masozist
JF-Expert Member
- Nov 19, 2019
- 352
- 316
Eddy alikuwa na sukariSidhani.
Ila hapo nyuma alikuwa anaumwa.
Eddy alikuwa na sukariSidhani.
Ila hapo nyuma alikuwa anaumwa.
Eddy alikuwa na sukari
Acha lawama kachanje
Huu mwaka sidhani hata wazee wangu kama walianza magusiano na teyari nina 30yrs sasa.Pole sana Sophia HansPope kwa kuondokewa na Kaka zako. Kumbuka tulikuwa darasa moja pale UDSM kuanzia 1978-1981. Pole sana.
Ni kweli mkuu ila alikuwa anaumwa saana eddy ni rafiki yangu sanaKuwa na Sukari hakuna maana ya kuwa Delta tano hakupitia hapo hapo pia
Ni kweli mkuu ila alikuwa anaumwa saana eddy ni rafiki yangu sana
Kuna watu wana passionYah biashara ya lorry alikuwaga inspired na kaka yake mmja yuko Australia aliendaga kitambo
Na alikuwa anafanya kazi za kuendesha malori huko
Ova
Hata majina nayo huchangia kulainisha mambo!Si kweli, ni connection tu. Jamii ya mashombe ni wafanyabiashara, hwezi kuwakuta jeshini wala Polisi, ni wachache mno.
Ni sawa na kutafuta Muhindi jeshini JWTZ, hawana mzuka huo.
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Isitoshe baada ya kifo cha bro wake hawa tuliambiwa wamechanjwa.Apumzike kwa amani, pia tuache hofu, hofu ndio tatizo halisi.
Isitoshe baada ya kifo cha bro wake hawa tuliambiwa wamechanjwa.Apumzike kwa amani, pia tuache hofu, hofu ndio tatizo halisi.
Kwani si umechnjwa na pia unavaa barakoa na kujifungia ndani au?Hatari kubwa.
Apumzike kwa amani Eddy Hans Poppe.
Samia, Mpango, na Majaliwa wako busy na uchumi wao huku wakilenga kutukamua kwa tozo na kodi zaidi.
Hivi hata wana mawazo tu, Corona inatuathiri vipi wananchi?
Hivi wanaelewa ni chuki kiasi gani wanajipalia?
Mmeikuza mpaka imekua,Covid-19 ni hatari sana, RIEP.
Katavi upo? sikuoni mara kwa mara kama zamaniApate pumziko la milele......
Huyo alikua anaumwa mda kabla hata ya HansMdogowa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, marehemu Zacharia Hans Poppe aitwaye Eddy Hans Poppe,
View attachment 1946052
(pichani kushoto) amefariki dunia juzi Jumamosi, septemba 18, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.
Msiba huo umetokea ikiwa ni siku 8 tu tangu kaka yake, Zacharia afariki dunia hospitalini hapo wakati akipatiwa matibabu.
Yawezekana Kaka alimuambukiza COVID-19 aliyokuwa nayo na hii pia iwe ni wake up call kwa Ndugu au Watu wengine ambao walikuwa karibu na Marehemu Zachariah Hans Poppe ( alias Mapama )Mdogowa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, marehemu Zacharia Hans Poppe aitwaye Eddy Hans Poppe,
View attachment 1946052
(pichani kushoto) amefariki dunia juzi Jumamosi, septemba 18, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.
Msiba huo umetokea ikiwa ni siku 8 tu tangu kaka yake, Zacharia afariki dunia hospitalini hapo wakati akipatiwa matibabu.
Ni mimi tu sijakuelewa au vipiNi sawa na kusema jamii ya maalbino ni wafanya biashara huwezi kuwakuta kwenye majeshi ya Tz Jwtz,polis au magereza.
Kumbe hujui kuwa majeshi ya Tz hayaajiri watu wenye albinism na kwa sasa hayaajiri kabisa mtu mwenye asili ya nje ya Tz yanaajiri wazawa tu.
Watambue pia wengi wa wanaofariki sasa ni waliochanja.Ninanataka watambue tuna gonjwa la Corona ambalo ni janga la taifa.
Watambue kuna shughuli kutokana na janga hili zimesimama kabisa.
Kwa hiyo si sahihi wala halali wao kuendelea kuwakamua wahanga wa ugonjwa huu kwa kodi na tozo lukuki zilizo boreshwa sana. Kwa maana nyingine ni uovu wao mkubwa uliopitiliza kutokuwa na huruma na wahanga wa ugonjwa huu kiasi cha kuwatelekezea gonjwa na gharama zake za matibabu.
Vipi wewe ni mnufaika katika hawa mnaotukamua hadi damu marehemu sisi tuliosongwa mno na gonjwa hili?
Watambue pia wengi wa wanaofariki sasa ni waliochanja.
Hapa kwetu kuna baba alienda kuchanja akiwa vizuri tu , baada ya chanjo hawezi kuinuka tena, anasema mgongo na nyonga vimeshika.
Poleni wafiwa wote.
Huzuni kubwa sana, kuzika watoto au ndugu wawili kwa muda mfupi hivi.
Let them Rest in Paradise.