...lol...mwj1 katika watu ambao sikutarajia watakwazika na 'ufunuo' huu mmojawapo ni wewe....
anyway....mimi nitatoa mifano miwili...kwani nimejaaliwa watoto, sio mtoto.
kwanza, kati ya watoto wawili,...mmoja wapo anakuwa na mapenzi zaidi kwa mama, mwingine kwa baba
and vice versa...siwezi chukulia hilo eti ni dhambi,...mapenzi ni 'empathy!'
mfano wa pili,....
ex-wife wangu...nilimpenda sana mpaka pale tulipokuja achana, baada ya hapo nikatambua maana ya mapenzi.
hivi leo hii nikwambie mwanajamiione pamoja na kukupenda sana, lakini nampenda zaidi mama wa watoto wangu
utanielewa kweli?----lazima utaniuliza kwanini nipo na wewe! lakini mwanangu/wanangu hata waoe au kuolewa haini affect chochote!
upendo/mapenzi ninayoyazungumzia mimi mbu ni kwamba niameathirika zaidi na matokeo ya ndoa, kiasi cha kuyatafsiri
mapenzi kwa upande wa pili, kama msiba. HUWEZI HADITHIA MACHUNGU YA MSIBA KAMA HAUJAKUFIKA!
kwa wale wenzangu ambao wameachana na waume/wake zao naamini tutakuwa tunaelewana kidogo, ama?