Mdahalo: Kids Vs Spouses

Mdahalo: Kids Vs Spouses

Dah huu mjadala naona unakwenda deep sana bana, mie mtu wa shallow so nakimbiza bawa. Ila tu
Nitawapenda wenetu (wake + wangu+ wetu) lakini naye nafasi yake itabaki yake. Nitawapenda watoto na Baba/Uncle wao nitampenda pia.

Ewe Mwenyezi MUNGU nisaidie.

MJ1, kuna swali moja ambalo naona umejitahidi sana kulikwepa ila halikwepeki..Naamini ndilo ambalo mimi na Babu yako Asprin tumejaribu kulielezea kwa kirefu toka mwanzo wa hii mada.

Hebu assume, uko kwenye boat na sasa ajali imetokea. Una life jackets 2 tu.. Na pia to make the matter worse, unatakiwa moja uvae wewe (no choice) na ile ya pili uamue utampa nani...Kuna mume na mtoto...

Utampa nani???

Mbona rahisi sana....Just give me your answer...Mine is clear...my life jacket will go to my soulmate, PERIOD!
 
..........kila mmoja ana nafasi yake linapokuja swala la kupenda, kabla ya kuolewa nilikuwa nasema siwezi penda mtu yoyote kama ninavyowapenda wazazi wangu. Lakini nikaja kumpenda mume wangu na nikaona na wazazi wangu bado nawapenda sana tu.

Baada ya kupata mimba nilikuwa nasema nitakuja kumpenda mtoto wangu kuliko mtu yoyote mwingine........... baada ya kupata mtoto nikagundua nampenda sana mwanangu lakini bado baba yake pia anapendwa sana tu. Hivyo kila mtu ana nafasi yake, ila sasa kwa namna moja au nyingine mtoto 1st kwa sababu...............!!!

Hilo linatosha...Hata hivyo huo ukweli ndio umemkimbiza Aspirini...Ni vigumu sana kwa baadhi ya wanaume kuamini (especially vijana wa dot com) kwamba watoto uliowazaa mwenyewe wamechukua nafasi yako na sasa wewe umebakia kama maganda ya muwa ambayo utamu wake umeisha!!

Ila sie wa miaka ile 1947, tulifundishwa na kuujua ukweli huu kwa herifu zake zote!!
 
MJ1, kuna swali moja ambalo naona umejitahidi sana kulikwepa ila halikwepeki..Naamini ndilo ambalo mimi na Babu yako Asprin tumejaribu kulielezea kwa kirefu toka mwanzo wa hii mada.

Hebu assume, uko kwenye boat na sasa ajali imetokea. Una life jackets 2 tu.. Na pia to make the matter worse, unatakiwa moja uvae wewe (no choice) na ile ya pili uamue utampa nani...Kuna mume na mtoto...

Utampa nani???

Mbona rahisi sana....Just give me your answer...Mine is clear...my life jacket will go to my soulmate, PERIOD!

Mtoto..bila hata kufikiria mara tatu.
Na mwenzangu akifanya hivyo sitokasirika wala kumchukia.
 
Umenikumbusha thread moja mwaka jana ilikuwa na views karibia 20,000 na page karibia 30
ilikuwa mmu? Iligusia nini? We mjuzi wa kompyuta sio ka sisi maimuna,jaribu kuififua hiyo thread.
 
...e bana ee...kila mtu na msimamo wake, period!
hata wewe unayempenda mkeo kuliko wanao usijeshangaa kwa mkeo
mwanao anachukua nafasi ya kwanza...

mimi msimamo wangu unasimama palepale....
kwanza, binti yangu na last born wangu....kisha
another boy....(ambaye ni kipenzi cha mama'ke)

...kiukweli thread hii imenifungua macho sana...
pia sasa nimeelewa kwanini wengi walioingia kwenye 2nd
marriage etc, new spouses walifanya kila njia na wao wazae watoto
idadi sawa na waliowakuta...

potelea mbali,....nitaishia na huu 'ujane'
 
Ndo maana hata wengine wanalazimisha mimba....kuwin mapenzi ya mwenza!

Mbu we are on the same page...endelea kupenda watoto wako maana wewe ndie baba yao and no one else!!!
Wapenzi/wake/waume wanakuja na kuondoka....watoto hata wakiondoka (God forbid) bado huwezi kuziba nafasi yao kwa kutafuta wengine.
 
Mkuu Mbu, hili swali haliwezi kujibiwa kwa short answer kama mstaafu DC anavyotaka iwe, mimi nadhani family love ni flexible love na kila mmoja anaplay part katika kuleta furaha ya familia, kusema kwamba unataka lazima mmoja awe zaidi ya mwengine to me ni Big No unless otherwise kuwe na reason behind, Post yangu ya kwanza nilisema kwamba huu ni mtihani mzito, kwasababu ukitaka kubase kwa kujibu unampenda mmoja kuliko mwengine basi guarantee unajidanganya nafsi yako na utaleta matatizo katika familia. Na kwangu mimi hata kama itakuwa ni kweli unampenda mmoja zaidi ya mwengine basi utalazimika kuyaficha kwani yanaweza yakaathiri.

Imagine ====

1) wewe unampenda mke zaidi, mama inamjia akili kwamba hauwapendi watoto hivyo mama anaanza kukuchukia kwa kutokupenda kwako watoto
Au

2) Wewe unampenda mtoto zaidi, mke anaanza kujihisi unamtenga na anapunguza mapenzi kwako .

Same goes to wake kwa waume zao
 
Sweetheart!
I thought tunalizungumzia hili kwenye familia ya kusadikika ambayo haina matatizo? sasa hiyo red vipi tena?
 
Ewe mpendwa lawyer wa MMU kwani kuna mtu anaingia kwenye mahusiano akipangia matatizo???I think not.
Ila uwezekano wakujitokeza ni mkubwa sana...ndio maana tuna single parenting/step parenting n.k...wengi hawapangi kulea watoto wao wenyewe au na mama/baba ambae sio aliyezaa nae ila inatokea kwasababu inawezekana. Kwahiyo mume/mke/mpenzi haijalishi wakati mnaanza mlikua hamna matatizo na mna furaha kiasi gani....wakati wowote ule anaweza akaacha kuwa mke/mume/mpenzio.
 
Sababu ya kujihisi???
Tuseme mwanamke/mwanaume bado unamtreat vizuri kama ilivyokua mwanzo...unatimiza majukumu yako na unaonyesha kumjali kwanini ahisi au hata kusumbuliwa na wazo la kwamba unawapenda watoto zaidi yake???

Huko ni kutojiamini....tena kusiko na maana!!!

Na kama sababu ni mabadiliko kwenye matendo/majukumu/kujaliu n.k kwanini watoto watumiwe kulaumu???
Mara nyingi watoto sio wachawi kwenye mahusiano....sisi ndio wachawi.
 
dont make decisions out of fear..........
 
heheh Nakubaliana na post yako 100% lakini nadhani kama ni unplanned outcome hata mtoto wako anaweza akakusaliti pia na akakuacha. Mimi naliongelea hili suala katika kipindi cha furaha ya familia ambapo kila mmoja anaplay part yake responsibly.
Nobody knows what tommorow hold, so lets judge our present as forever.
What do u think?
 
Sweetheart!
I thought tunalizungumzia hili kwenye familia ya kusadikika ambayo haina matatizo? sasa hiyo red vipi tena?
Kamanda huonekani siku hizi,afu kuna ID imefanana na yako kwa mbali ni mupya lol! kwakuwa mzee mwenzangu dawa ya zamani Aspirin kakataza kuchakachua nami ndio mchakachuaji-in-chief inabidi nitafute thread ingine ya kuchakachua hahaha!

Nikijibu topic mtoto/watoto come first to me.
 
Sababu ya kujihisi???
Tuseme mwanamke/mwanaume bado unamtreat vizuri kama ilivyokua mwanzo...unatimiza majukumu yako na unaonyesha kumjali kwanini ahisi au hata kusumbuliwa na wazo la kwamba unawapenda watoto zaidi yake???

Huko ni kutojiamini....tena kusiko na maana!!!

Na kama sababu ni mabadiliko kwenye matendo/majukumu/kujaliu n.k kwanini watoto watumiwe kulaumu???
Mara nyingi watoto sio wachawi kwenye mahusiano....sisi ndio wachawi.
Lizzy!

Hakuna penzi lisilo na sababu, na sababu ya penzi siku zote ndiyo inayokoleza na kupunguza penzi. Beleive u me, wanawake wengi wakishakupata watoto basi barrier ya kujudge mapenzi yao ni through watoto (Msome nyumba kubwa kwenye post zake utagundua hilo)na at the same time ukipitiliza basi wanakuhukumu vyengine (hapa ninao mfano halisi nilioushuhudia), pia usisahau mioyo ya binadamu ikipata A basi inataka B na ukiipatia B basi itataka ile ile A. Watoto wanaathiri sana familia katika mtindo huu, chunguza mara nyingi matatizo na talaka huanzia anapopatikana first born. Jiulize kwanini?
 
heheh Nakubaliana na post yako 100% lakini nadhani kama ni unplanned outcome hata mtoto wako anaweza akakusaliti pia na akakuacha. Mimi naliongelea hili suala katika kipindi cha furaha ya familia ambapo kila mmoja anaplay part yake responsibly.
Nobody knows what tommorow hold, so lets judge our present as forever.
What do u think?

Mwanzoni niliegemea sana kwenye utofauti wa mapenzi ya mzazi na mtoto....kwamba hayatakiwi kulinganishwa wala mwenzi na mtoto hawatakiwi kugombani mapenzi yako. Hivyo katika hali ya kawaida familia ikiwa na furaha hamna haja ya kufikiria nani yuko juu ya nani kwasababu unaweza kuwapa wote mapenzi wanayostahili bila kupunja upande wowote/unaweza kuwatimiza majukumu wahusianayo nayo bila kupunja/waweza kujali bila kupunja n.k. Ila linapokuja swala la je nani zaidi...chagua upande mmoja ndio inabidi mtu afikirie je nani ni muhimu zaidi/nani namthamini zaidi na nani namhitaji zaidi.
 
Mkuu Mbu, hili swali haliwezi kujibiwa kwa short answer kama mstaafu DC anavyotaka iwe, mimi nadhani family love ni flexible love na kila mmoja anaplay part katika kuleta furaha ya familia, kusema kwamba unataka lazima mmoja awe zaidi ya mwengine to me ni Big No unless otherwise kuwe na reason behind, Post yangu ya kwanza nilisema kwamba huu ni mtihani mzito, kwasababu ukitaka kubase kwa kujibu unampenda mmoja kuliko mwengine basi guarantee unajidanganya nafsi yako na utaleta matatizo katika familia. Na kwangu mimi hata kama itakuwa ni kweli unampenda mmoja zaidi ya mwengine basi utalazimika kuyaficha kwani yanaweza yakaathiri.

Imagine ====

1) wewe unampenda mke zaidi, mama inamjia akili kwamba hauwapendi watoto hivyo mama anaanza kukuchukia kwa kutokupenda kwako watoto
Au

2) Wewe unampenda mtoto zaidi, mke anaanza kujihisi unamtenga na anapunguza mapenzi kwako .

Same goes to wake kwa waume zao

Hivi nyie wadau wa MMU mkoje???? Under S.T.P na kwa manamume (to the best of knowledge and experience since 1947), hiyo No2 haiwezi kuwepo kama no1 haipo...Ndo maana ukimpenda mama kweli kweli lazima upende na watoto wake... Na hapa naongelea wao ambao wako kwenye ndoa ambayo bado walau iko imara kidogo! Ikianza ku-shake mambo yanaweza kuwa tofauti!

Ndo maana nawaelewa wanawake kuwekeza kila coin kwa watoto wao. Pia hiyo inaeleza vizuri tu kwa nini ukitaka kum-win mwanamke ni rahisi kupitia kwa watoto wake......Kama haya hayaelewiki basi tena!
 
Kamanda huonekani siku hizi,afu kuna ID imefanana na yako kwa mbali ni mupya lol! kwakuwa mzee mwenzangu dawa ya zamani Aspirin kakataza kuchakachua nami ndio mchakachuaji-in-chief inabidi nitafute thread ingine ya kuchakachua hahaha!

Nikijibu topic mtoto/watoto come first to me.
hahaha kamanda nipo bana, na hiyo ID wewe ukiamua kuitukana itukane tu nakuguarantee sio mimi, nikibadilisha ID lazima nitamshtua Lizzy stofanya kinyemela.

Tutaongea zaidi kwenye sredi la kuchakachua, hili sredi liko serious kiaina yaani.
 
Lizzy!

Hakuna penzi lisilo na sababu, na sababu ya penzi siku zote ndiyo inayokoleza na kupunguza penzi. Beleive u me, wanawake wengi wakishakupata watoto basi barrier ya kujudge mapenzi yao ni through watoto (Msome nyumba kubwa kwenye post zake utagundua hilo)na at the same time ukipitiliza basi wanakuhukumu vyengine (hapa ninao mfano halisi nilioushuhudia), pia usisahau mioyo ya binadamu ikipata A basi inataka B na ukiipatia B basi itataka ile ile A. Watoto wanaathiri sana familia katika mtindo huu, chunguza mara nyingi matatizo na talaka huanzia anapopatikana first born. Jiulize kwanini?

Lawyer bado siwezi kukubali kwamba watoto ndio wanaokua wasababishaji moja kwa moja.Uwepo wao tu hautoshi kuharibu mahusiano....
Na NK nilipomsoma nimemwelewa vile vile nnavyoamini kwamba mama akipata/akiwa na mtoto ukakosa kumwonyesha mtoto mapenzi ambayo mama anatamani kuona ukimwonyesha mwanae lazima kutakua na matatizo...ukimnyanyasa lazima kutakuwa na matatizo....ukimtumia vibaya lazima kutakua na matatizo. Kwahiyo mwenzi ndio msababishaji na sio mtoto.

Hujasikia wababa wanaachana na wanawake kwasababu hawawapendi/wanawanyanyasa watoto wao wa kambo???Japo wengi hua wanaignore malalamiko ya watoto linapokuja swala la malezi ya mama wa kambo wako wanaojali. Na wakiuona ukweli na kushindwa kurekebisha hali iliyopo ndio basi tena.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mwanzoni niliegemea sana kwenye utofauti wa mapenzi ya mzazi na mtoto....kwamba hayatakiwi kulinganishwa wala mwenzi na mtoto hawatakiwi kugombani mapenzi yako. Hivyo katika hali ya kawaida familia ikiwa na furaha hamna haja ya kufikiria nani yuko juu ya nani kwasababu unaweza kuwapa wote mapenzi wanayostahili bila kupunja upande wowote/unaweza kuwatimiza majukumu wahusianayo nayo bila kupunja/waweza kujali bila kupunja n.k. Ila linapokuja swala la je nani zaidi...chagua upande mmoja ndio inabidi mtu afikirie je nani ni muhimu zaidi/nani namthamini zaidi na nani namhitaji zaidi.

Hiyo haiwezekani Lizzy,

Wakishazaliwa watoto lazima baba atapunjika tu...Ndiyo maana huwa kuna hisia kama baba na watoto wote wanamgombania mama! Ndio maana kabila moja (majirani zangu), mama akishazaa mtoto lazima apate kipigo ili siku zote akumbuke kuwa baba ni namba 1..Ingawa haiwezekani!

Mie ndipo nafikia kuwapa live kwamba waniachie mke wangu, wasubiri waoe wake zao....some sort of jokes with some in-built facts...Lol!!
 
...e bana ee...kila mtu na msimamo wake, period!
hata wewe unayempenda mkeo kuliko wanao usijeshangaa kwa mkeo
mwanao anachukua nafasi ya kwanza...

mimi msimamo wangu unasimama palepale....
kwanza, binti yangu na last born wangu....kisha
another boy....(ambaye ni kipenzi cha mama'ke)

...kiukweli thread hii imenifungua macho sana...
pia sasa nimeelewa kwanini wengi walioingia kwenye 2nd
marriage etc, new spouses walifanya kila njia na wao wazae watoto
idadi sawa na waliowakuta...

potelea mbali,....nitaishia na huu 'ujane'
buddy

Mimi siwezi kuficha.... na sintaficha my kids come first and my reasoing is still the same

hawawezi kuwa na baba mwingine, lakini mama yao may decide to leave me na kuwa na mume mwingine!!! I am never replacable to them, but i could be replaced by kwa mama yao

Nampenda mke wangu, lakini nawapenda wanangu kwa namna ya pekee kabisa, na haielezeki

TOUCH MY KIDS.... AND YOU KNOW YOU HAVE TOUCHED ME DEADLY!!!

MBU TUKO PAMOJA, AND FOR WHATEVER REASONS I KNOW HOW YOU FEEL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom