nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,397
Hayo maneno haya maanishi kuwa mama ampendi mwanae wa kiume ila ni obsession.
Mfano mimi Boss to be honest nampenda saana mume wangu; lakini sitakaa nijibaraguze kuwa nampenda kuliko mama yake anavyompenda; that mother is crazy for her kids na nalijua hilo.
Na urafiki (si mapenzi) wangu na mama mkwe ni under the condition kuwa na mtreat mtoto wake right. Nina hakika akijua ninamyanyasa mwanae in any way hapata kalika.

Nyumba Kubwa....mbona wapo wanawake weengi mno wakatili
kwa watoto wao????
mfano mama wakwe.....hataki 'love ' (binti)ya mwanawe wa kiume kwa kumchukia tu
binti aliolewa.......
hakuna 'unconditiona love' kwa kweli siki zote 'love is a selfish thing'
utasikia kama unanipenda na kuniheshimu mimi mama yako 'muache ' huyo mwanamke'....
bila kujali mwanao ndio 'love ' yake huyo...