!!
funny.jpg
 
you have real made my day, thats fantastic pic, Membe n Nnauye mh kama itakula kwao hivi, wenzake chiligati na Mkama naona wamesoma game linavyokwenda
 
kweli wajinga ndiyo waliwao,,hivi ww kwa upuuzi wako unadhani membe anayosifa ya kuwa rais wa Tanzania? ww bure kweli huo ungempa ww na ndugu zako tu,,lakini siyo kupitia kwetu wanamapinduzi wa kweli na wajamaa wa kweli tunafuata misingi ya baba wa taifa,,MEmbe akiwa rais Tanzania linakuwa chaka la wahuni kama yeye

Nilimsikiliza membe mara moja tu wakati wa mkutano wa Sulivan Arusha, nikaconclude kama ndo huyu anaandaliwa kuwa raisi wetu come 2015 kweli ni disaster! Hamna kitu alikuwa anatetemeka tetemeka tu pale. Mara zingine namsoma magazetine tu na kwenye radio.
 
Haya mambo ni makubwa, Tuanze kuunganisha dots

Makundi ndani ya CCM (Wanamtandao)
  • Lilikuwa likitengenezwa na akina JK, EL, RA S6,.... n.k
Makundi mengine madogo madogo ambayo hayakuwa na nguvu kama lamtandao mf. la Prof. Mwandyosa, Kagoda n.k
Baada ya kuzidiana kete wakati wa kugawana vyeo mtandao ukaparanganyika :
  • Mafisadi (wanaotuhumiwa kulihujumu taifa, kwasababu hawa ndio wanaofanya maamuzi serikalini kwa maslahi yao)
Hapa tuna JK, EL, RA, EC na wapambe wadogo wadogo
  • Wanaojipambanua kuwa ni makamanda dhidi ya mafisadi(Hawa ni kwa sababu wapo nje ya maamuzi makubwa hivyo kukosa mgao, hawapo tayari kuona upinzani ukiwa na nguvu hata pale inapoonekana wanazungumza lugha moja)
Hapa tunakutana na S6,Dr. Mwakyembe, A.Kilango,O. Sendeka.
NB: Wale waliokuwa wanaliamini kundi hili kuwa ni la wazalendo kama akina Uncle Fred, waliamua kukimbia Chama moja kwa moja pale walipohisi unafiki unanukia kwenye kundi hili. Big up Uncle Fred

Baada ya kupakana matope sana na kukamiana, kundi la mafisadi linaonekana kushindwa nguvu ya hoja, kundi la wanaojiambanua limefanikiwa kuimba ukosi(chorus) ya wananchi wengi , hivyo kupata nguvu ya hoja.

Swali, nini hatima ya kila moja wa hao former wanamtandao?

Ili mafisadi wabaki salama, lazima mwezao awe rais, iwe ni key member wao au mpambe wao. VInginevyo ni jela au kuhama nchi, ingawa kuna Interpol (sijui kama watajificha). Kufanya hivyo lazima watumie mbinu yoyote ile kuwamaliza nguvu wao wanoimba chorus ya wananchi,maana kama wakisimama kugombea Urais au mpambe wao akasimama, basi itawaweka katika hali tete.

Hii ni hatari, maana sasa tunashuhudia mambo yanayoendelea sasa,...anyway ni speculations may be. Ila mi naiita kuunganisha nukta/matukio.

Hii ya Nape na Malisa ni mchezo wa hawa Mafisadi kufanya watu waamini miongoni mwao kuna mfarakano, nidhahiri tunaamini kuwa Nape ni JK, Malisa ni EL. Baadae waje kumuweka mtu ambaye tutafikiri ni Neutral kumbe ni mpambe,...hahaha, hawa jamaa ni game makers kweli, yaani hata hawa Malisa na Nape hawajijui kuwa wanatumiwa na mtu/ watu wamoja.



Ila tu wamesahau kuwa Watanzania wamehamisha mawazo yao kwao, sasa hivi wanacheza nyimbo za CDM, na hapo ndipo patachimbika kama wakijaribu kuwagusa wapiganaji wetu, sisi hatutumii vikao vya siri kuwashughulikia, tunatumia nguvu ya umma,

Umma tukiwakataa, hata mtumie jeshi zima hamtaweza, sana sana jeshi hilo hilo litatusaidia kichinichini na baadae waziwazi.

