Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

ndio hivyo tena

wamekula weeeeeeeeeee, sasa wameingia kwenye masufuria wamejisahau chakula kimechafuka na wameanza kupakuana kama mbona au ubwabwa

nakumbuka hadithi ya darasa la kwanza "KULA MNO NI HASARA"

Manenge na mandawa... tumbo niachie nimwachie mandawa kidogo.......

Teheheeeee..Manenge ni nani na mandawa ni nani??
 
Hakuna ukweli wowote zaidi ya siasa na vita baina yao ktk maandalizi ya mgombea Urais 2015...Hawa wote ni wamoja, Safari ya 2015 watakufa wengi na Membe sii mmoja wao, he is smart na ndio maana ianatakiwa na makundi yote ya ndani. Mafiga matatu yanayo eneza fear ni Lowassa, Rostam na Chenge!..

Na nitaendelea kusema mwandishi hajui kinachoendelea nyuma ya kundi hili kwani hata huyo JK ni mtu alowekwa tu kama alivyowekwa Membe. Mwakyembe na Mwandosya sii tishio na hawajawahi isipokuwa wanatumiwa kama walivyotumiwa mawaziri wengine wote..CCM ni chama kubwa, ni System ambayo kama wanataka kumwondoa Membe wangefanya bila wewe kujua, na Membe angejua kabla ya mtu yeyote na tukamsikia akipiga makelele wanataka kuniua!.

Uchaguzi wa Igunga ilikuwaje CCM wakamtumia Mkapa na Rostam? - Ilikuwaje Lowassa akawa mwenyekiti wa kupitisha wabunge wa CCM ktk uchaguzi uliopita wakati yeye na Chenge wakarudi bungeni ili iweje? - Tunatakiwa kuwalipa Dowans (kina nani) kwa maamuzi ya mahakama! - Wauaji wa Kombe wametolewa kwa hisani ya rais ambaye hajui hata la kusema, unaweza kuiweka hii katika maandishi yoyote ya kisheria up to why?..JK anaendeshwa kwa remote control na yeyote anayekwenda naye yuko salama tu..
Membe atakuwa mgombea kama wakitaka na hakuna lolote baya alolifanya kufikia hawa watu kumweka ktk kitabu cheusi..

Bro huyo unayetaja insigekuwa ni hapo kwenye nyekundu juu hakika iingekuwa imeshakua hadithi kabisa, mbona mziki anaujua sana.
 
Kama natamani vile kukubaliana na wewe ila me napita tu
 
kwa trend hii maendeleo Bongo tutaendelea kuyasikia redioni tu - yaani watu wanamaliza uchaguzi tu, wanaanza kutoana roho kwa uchaguzi unaofuata 5 years down the line! sijui kuna biashara gani pale magogoni aisee...
 
Membe angeweza kabisa (kama angetaka) kutengeneza mechanism ya kuspring kuelekea Urais. Bahati mbaya sana amechagua njia isiyo sahihi sasa hivi na hii support inayotengenezwa itatuleta kwenye matatizo ya mwaka jana au 2005. Ninafuatilia vizuri sana wigo la support yake inatoka wapi - japo najua kwanini. He will have to deal with IT.
 
Jamani , Nisaidieni, vipi Membe anauwezo? Au tu kwa vile jk amekuwa rahisi na kila moja anaweza? Hii vacuum ni babkuwa

Mimi na mwona Membe kama hana uwezo kabisa. Anatabia ya kike zaidi kuliko jk, hotuba zake zote nimeziona kama vile haina mpangilio na tena hana mvuto wowote wakati akifunua kinywa chake kuzungumza. Amefanya makosa mengi moja wapo ya karibuni ni pamoja na kutokuitambua serikali iliyopigana na gadafi na kumwita balozi wa libya. Je munamwonaje?
Membe hawezi na hafai kuwa rais wetu... he is simply a non leader
 
Membe angeweza kabisa (kama angetaka) kutengeneza mechanism ya kuspring kuelekea Urais. Bahati mbaya sana amechagua njia isiyo sahihi sasa hivi na hii support inayotengenezwa itatuleta kwenye matatizo ya mwaka jana au 2005. Ninafuatilia vizuri sana wigo la support yake inatoka wapi - japo najua kwanini. He will have to deal with IT.
Yeah... but ujasusi hauishiii kwa walio supporters wa CCM pekee...

watch this space
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mh waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa hajamfahamu adui yake no 1. Hii inatokana na ukweli kuwa vita anayopigana inamhusisha yeye na adui asiowajua. Membe anaamini adui zake wakubwa ni Rostam na Edward.Amepotoka.

Membe napenda nikufahamishe ya kuwa, usipoangalia, yatakupata makubwa zaidi ya yale yaliyompata Harrison. Unapigana na watu hatari na wanaotumia akili nyingi sana kwenye game hili la siasa.

Katika baraza la kwanza la JK uliteuliwa kuwa deputy wa home affairs. Ulilalamika sana kwa JK. SMS ya kulalamika kwako uliyomtumia JK, iliwafikia Rostam na Edward at the same time bila wewe kufahamu. Tafakari kwanza!

Richmond haijaletwa na Rostam wala Edward nchini. Wewe unafahamu vyema jinsi JK alivyocheza dili la Richmond kishamba akishirikiana na Gire baada ya mazungumzo yao huko U.S. Baada ya mambo kuharibika ndipo rostam na edward wakashirikishwa. Unafahamu vizuri role aliyoicheza rostam kuhakikisha angalau dowans inazaliwa ili kumwokoa JK.Ya lowassa kujiuzulu unayafahamu vizuri sana sitaki kuyazungumzia kwa sasa.

Sitta hakuwahi kuwa rafiki wa Harrison hata siku moja. Alimtumia tu ili kutimiza malengo yake ya kumwondoa Lowassa kwenye nafasi yake. Wewe ndiye uliyekuwa ukiwachonganisha mara kwa mara JK na PM wake Lowassa. Hata nafasi ya nje uliipata kwa jungu kubwa na la ustadi wa hali ya juu ulilochezewa na vijana wawili wa usalama wa taifa kwa kumchafua Lowassa. JK akaanza kukuamini.Ulicheza vizuri karata kwani ulijua fika jinsi gani sitta alivyomchukia rostam na Lowassa kwa yale waliyomtendea ili asiwe PM na kwa ustadi wa hali ya juu ukamshawishi sitta alitumie bunge ili kumwadhibu lowassa.

Mwakyembe ana ugomvi wa siku nyingi na rostam hata kabla ya JK kuwa rais. Alitumia nafasi hiyo kumnyonga Lowassa na rafiki yake Rostam na kwa bahati mbaya akakiri ndani ya bunge kuwa kuna machafu mengi yameachwa ili kunusuru heshima ya serikali. Kosa kubwa sana kuwahi kufanywa na mtu aliyepitia idara ya usalama wa taifa. Unafahamu vyema kuwa hili kosa ndilo linalomgharimu Harrison huko Appollo. Baada ya Lowassa kuangushwa, ulikumbatiana na Mwakyembe, Rais akawapongeza, mkafurahi, mkabweteka na kumwamini JK. Kosa la pili kubwa.

Kwa bahati mbaya sana ukaungana na Mwakyembe, Mengi, Sitta, na wafuasi wake kwa ajili ya kuutafuta urais tena kwa kumtumia mwanaye Ridhiwani. Hili ni kosa la tatu kubwa kwani ulichanganya kwenye kundi lako watu wasio marafiki wa JK ambao kwa hakika wata-demand umburuze JK mahakamani pindi utakapokuwa rais.

Rostam-JK-lowassa

1. Hawa ni marafiki wakubwa ambao licha ya wawili kuwa nje ya serikali lakini wote watatu wanaendesha serikali na hawasiti 'kuwanyamazisha'' wabaya wao wanaogusa interest zao.Individually wanatofautiana ila wakiwa watatu ni wamoja.Membe naomba ufahamu hili.
2. Wewe ulimtaka sitta awe spika kwa mara nyingine tena. JK alimtaka sitta pia lakini katika kikao cha watatu akakubaliana na pendekezo ingawa kwa shingo upande la Anne kuwa spika.
3. JK atakuwa safe kama lowassa akiwa rais.Hatakuwa safe endapo mmoja wenu atakuwa rais.Anafahamu hili fika.
4. Richmond itarudi bungeni kabla ya 2015.Wakati wa kujadili, wewe na mwakyembe mko tayari kusema ukweli.Ili kuwazima, mwakyembe 'ataondoka' then wewe waweza kufuata!.Haya yatafanywa na umoja wa hawa watatu na si individually
5. Ndani ya CC iliyopita zilipigwa kura za siri ili kumfukuza Lowassa uanachama.Kati ya wajumbe 32, 19 walimsupport lowassa na 13 kwa JK!.Hapa wanaonekana ni wapinzani ingawa wakiwa watatu ni wamoja.
6. JK anaweza kukusikiliza na kujifanya mko pamoja naye. Lengo ni kutaka kujua what's going on in your group ili wawamalize vizuri.
7. JK hakumtaka Bilal, lakini umoja ukalazimisha ndiye awe makamu wa rais. Mkapa alitumwa bila kuelewa.
8. Hawa watatu kwa pamoja walimteua Mkama. Wewe hujui hilo ingawa mwenzako chiligati alishastukia!
9. Membe unafahamu ya kwamba kujivua gamba ni hoja iliyoletwa na rostam kwa mara ya kwanza kwenye kikao cha watatu hao ili game iishie bungeni kwenye kujadili Richmond upya? Symbion iko nchini Membe. Unajua kaileta nani?. Je, nani kamleta Mama Clinton nchini?
10. Membe muulize Mwandosya akwambie jinsi watatu hawa wanavyomtesa. Umesahau tulipokuwa Marekani jinsi Balali alivyosema kuhusiana na chanzo cha afya yake kuzorota?.
etc, etc, etc, etc

Ushauri wangu kwa Membe
:

Be careful sana katika game hili Membe. Kama kweli unautaka urais lazima kwanza uufahamu mchezo unavyokwenda. Wenzako wanacheza game nzito na kisayansi zaidi. Know your enemy first. Na kwa kukusaidia, adui yako namba moja ni huo utatu and not an individual person
Hapa Nakumbuka maneno haya na na mchango wa Lowasa kwenye NEC!!!!!!!!!1
 
Mimi nimerudia kuisoma,bado natafakari,lakini unaweza ukaona toka juzi kuna wanaCCM wana kilio kikubwa hata hapa JF baada ya kuona adui waliyedhani wamemmaliza amenyanyuka tena na anarusha mgumi nzito.
 
Huyu jamaa kaleta ukweli na ulikuwashinda hawa jamaa unatakiwa kujua zaidi ya hii story. otherwise utaibiwa bila kujua.
 
Makubwa haya!Naona taratibu JF inageuka mtoa siri za chumbani za serikali&ccm!Nasita kusema ni mambo ya kujivunia haya,kwa sababu yanaweza kupelekea ukosefu wa mtangamano kitaifa;kwani si watu wote wenye uwezo wa kubeba siri nzito hizi!
Serikali imekuwa legelege kiasi cha kuhatarisha uwepo wa taifa letu!Haihitaji utabiri kugundua kwamba baada ya miaka michache tunaweza kujikuta tunachinjana kama kuku!
Jambo la busara ni kukitimua ikulu hiki chama cha magamba,maana kimeshindwa kutunza hata siri zake za ndani namna hii!!!!
 
Mh waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa hajamfahamu adui yake no 1. Hii inatokana na ukweli kuwa vita anayopigana inamhusisha yeye na adui asiowajua. Membe anaamini adui zake wakubwa ni Rostam na Edward.Amepotoka.

Membe napenda nikufahamishe ya kuwa, usipoangalia, yatakupata makubwa zaidi ya yale yaliyompata Harrison. Unapigana na watu hatari na wanaotumia akili nyingi sana kwenye game hili la siasa.

Katika baraza la kwanza la JK uliteuliwa kuwa deputy wa home affairs. Ulilalamika sana kwa JK. SMS ya kulalamika kwako uliyomtumia JK, iliwafikia Rostam na Edward at the same time bila wewe kufahamu. Tafakari kwanza!

Richmond haijaletwa na Rostam wala Edward nchini. Wewe unafahamu vyema jinsi JK alivyocheza dili la Richmond kishamba akishirikiana na Gire baada ya mazungumzo yao huko U.S. Baada ya mambo kuharibika ndipo rostam na edward wakashirikishwa. Unafahamu vizuri role aliyoicheza rostam kuhakikisha angalau dowans inazaliwa ili kumwokoa JK.Ya lowassa kujiuzulu unayafahamu vizuri sana sitaki kuyazungumzia kwa sasa.

Sitta hakuwahi kuwa rafiki wa Harrison hata siku moja. Alimtumia tu ili kutimiza malengo yake ya kumwondoa Lowassa kwenye nafasi yake. Wewe ndiye uliyekuwa ukiwachonganisha mara kwa mara JK na PM wake Lowassa. Hata nafasi ya nje uliipata kwa jungu kubwa na la ustadi wa hali ya juu ulilochezewa na vijana wawili wa usalama wa taifa kwa kumchafua Lowassa. JK akaanza kukuamini.Ulicheza vizuri karata kwani ulijua fika jinsi gani sitta alivyomchukia rostam na Lowassa kwa yale waliyomtendea ili asiwe PM na kwa ustadi wa hali ya juu ukamshawishi sitta alitumie bunge ili kumwadhibu lowassa.

