MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
Ngoja na mimi nikubaliane na wewe.
Rejao bana. Haya karibu tukubaliane
Ngoja na mimi nikubaliane na wewe.
I know that that is why ukisoma post yangu moja nimesema inategemea umri wa watoto na umri wa ndoa. Lakini pamoja na hayo bado si kigezo cha kusema ninampenda huyu zaidi ya yule. Utamchangua huyu kwa sababu nyingineyo kabisa lakini si eti nampenda kuliko mwingine! Havitall.too early to say...lol
Sweetie, kifupi ni kuwa hakuna jibu, kilo ishirini za pamba ni sawa na Ishirini za mawe! hahahaha tunapima kilo na kamwe vipimwavo havilingani.Bado sijapata jibu humu kuhusu hii mada!Naona watu wanapingana tu!
Dah! hili sredi limeenda na sjapata kupitia mapost yote but to me:
Ni ngumu sana kupambanua upendo wa waifu na kidz na naomba kukiri kwamba nimeshindwa haka kamtihani.
NB: Waifu ninaemuongelea hapa ni yule mwenye mapenzi na mwaminifu na mtoto ninaemuongelea hapa ni yule wa DNA yangu.
Dah! hili sredi limeenda na sjapata kupitia mapost yote but to me:
Ni ngumu sana kupambanua upendo wa waifu na kidz na naomba kukiri kwamba nimeshindwa haka kamtihani.
NB: Waifu ninaemuongelea hapa ni yule mwenye mapenzi na mwaminifu na mtoto ninaemuongelea hapa ni yule wa DNA yangu.
Not every question has an answer to itBado sijapata jibu humu kuhusu hii mada!Naona watu wanapingana tu!
Mimi jamani sijui kwa nini ninaamini siwezi kulinganisha hawa wawili! Mwanangu/wanangu niwapende lakini baba yao will always have that special place. Nimpende mume wangu the same nitakavyowapenda wao.
Naombeni tu nikubali kutokukubaliana kwenu!
Wewe tunakujua una mapenzi na MagambaDah! hili sredi limeenda na sjapata kupitia mapost yote but to me:
Ni ngumu sana kupambanua upendo wa waifu na kidz na naomba kukiri kwamba nimeshindwa haka kamtihani.
NB: Waifu ninaemuongelea hapa ni yule mwenye mapenzi na mwaminifu na mtoto ninaemuongelea hapa ni yule wa DNA yangu.
Nakubaliana na wewe mkuu, labda niweke lugha sawa "mtoto wa kubambikiwa" baadae ukagundua, of coz hata mimi sitomchukia lakini kuna kale kapsaikolojikal torture katakakokusumbua.wapo watu tena wababa wanatokea 'kumpenda' mtoto ambae sio damu yake kuliko watoto wa damu yake...
mimi nimeiona hiyo saana....
but kwa wamama.....no comments...lol
Mapenzi kwa mtoto/watoto ni tofauti kabisa na mapenzi kwa mke/mume/ au mwenza.
Bishanga kwanini umeweka jina lako haukufikiria jina jingine lol!!!what if umezaa na Bishanga na hamkuoana nitaendelea kuwa na ' a special place ' moyoni mwako? Ndo mana kwenye mchango wangu hapo nyumba niliji disqualify kuchangia.Just a thought na samahani kwa kuingilia flow ya mjadala,sina sifa ya kuchangia hapa.
Hivi ballantine imebaki nichakachue maana leo nimeambiwa nimeongea mambo ya kikubwa yanayonizidi umri lol!!I know that that is why ukisoma post yangu moja nimesema inategemea umri wa watoto na umri wa ndoa. Lakini pamoja na hayo bado si kigezo cha kusema ninampenda huyu zaidi ya yule. Utamchangua huyu kwa sababu nyingineyo kabisa lakini si eti nampenda kuliko mwingine! Havitall.
After all I am living my life now!
Kabisa client mtiifu,Mpenzi Lawyer, unaona? Ni ngumu kulinganisha kwa kuwa kila mmoja unampenda kwa nafasi yake. Kila mmoja kipimo cha mapenzi kwake ni cha first class katika nafasi yake.
Ule mradi wako wa kupeleka chura china unaendeleaje?Wewe tunakujua una mapenzi na Magamba
Mapenzi kwa mtoto/watoto ni tofauti kabisa na mapenzi kwa mke/mume/ au mwenza.
Kaka hii imekuwa ngumu kweli kukubalika humu ndani! Sijui kwa nini mydia.
Yaani thread
1. Hii ya Asprin
2. Ile ya RR na
3. Ile ya The Boss................... zimenifunulia Ufunuo kama ule wa Yohana. Ufunuo wa ajabu sana kuhusu ndoa na mahusiano. Yaani zimenifanya niamini kuwa taasis nzima ya ndoa imejaa usanii wa hali ya juu.... imagine
1. Unaishi na mtu unayeamini kuwa anakupenda kumbe yeye anapenda watoto zaidi yako
2. Unaishi na mtu ambaye unaamini anakupenda wewe, na hajishughulishi na wengine kumbe sivyo.
Eh............. taasis ya ndoa na mahusiano!!