Ushauri: Kwa wana CCM ambao bado wanao uzalendo kwa nchi hii, mjue madereva wenu wa chama ni ma criminal, wanafanya mambo ambayo yatasababisha kupotea kwa amani, Jiungeni na wazalendo wa kweli ambao ni umma, ukiongozwa na CDM.

Zaidi ya haya yote yupo Mungu ambaye hana upendeleo....amesikia kilio cha wanyonge....hakuna fisadi atakaye kanyaga ikulu ya Tanzania tena; kama kati yao kuna atakaye mrudisha Yesu katika kaburi lile ambalo likowazi leo na watalii wanenda kulishuhudia basi na asimame anyanue mguu kuelekea huko tuone alivyo na nguvu! The power hand is changed kila plan watakayo kuja nayo itawa divide zaidi badala ya kuwaunite wether publicly or secreatly...Hawatajua kwanini hawaongei luga moja japo nia yao ni moja na as a result kila mmoja atajaribu kutafuta mlango salama wa kutokea na huko kila mmoja atajikuta anatorokea to the hell...Cheza na vitu vyote lakini si kwa Jehova Nisi; I am who I am; Alpha and Omega...Huu ni unabii utakaoishi zaidi ya umri wangu hapa duniani kwa macho yangu nimeona future ya Tanzania ikiwa nzuri ajabu nao wote walio waovu wakiungua hadi majivu...Kama wengi tusivyo kumbuka ladha ya maziwa ya mama zetu tulipokuwa tukinyonya ndivyo tutakavyo sahau majina ya hawa mafisadi muda si mrefu..

And tell Mwakyembe let him relax hakuna kitakachotokea hiyo sumu iwe imewekwa na mwandamu ama na vector wa magonjwa haina nguvu kwake naye atabaki kama ishara kwa watanzania kuwa there is a living God...Hata kama ilifanya kazi kwasabau ya udhaifu wake wowote leo hii natangaza kwasababu ya haya niliyo yaandika itakoma naye pamoja na madaktari wanao mhudumia watashangaa imekuaje hili likatokea!

Unto you Lord my God I raise my voice and say YOU are MY EBENEZER!
As We Worship You - YouTube
 
Mh waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa hajamfahamu adui yake no 1. Hii inatokana na ukweli kuwa vita anayopigana inamhusisha yeye na adui asiowajua. Membe anaamini adui zake wakubwa ni Rostam na Edward.Amepotoka.

Membe napenda nikufahamishe ya kuwa, usipoangalia, yatakupata makubwa zaidi ya yale yaliyompata Harrison. Unapigana na watu hatari na wanaotumia akili nyingi sana kwenye game hili la siasa.

Katika baraza la kwanza la JK uliteuliwa kuwa deputy wa home affairs. Ulilalamika sana kwa JK. SMS ya kulalamika kwako uliyomtumia JK, iliwafikia Rostam na Edward at the same time bila wewe kufahamu. Tafakari kwanza!

Richmond haijaletwa na Rostam wala Edward nchini. Wewe unafahamu vyema jinsi JK alivyocheza dili la Richmond kishamba akishirikiana na Gire baada ya mazungumzo yao huko U.S. Baada ya mambo kuharibika ndipo rostam na edward wakashirikishwa. Unafahamu vizuri role aliyoicheza rostam kuhakikisha angalau dowans inazaliwa ili kumwokoa JK.Ya lowassa kujiuzulu unayafahamu vizuri sana sitaki kuyazungumzia kwa sasa.


Sitta hakuwahi kuwa rafiki wa Harrison hata siku moja. Alimtumia tu ili kutimiza malengo yake ya kumwondoa Lowassa kwenye nafasi yake. Wewe ndiye uliyekuwa ukiwachonganisha mara kwa mara JK na PM wake Lowassa. Hata nafasi ya nje uliipata kwa jungu kubwa na la ustadi wa hali ya juu ulilochezewa na vijana wawili wa usalama wa taifa kwa kumchafua Lowassa. JK akaanza kukuamini.Ulicheza vizuri karata kwani ulijua fika jinsi gani sitta alivyomchukia rostam na Lowassa kwa yale waliyomtendea ili asiwe PM na kwa ustadi wa hali ya juu ukamshawishi sitta alitumie bunge ili kumwadhibu lowassa.

Mwakyembe ana ugomvi wa siku nyingi na rostam hata kabla ya JK kuwa rais. Alitumia nafasi hiyo kumnyonga Lowassa na rafiki yake Rostam na kwa bahati mbaya akakiri ndani ya bunge kuwa kuna machafu mengi yameachwa ili kunusuru heshima ya serikali. Kosa kubwa sana kuwahi kufanywa na mtu aliyepitia idara ya usalama wa taifa. Unafahamu vyema kuwa hili kosa ndilo linalomgharimu Harrison huko Appollo. Baada ya Lowassa kuangushwa, ulikumbatiana na Mwakyembe, Rais akawapongeza, mkafurahi, mkabweteka na kumwamini JK. Kosa la pili kubwa.

Kwa bahati mbaya sana ukaungana na Mwakyembe, Mengi, Sitta, na wafuasi wake kwa ajili ya kuutafuta urais tena kwa kumtumia mwanaye Ridhiwani. Hili ni kosa la tatu kubwa kwani ulichanganya kwenye kundi lako watu wasio marafiki wa JK ambao kwa hakika wata-demand umburuze JK mahakamani pindi utakapokuwa rais.

Rostam-JK-lowassa

1. Hawa ni marafiki wakubwa ambao licha ya wawili kuwa nje ya serikali lakini wote watatu wanaendesha serikali na hawasiti 'kuwanyamazisha'' wabaya wao wanaogusa interest zao.Individually wanatofautiana ila wakiwa watatu ni wamoja.Membe naomba ufahamu hili.
2. Wewe ulimtaka sitta awe spika kwa mara nyingine tena. JK alimtaka sitta pia lakini katika kikao cha watatu akakubaliana na pendekezo ingawa kwa shingo upande la Anne kuwa spika.
3. JK atakuwa safe kama lowassa akiwa rais.Hatakuwa safe endapo mmoja wenu atakuwa rais.Anafahamu hili fika.
4. Richmond itarudi bungeni kabla ya 2015.Wakati wa kujadili, wewe na mwakyembe mko tayari kusema ukweli.Ili kuwazima, mwakyembe 'ataondoka' then wewe waweza kufuata!.Haya yatafanywa na umoja wa hawa watatu na si individually
5. Ndani ya CC iliyopita zilipigwa kura za siri ili kumfukuza Lowassa uanachama.Kati ya wajumbe 32, 19 walimsupport lowassa na 13 kwa JK!.Hapa wanaonekana ni wapinzani ingawa wakiwa watatu ni wamoja.
6. JK anaweza kukusikiliza na kujifanya mko pamoja naye. Lengo ni kutaka kujua what's going on in your group ili wawamalize vizuri.
7. JK hakumtaka Bilal, lakini umoja ukalazimisha ndiye awe makamu wa rais. Mkapa alitumwa bila kuelewa.
8. Hawa watatu kwa pamoja walimteua Mkama. Wewe hujui hilo ingawa mwenzako chiligati alishastukia!
9. Membe unafahamu ya kwamba kujivua gamba ni hoja iliyoletwa na rostam kwa mara ya kwanza kwenye kikao cha watatu hao ili game iishie bungeni kwenye kujadili Richmond upya? Symbion iko nchini Membe. Unajua kaileta nani?. Je, nani kamleta Mama Clinton nchini?
10. Membe muulize Mwandosya akwambie jinsi watatu hawa wanavyomtesa. Umesahau tulipokuwa Marekani jinsi Balali alivyosema kuhusiana na chanzo cha afya yake kuzorota?.
etc, etc, etc, etc

Ushauri wangu kwa Membe
:

Be careful sana katika game hili Membe. Kama kweli unautaka urais lazima kwanza uufahamu mchezo unavyokwenda. Wenzako wanacheza game nzito na kisayansi zaidi. Know your enemy first. Na kwa kukusaidia, adui yako namba moja ni huo utatu and not an individual person
Kamanda naona hii post umeitumia chooni maana na wewe ukigundulika tutakukuta RSO Mtwala kama hutamfuata Mwakyembe Appollo India!!!!! Ila si vibaya kumtaarisha Ndg yetu Membe awe alert na hawa mamafia wa TZ!!!!!!!!!!!!
 
ndio hivyo tena

wamekula weeeeeeeeeee, sasa wameingia kwenye masufuria wamejisahau chakula kimechafuka na wameanza kupakuana kama mbona au ubwabwa

nakumbuka hadithi ya darasa la kwanza "KULA MNO NI HASARA"

Manenge na mandawa... tumbo niachie nimwachie mandawa kidogo.......
Umenikumbusha mbali sana
 
Cyber army ya Mh. Membe wanajitahidi kweli lakini mtandao wa EL bado sio wa kuupuuza.

attachment.php
 

Attachments

  • Bounce back by Jacob Zuma.jpg
    Bounce back by Jacob Zuma.jpg
    21 KB · Views: 205
Zaidi ya haya yote yupo Mungu ambaye hana upendeleo....amesikia kilio cha wanyonge....hakuna fisadi atakaye kanyaga ikulu ya Tanzania tena; kama kati yao kuna atakaye mrudisha Yesu katika kaburi lile ambalo likowazi leo na watalii wanenda kulishuhudia basi na asimame anyanue mguu kuelekea huko tuone alivyo na nguvu! The power hand is changed kila plan watakayo kuja nayo itawa divide zaidi badala ya kuwaunite wether publicly or secreatly...Hawatajua kwanini hawaongei luga moja japo nia yao ni moja na as a result kila mmoja atajaribu kutafuta mlango salama wa kutokea na huko kila mmoja atajikuta anatorokea to the hell...Cheza na vitu vyote lakini si kwa Jehova Nisi; I am who I am; Alpha and Omega...Huu ni unabii utakaoishi zaidi ya umri wangu hapa duniani kwa macho yangu nimeona future ya Tanzania ikiwa nzuri ajabu nao wote walio waovu wakiungua hadi majivu...Kama wengi tusivyo kumbuka ladha ya maziwa ya mama zetu tulipokuwa tukinyonya ndivyo tutakavyo sahau majina ya hawa mafisadi muda si mrefu..

And tell Mwakyembe let him relax hakuna kitakachotokea hiyo sumu iwe imewekwa na mwandamu ama na vector wa magonjwa haina nguvu kwake naye atabaki kama ishara kwa watanzania kuwa there is a living God...Hata kama ilifanya kazi kwasabau ya udhaifu wake wowote leo hii natangaza kwasababu ya haya niliyo yaandika itakoma naye pamoja na madaktari wanao mhudumia watashangaa imekuaje hili likatokea!

Unto you Lord my God I raise my voice and say YOU are MY EBENEZER!
As We Worship You - YouTube
Kweli kweli Ame u have made my day, thanks very much for the link of worshiping our LORD -YouTube!!!!!!!!!!!! Didn't know you had very beautifull things like this!!!!!!!!! Let my good LORD Bless u and your family enjoy your day thanks!!!!!!!!!!! And that profecy is Amen!!!!!!!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
2015 for CDM, Dr. Slaa is the next president, hawa wazee wetu watauana bure bora wapumzike kwa sasa.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
na uchungu, lakini mtoto akililia wembe mpe labda EL anaweza leta neema kama alivyoaidi kuleta mvua kutoka ughaibuni. Tanzania sio ya Majaribio si manayaona yanayotutesa nchi inaongozwa kifamily
 
Binadamu ni viumbe dhaifu sana. Kwa udhaifu wao hujisahau na kujipa mamlaka ya kimungu. Hujihisi wanaweza kuumba, kuua na kumiliki na kutawala hisia za watu wote.

Awali zilitumika fedha kujaribu kunyamazisha hoja hazikufanikiwa kunyamazisha watu wote na kupangua hoja zote. Kisha, ikaonekana pengine kwa kununua wanahabari na magazeti wanaweza kufanikiwa kunyamazisha hoja na hisia za watu dhidi yao. Wakanunuliwa wahariri na wasomi lakini nalo likashindikana. Ikaamuliwa sasa kutumia wanasiasa, vikao vya siasa(vikao vya Chama na bunge ikiwemo Kamati za Bunge) nako kumeshindikana. Wakaamua kujificha chini ya Sheria kwa kununua mawakili machachari na kutumia Mahakama ikiwemo tozo ya Dowans ambako nako ushindi wa hukumu ya Dowans umekuwa shubiri kwao.

Sasa wamegeukia vitisho, kupandikiza hofu na kuondosha watu(elimination). Na mbinu hii pia itashindwa maana bado haitaweza kutoa majawabu ya kiu ya wananchi ya kutaka haki, Amani, maisha bora na ustawi wao na vizazi vyao. Yeyote atakayesimamia haya atavikwa taji na kukumbatiwa na watu.

Hata akiuawa Membe au Mwakyembe, wataibuka wengine wengi kweli kwa kuwa haitawezekana kamwe kuua kile wanachokisimamia ambacho ni ustawi na maslahi mapana ya umma. Nchi hii ni yetu sote. Vitisho vyao havitanyamazisha sauti iliyo kuu ya kupinga ufisadi. Hata ikitokea sauti ya Membe na wengine ikanyamazishwa basi mawe yatapaza sauti.

Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.
 
VOR naona unaitaji kuingia dalasani kidogo kuhusu hawa jamaa Hiyo movie ni story ya Mafia based on true story iliyotegenezwa kuelezea mfumo wa shughuri za kimafia kuanzia miaka 1922 ya ndani ya Taifa la Marekani na hicho nilichokitoa mimi ndio ufahamu wangu katika kupitia vitabu na kusoma makala mbalimbali[1922].Hawa jamaa naona wewe unaona ni vitabu ya kuigiza [Fiction Story] kamwe haya ni mambo ya kweli.Na kwa wenzetu Hooly wood ni watu wenye kutengeneza vitu ambavyo wakati mwingine aviendi mbali sana na ukweli wa mambo yao mengi haswa zinapokuja kwenye angle za kisiasa na kiuchumi.

Hata issue ya JFK Rais wa Marekani miaka ya 1960 alikumbana na mziki wa hawa jamaa baada ya kuwa alikuwa na mahusiano na superstar, kmcheza sinema na Mwimbaji Marilyn Monroe [Beyonce wa zama hizo] kwa miaka hiyo ya late 50s na early 60s.Walikutana na JFK miaka ya 1954 na wakaja kuwa wapenzi lasmi [President's Lover] mwaka 1961 December yani ndani ya Mwezi huo Tanzania Inapata Uhuru.Lakini binti huyo aliingiza familia ya JFK kwenye mgogolo kiasi kuwa bwana mdogo wa Rais ambae alikuwa mwanasheria wa Serikali RFK [Attoney General] FFK nae akaanza kula mzigo ulio liwa na kaka yake ,kiasi kuwa Wazazi wao JFK na RFK wakamwomba dogo kutema mzigo huo haraka sana baada ya kujua hilo.

Mkuu bila kwenda mbali sana na kutoka nje ya mada nimesoma vitabu vya Mario Puzzo (The Godfather na The Last Don...) na pia ninamesoma uhusiano wa Joe Kennedy (baba yao Kennedy) na uhusiano wake na links na mafia na alivyofanya chini juu ili watoto wake waje wawe na power (President) na kwamba even JFK hakuwa ndio aliempangia bali ni baada ya kaka yake kufa Kennedy ndio akawa last option..

Unaposema story is based on a true story sio kwamba mtu amechukua some plots on actual events (sababu kila author huwa anafanya hivyo..) lakini hii the Last Don its fiction ambayo hata haina a lot of actual events (it was just made on a fictitious family) ingawa inaweza ikawa na bearings za some true incidents... ebu tujikumbushe plot ya The Last Don

Plot


The last plan of Don Domenico Clericuzio, an aging mafia boss, is to eventually make his family enter the legitimate world and melt in the American society. Twenty-five years later, his grandson Dante and his grandnephew Cross (Croccifixio) make their way through life, and the eighty-year-old Don is half-retired. Cross, who holds a majority share in a Las Vegascasino, is supposed to become the strong arm of the family. However, when he refuses to take part in the murder of an old friend, Dante is left to be the sole tough guy. Dante's greed for power and blood lead him to plan the elimination of his relatives, who are an obstacle to the desire to become as powerful as the old Don himself. Cross, who is aware of being on theblack list, precedes Dante and catches him in a trap. Having acted against the family, he waits for the Don's vendetta, but, to his own surprise, his life is spared and he's only condemned to exile. The story concludes with the revelation that the Don had planned this outcome all along for the long term survival of the family.
 
Back
Top Bottom