Mwakyembe ana ugomvi wa siku nyingi na rostam hata kabla ya JK kuwa rais. Alitumia nafasi hiyo kumnyonga Lowassa na rafiki yake Rostam na kwa bahati mbaya akakiri ndani ya bunge kuwa kuna machafu mengi yameachwa ili kunusuru heshima ya serikali. Kosa kubwa sana kuwahi kufanywa na mtu aliyepitia idara ya usalama wa taifa. Unafahamu vyema kuwa hili kosa ndilo linalomgharimu Harrison huko Appollo. Baada ya Lowassa kuangushwa, ulikumbatiana na Mwakyembe, Rais akawapongeza, mkafurahi, mkabweteka na kumwamini JK. Kosa la pili kubwa.

Kwa bahati mbaya sana ukaungana na Mwakyembe, Mengi, Sitta, na wafuasi wake kwa ajili ya kuutafuta urais tena kwa kumtumia mwanaye Ridhiwani. Hili ni kosa la tatu kubwa kwani ulichanganya kwenye kundi lako watu wasio marafiki wa JK ambao kwa hakika wata-demand umburuze JK mahakamani pindi utakapokuwa rais.

Rostam-JK-lowassa

1. Hawa ni marafiki wakubwa ambao licha ya wawili kuwa nje ya serikali lakini wote watatu wanaendesha serikali na hawasiti 'kuwanyamazisha'' wabaya wao wanaogusa interest zao.Individually wanatofautiana ila wakiwa watatu ni wamoja.Membe naomba ufahamu hili.
2. Wewe ulimtaka sitta awe spika kwa mara nyingine tena. JK alimtaka sitta pia lakini katika kikao cha watatu akakubaliana na pendekezo ingawa kwa shingo upande la Anne kuwa spika.
3. JK atakuwa safe kama lowassa akiwa rais.Hatakuwa safe endapo mmoja wenu atakuwa rais.Anafahamu hili fika.
4. Richmond itarudi bungeni kabla ya 2015.Wakati wa kujadili, wewe na mwakyembe mko tayari kusema ukweli.Ili kuwazima, mwakyembe 'ataondoka' then wewe waweza kufuata!.Haya yatafanywa na umoja wa hawa watatu na si individually
5. Ndani ya CC iliyopita zilipigwa kura za siri ili kumfukuza Lowassa uanachama.Kati ya wajumbe 32, 19 walimsupport lowassa na 13 kwa JK!.Hapa wanaonekana ni wapinzani ingawa wakiwa watatu ni wamoja.
6. JK anaweza kukusikiliza na kujifanya mko pamoja naye. Lengo ni kutaka kujua what's going on in your group ili wawamalize vizuri.
7. JK hakumtaka Bilal, lakini umoja ukalazimisha ndiye awe makamu wa rais. Mkapa alitumwa bila kuelewa.
8. Hawa watatu kwa pamoja walimteua Mkama. Wewe hujui hilo ingawa mwenzako chiligati alishastukia!
9. Membe unafahamu ya kwamba kujivua gamba ni hoja iliyoletwa na rostam kwa mara ya kwanza kwenye kikao cha watatu hao ili game iishie bungeni kwenye kujadili Richmond upya? Symbion iko nchini Membe. Unajua kaileta nani?. Je, nani kamleta Mama Clinton nchini?
10. Membe muulize Mwandosya akwambie jinsi watatu hawa wanavyomtesa. Umesahau tulipokuwa Marekani jinsi Balali alivyosema kuhusiana na chanzo cha afya yake kuzorota?.
etc, etc, etc, etc

Ushauri wangu kwa Membe
:

Be careful sana katika game hili Membe. Kama kweli unautaka urais lazima kwanza uufahamu mchezo unavyokwenda. Wenzako wanacheza game nzito na kisayansi zaidi. Know your enemy first. Na kwa kukusaidia, adui yako namba moja ni huo utatu and not an individual person

Mkuu asante kwa taarifa ina naomba nilekebishe kidogo,kwamaelezo yako yote inaonyesha hawa niwauwaji,so sioni sababu yakusema wanacheza kisayani.Kwani siasa simauaji bali ni hoja. Najuwa jambo moja Mungu hataiacha Tanzania mikononi mwa hao unaosema wanacheza kisayani.na kula awazae kupoteza maisha ya mwenzake ajuwe moja kuwa kunawengine naopia wanafanya kazi hiyo hiyo.mwisho nao hawajuwi adui yao.
 
Back
Top Bottom