Mdahalo: Kids Vs Spouses

Mdahalo: Kids Vs Spouses

Mama mkwe yuko mbali hivyo safari ya kwenda huko tulishajiwekea ni once a year.

Baba yangu yuko Dar hivyo ni kiasi cha kujifanya tumepotea njia wakati wa kutoka job na kwenda kumpa hi.

Mume wangu anampenda sana mama yake hivyo wala sijawahi kumburuza lazima aongee nae kwa simu daily kitu ambacho mimi sifanyi kwa wazazi wangu. Kwa hiyo haitaji kuwa pushed yeye ni last born kwao na ni mother's son. Baba yao alishafariki.
nikuulize swali NyumbaKubwa,na wewe je huwa unamburuza mzee mkamsalimie mama/baba yake? Just curious.
 
Hapo ndio tunarudi pale pale; naogopa kusemea jinsia nyingine; lakini my experience shows kuwa wanaume mapenzi yao kwa watoto wala hayaeleweki japo si wote; unaweza kuta baba anapenda watoto wake leo; kesho amegeuka utadhani watoto si wale wale alokuwa anawapenda. Ndio maana nikasema wanaume wengi wanapenda wake zao ndio sababu ya kupenda watoto wao; mapenzi kwa mke yakiisha na kwa watoto yanaisha na wengi wako radhi wapende mtoto wa kimada ambaye si wake kuliko kumpenda mtoto wake kwa kuwa yeye na wife hawaivi..

Nyumba kubwa haya mambo yako 'complicated' aisee..
wapo wazazi wanaachana sababu ikiwa ni watoto...
baba anakasirika kuwa watoto wanamsilikiza mama zaidi...
yaani baba anamchukia mama lakini analilia love ya watoto wake still...
 
Mama mkwe yuko mbali hivyo safari ya kwenda huko tulishajiwekea ni once a year.

Baba yangu yuko Dar hivyo ni kiasi cha kujifanya tumepotea njia wakati wa kutoka job na kwenda kumpa hi.

Mume wangu anampenda sana mama yake hivyo wala sijawahi kumburuza lazima aongee nae kwa simu daily kitu ambacho mimi sifanyi kwa wazazi wangu. Kwa hiyo haitaji kuwa pushed yeye ni last born kwao na ni mother's son. Baba yao alishafariki.

Kuna kitu nimejifunza hapo...
wanaume wanaokuwa last born wanakuwa close na mama zao..
halafu wanakuwa kama 'watoto hivi' kwa wake zao pia....
 
Hapo ndio tunarudi pale pale; naogopa kusemea jinsia nyingine; lakini my experience shows kuwa wanaume mapenzi yao kwa watoto wala hayaeleweki japo si wote; unaweza kuta baba anapenda watoto wake leo; kesho amegeuka utadhani watoto si wale wale alokuwa anawapenda. Ndio maana nikasema wanaume wengi wanapenda wake zao ndio sababu ya kupenda watoto wao; mapenzi kwa mke yakiisha na kwa watoto yanaisha na wengi wako radhi wapende mtoto wa kimada ambaye si wake kuliko kumpenda mtoto wake kwa kuwa yeye na wife hawaivi..

come on NyumbaKubwa,naona una base sana kwa mapenzi kati ya baba,mama na watoto waliozaliwa na kuishi under one roof.Hebu jaribu kupanua uwigo wa huu mjadala uhusishe na watoto ambao baba/mama wanazaa kabla ya kuoana,baba anazaa nje ya ndoa,mama anatengana na baba anazaa na mwanaume mwingine kisha wanarudiana na mmewe etc,wote hawa ni watoto na wanastahili mapenzi kama wale wanaozaliwa 'ndani' ya ndoa.Ukisha panua uwigo tutajadili.
 
Inawezekana huu mdahalo unakuwa mgumu zaidi kwa kuwa tunatumia kiingereza zaidi.

Hebu tofautisheni hizi sentensi tatu.

1) Mimi namjali zaidi mtoto wangu kuliko mke wangu (kwasababu ni mdogo anahitaji support yangu ili kujifunza maisha, kukabiliana na changamoto, kupata bega la kuegemea na kumuongoza e.t.c)

2) Mimi namthamini Mke wangu zaidi ya mtoto wangu (kwasababu amenipa kitu chenye thamani yaani mtoto, na hivyo kizaa thamani inabidi kithaminike zaidi ya thamani)

3) Nampenda kihisia mke wangu zaidi ya mtoto wangu (kwasababu anadhibiti hisia zangu zaidi ya mtoto), na nampenda kiufahari mtoto wangu zaidi ya mke wangu ( kwasababu siku zote ananipa ushujaa wa kujifaharisha mbele za watu kwamba nimeleta kiumbe duniani)

Conclusion: Mapenzi ya mwenza na mtoto yanatofautiana kutegemeana na sekta.

Nimemaliza.
 
I think there is some misunderstanding kidogo

LOve for a spouse or partner is always there and unique in its own unique way, but love for the kids is special and nothing in this world can evr compare that one.

things like trust, questions,, security, accountability and responsibilities come in different ways and one has to look at at kama vile God's love to us or Jesus love to us or mary's love to Joseph and compared to Mary's love to Jesus

anyway.... those are my two cents

Angalau MTM aksante.
 
Bishanga definition ya mume ninayoiweka hapa ni ile ya mwanaume niliye naye kwa wakati huo, Na

ndio maana nikauliza kama Mapendo na Mapenzi ni kitu kimoja. Sioni kwa nini mpenzi alokuja akanikuta na mtoto wa mwingine nimpunje, nisimpende kwa sababu ninampenda mtoto wangu?! Special place yake bado iko pale pale until atakaponipa nafasi/ sababu ya kuifuta. Kama Bishanga tulipozaa nawe ulinipa nafasi/sababu ya kukuondoa kwenye moyo wangu ndani ya ile special place hutokaa urudi huko!

'hutokaa urudi moyoni mwangu',hilo ni apizo MJ1,usiapize,nshawahi kumpa mimba mwanamke,tukagombana,tukaachana,akaapiza kama wewe,akazaa, akaapiza tena kama wewe ulivyoapiza,leo ni best wangu,tunalea, pamoja na kwamba hatuna ndoa.La kwake ni la kwangu iwe la kheri au la furaha
 
Hapa nilikuwa naongelea kupenda mtoto wa kimada ambaye si wako.

Tukienda kwa wale ambao wamezaliwa nje ya ndoa hapo mjadala unakuwa mpana.

Mfano kuna jirani yangu wakati nakaa maeneo fulani Dar; alikuwa amezaa watoto wa nne na mama ambaye si anayeishi nae. Mama anayeishi ane ana watoto wawili; jumla watoto sita.

Baba alikuwa ana provide equally kwa watoto wote kwani walikuwa pale kwake; mkewe alikuwa anabagua kwa maana alikuwa anawatandika sana wale watoto wasio wake.

Yule mke wake nae alikuwa na binti mkubwa sasa hivi nadhani yuko form six; yule binti alikuwa anakaa kwa ndugu za huyo mama sasa sijuhi kama mume wake alikuwa hataki mtoto wa mwanaume mwenzie akae kwake au waliamua tu.

Kwa hiyo ni sahihi sana kama baba kupenda watoto wako wote regardless wamezaliwa nje au ndani; same to mothers.

But in real life wanaume wengi wanaburuzwa na wapenzi wao being it nyumba ndogo au wife kupenda watoto wao na kubagua watoto ambao si wa vipenzi vyao.

Mababa wenye msimamo kama wa huyu jirani yangu ni wachache sana; wengi wana side na wake zao kunyanyasa watoto wa mke ambaye ni history.
come on NyumbaKubwa,naona una base sana kwa mapenzi kati ya baba,mama na watoto waliozaliwa na kuishi under one roof.Hebu jaribu kupanua uwigo wa huu mjadala uhusishe na watoto ambao baba/mama wanazaa kabla ya kuoana,baba anazaa nje ya ndoa,mama anatengana na baba anazaa na mwanaume mwingine kisha wanarudiana na mmewe etc,wote hawa ni watoto na wanastahili mapenzi kama wale wanaozaliwa 'ndani' ya ndoa.Ukisha panua uwigo tutajadili.
 
Mama mkwe yuko mbali hivyo safari ya kwenda huko tulishajiwekea ni once a year.

Baba yangu yuko Dar hivyo ni kiasi cha kujifanya tumepotea njia wakati wa kutoka job na kwenda kumpa hi.

Mume wangu anampenda sana mama yake hivyo wala sijawahi kumburuza lazima aongee nae kwa simu daily kitu ambacho mimi sifanyi kwa wazazi wangu. Kwa hiyo haitaji kuwa pushed yeye ni last born kwao na ni mother's son. Baba yao alishafariki.

hapo nimekuelewa mama na nakutakia baraka tele kwenye ndoa yenu,nimeuliza kwa sababu wake wengine 'pangu pakavu tia mchuzi' si unajua?
 
