MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
Bishanga definition ya mume ninayoiweka hapa ni ile ya mwanaume niliye naye kwa wakati huo, Na ndio maana nikauliza kama Mapendo na Mapenzi ni kitu kimoja. Sioni kwa nini mpenzi alokuja akanikuta na mtoto wa mwingine nimpunje, nisimpende kwa sababu ninampenda mtoto wangu?! Special place yake bado iko pale pale until atakaponipa nafasi/ sababu ya kuifuta. Kama Bishanga tulipozaa nawe ulinipa nafasi/sababu ya kukuondoa kwenye moyo wangu ndani ya ile special place hutokaa urudi huko!what if umezaa na Bishanga na hamkuoana nitaendelea kuwa na ' a special place ' moyoni mwako? Ndo mana kwenye mchango wangu hapo nyumba niliji disqualify kuchangia.Just a thought na samahani kwa kuingilia flow ya mjadala,sina sifa ya kuchangia hapa.