TANZIA Mdogo wa Zacharia Hans Pope afariki dunia, ikiwa ni ndani ya wiki ya maombolezo ya kakake

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,744
21,194
Mdogowa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, marehemu Zacharia Hans Poppe aitwaye Eddy Hans Poppe,

newslite1632127167418.jpg

(pichani kushoto) amefariki dunia juzi Jumamosi, septemba 18, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.

Msiba huo umetokea ikiwa ni siku 8 tu tangu kaka yake, Zacharia afariki dunia hospitalini hapo wakati akipatiwa matibabu.
 
Wana project moja kubwa sana cha kilimo cha strawberry iringa ukiona investment iliyofsnyika,vifaa shamban,wanavyolima
Wanavyoshirikiana ni kwa mafanukio makubwa sana,jamaa hawa ni hardworking sana
Si unajua warangirangi walivyokuwa wabishi

Ova
Okay hao watu wana damu ya business imagine Hanspope alipotoka gerezani alipewa lori moja aanzie maisha lakini amekufa kaacha malori zaidi ya 100
 
Mdogowa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, marehemu Zacharia Hans Poppe aitwaye Eddy Hans Poppe,

View attachment 1946052

(pichani kushoto) amefariki dunia juzi Jumamosi, septemba 18, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.

Msiba huo umetokea ikiwa ni siku 8 tu tangu kaka yake, Zacharia afariki dunia hospitalini hapo wakati akipatiwa matibabu.
Alienda kuzika !!??
 
Back
Top Bottom