'hutokaa urudi moyoni mwangu',hilo ni apizo MJ1,usiapize,nshawahi kumpa mimba mwanamke,tukagombana,tukaachana,akaapiza kama wewe,akazaa, akaapiza tena kama wewe ulivyoapiza,leo ni best wangu,tunalea, pamoja na kwamba hatuna ndoa.La kwake ni la kwangu iwe la kheri au la furaha
Nisamehe kwa lugha yangu hiyo Bishanga. Nakubaliana nawe kuwa ni apizo baya. Ninaliwithdraw but kwangu mimi hunichukua miaka mingi sana kuamua kumuondoa mtu moyoni. Nahisi ndio maana nafikiri huwa naumia sana na mara nyiongi watu wananishangaa kwa nini nayameza tu nakuwa coward kufanya maamuzi but siku nikiyafanya huwa ni moja kwa moja. Ukiwezaipitia thread ya nalivua pendo na nyinginezo unawezanielewa nikisemacho. But kama unavyosema, si vizuri kujiapiza.
Aksante kwa kunikumbusha hilo,
 
Tuko kurasa moja Lizzy wasiwasi wangu ni kuwa watu wengi wanaonekana kuchanganya love kwa watoto na love kwa spouse na hii ndiyo inayoniuma mimi. Watoto/spouse kila mtu ana special and unique love huwezilinganisha but ukikutana na mtu ambaye yeye anaamini kuwa yote ni sawa (kitu ambacho kinaweza kulead katika matendo) akamuignore spouse wake kisa tu anawapenda watoto bado si sawa.

Na ninaposema anakupenda kuliko watoto simaanishi akupende wewe kuliko watoto,la hasha bali aelewe na kutekeleza hayo mapenzi ya pande zoye mbili kwa namna inavyotakikana.

Jamani mie leo sio kabisaa!

Nimekusoma MJ..

Sasa kilichobaki ni kusubiria valu iishe mwilini mwa babu alafu tumkalishe chini mpaka hili somo la kutofautisha mapenzi ya watoto nawenzi limuingie!!
 
I think there is some misunderstanding kidogo

LOve for a spouse or partner is always there and unique in its own unique way, but love for the kids is special and nothing in this world can evr compare that one.

things like trust, questions,, security, accountability and responsibilities come in different ways and one has to look at at kama vile God's love to us or Jesus love to us or mary's love to Joseph and compared to Mary's love to Jesus

anyway.... those are my two cents

love kwa mtoto-unique
love kwa spouse-special
Mkuu,hizi sio semantics?
 
Duh, sina comment.. nabofya like tu hapaaa... Perfect uzi indeed.
 
Afu you can't imagine mama mkwe wangu ana jina kama langu

Sijuhi amenipenda kwa kuwa anaona reflection ya mama yake kwangu?

Yes am treating her as my elder son, lol. Anadeka kweli kweli.

Kuna kitu nimejifunza hapo...
wanaume wanaokuwa last born wanakuwa close na mama zao..
halafu wanakuwa kama 'watoto hivi' kwa wake zao pia....
 
Afu you can't imagine mama mkwe wangu ana jina kama langu

Sijuhi amenipenda kwa kuwa anaona reflection ya mama yake kwangu?

Yes am treating her as my older son, lol. Anadeka kweli kweli.

ha ha haa nilikuwa nahisi hivyo aisee...hongera lol
 
bishanga ukijaza sana mawazo ya aina hii kichwani mwako
utashangaa yanakuwa hivyo hivyo....and vice versa...

unfortunately mambo haya ni common sana bongo hii,wanawake waone hivyo hivyo Boss,Mungu mwenyewe ndo anajua aliwaumbaje anajua mwenyewe,they can be very brutal.
 
Ashadii huwa napenda sana kusoma post zako kwani nanufaikaga nazo kwa sana tu. Ila hapo bold huyu baba wa binti yangu alinitelekeza kisa hiyo nyumba ndogo lol. Ila anampenda huyu binti yangu kuliko maelezo hapindui kabisa. Mimi naamini upendo kwa mtoto ni tofauti na upendo kwa mume/mke. Wako tofauti kabisa haiwezekani kulinganisha.

Nafikiri tuseme inategemea na mwanaume Maty.... Watoto wangu (a gal and boy) baba yao hana habari kwa lolote... Ananisumbua huyu mwanaume sina raha for once in a while ni constant stress.... Watoto hata siku moja hawezi sema atoe msaada wowote from shule, nguo, malazi, shule afya.... Hana habari!! Kunikomesha anakuja wasalimu (tena bila mikono mitupu) and brags kwangu huduma sitatoa but watoto watanipenda... Na ukitaka chochote kwangu lazima uachike na urudi na familia yangu yote!! Sijui ubongo wake ni wa vipi... Kwamba afanye hayo na feelings zangu zitarudi kwake?? Kwamba watoto awahudumie with conditions... naona ndo maana nikasema hivo na nimeona katika jamii watu wengi wanatelekeza familia zao... Kama baba watoto wako anajali... Mpenzi hongera saana maana unajua hata ukatike leo hii mtoto yupo pazuri....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
unfortunately mambo haya ni common sana bongo hii,wanawake waone hivyo hivyo Boss,Mungu mwenyewe ndo anajua aliwaumbaje anajua mwenyewe,they can be very brutal.

najua mkuu..
but nikupe ushauri mmoja 'wachukulie kama watoto wadogo'..hivi..
always expect less and do more,huwa wanachelewa ku realize 'value ya mtu'
wengine mpaka muachane.akutane na watu cruel ndo anakuja kugundua 'you were the right guy' for her..
 
Mpaka hapa nilipofikia nimejifunza somo moja gumu na linaloumiza sana.

kwamba wanaume na wanawake ni vitu viwili tofauti kabisa katika maisha ya mapenzi na upendo.

Nilichokuwa nakijua na ambacho naamini mpaka sasa kinaendelea

Mke anampenda mmewe saaaaana, pale wanapokuwa hawajapata watoto/mtoto
Mme anampenda mkewe sana pale wanapokuwa hawajapata watoto/mtoto

Nilichojifunza leo kwa mstuko

Mme anampenda mke hata kama ameshapata mtoto/watoto
Mke anampenda sana mtoto/watoto akishapata mtoto/watoto. Mme anakuwa namba mbili.

Swali kwa wanawake:
Ni kitu gani hasa kinawafanya mhamishie mapenzi yenu kwa watoto na kuwaweke waume zenu namba 2? Hapa tu-assume hakuna ubaya wowote uliotendewa na mmeo.

Inauma sana aisee!

Mie nafikir tatizo linakuja katika kufananisha... Kuna kipindi watoto wanaboa hata saa ingine waweza taka a break from them... BUT with the hubby ni tofauti for daima wataka awepo close... Kwamba tunahamisha mapenzi?? Hapana... nafirkir tu Mapenzi ya mume yanabaki pale pale ila tu kunakua na a new profound love ambayo inakuzalishia mzizi wa mapenzi ya ajabu rohoni kwako... Take note kua haimaanishi kua we love the hubbys less... Mapenzi juu ya mtoto yapo constant... Mapenzi juu ya hubby yapo constant but sometimes hata hukithiri kwa nguvu ya ajabu...
 
I know that that is why ukisoma post yangu moja nimesema inategemea umri wa watoto na umri wa ndoa. Lakini pamoja na hayo bado si kigezo cha kusema ninampenda huyu zaidi ya yule. Utamchangua huyu kwa sababu nyingineyo kabisa lakini si eti nampenda kuliko mwingine! Havitall.

After all I am living my life now!

Kaka hii imekuwa ngumu kweli kukubalika humu ndani! Sijui kwa nini mydia.

Yaani thread
1. Hii ya Asprin
2. Ile ya RR na
3. Ile ya The Boss................... zimenifunulia Ufunuo kama ule wa Yohana. Ufunuo wa ajabu sana kuhusu ndoa na mahusiano. Yaani zimenifanya niamini kuwa taasis nzima ya ndoa imejaa usanii wa hali ya juu.... imagine
1. Unaishi na mtu unayeamini kuwa anakupenda kumbe yeye anapenda watoto zaidi yako
2. Unaishi na mtu ambaye unaamini anakupenda wewe, na hajishughulishi na wengine kumbe sivyo.

Eh............. taasis ya ndoa na mahusiano!!

...lol...mwj1 katika watu ambao sikutarajia watakwazika na 'ufunuo' huu mmojawapo ni wewe....

anyway....mimi nitatoa mifano miwili...kwani nimejaaliwa watoto, sio mtoto.
kwanza,
kati ya watoto wawili,...mmoja wapo anakuwa na mapenzi zaidi kwa mama, mwingine kwa baba
and vice versa...siwezi chukulia hilo eti ni dhambi,...mapenzi ni 'empathy!'

mfano wa pili,....
ex-wife wangu...nilimpenda sana mpaka pale tulipokuja achana, baada ya hapo nikatambua maana ya mapenzi.
hivi leo hii nikwambie mwanajamiione pamoja na kukupenda sana, lakini nampenda zaidi mama wa watoto wangu
utanielewa kweli?----lazima utaniuliza kwanini nipo na wewe! lakini mwanangu/wanangu hata waoe au kuolewa haini affect chochote!

upendo/mapenzi ninayoyazungumzia mimi mbu ni kwamba niameathirika zaidi na matokeo ya ndoa, kiasi cha kuyatafsiri
mapenzi kwa upande wa pili, kama msiba. HUWEZI HADITHIA MACHUNGU YA MSIBA KAMA HAUJAKUFIKA!
kwa wale wenzangu ambao wameachana na waume/wake zao naamini tutakuwa tunaelewana kidogo, ama?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom