Mdahalo: Kids Vs Spouses

Mdahalo: Kids Vs Spouses

...lol...mwj1 katika watu ambao sikutarajia watakwazika na 'ufunuo' huu mmojawapo ni wewe....

anyway....mimi nitatoa mifano miwili...kwani nimejaaliwa watoto, sio mtoto.
kwanza,
kati ya watoto wawili,...mmoja wapo anakuwa na mapenzi zaidi kwa mama, mwingine kwa baba
and vice versa...siwezi chukulia hilo eti ni dhambi,...mapenzi ni 'empathy!'

mfano wa pili,....
ex-wife wangu...nilimpenda sana mpaka pale tulipokuja achana, baada ya hapo nikatambua maana ya mapenzi.
hivi leo hii nikwambie mwanajamiione pamoja na kukupenda sana, lakini nampenda zaidi mama wa watoto wangu
utanielewa kweli?----lazima utaniuliza kwanini nipo na wewe! lakini mwanangu/wanangu hata waoe au kuolewa haini affect chochote!

upendo/mapenzi ninayoyazungumzia mimi mbu ni kwamba niameathirika zaidi na matokeo ya ndoa, kiasi cha kuyatafsiri
mapenzi kwa upande wa pili, kama msiba. HUWEZI HADITHIA MACHUNGU YA MSIBA KAMA HAUJAKUFIKA!
kwa wale wenzangu ambao wameachana na waume/wake zao naamini tutakuwa tunaelewana kidogo, ama?

out of topic...hivi hiyo 'ndoa' ya ma soulmates ni lini???lol
 
Mbona unam-address Nyumba Kubwa kama NN?

Tafadhali usije ukaanzisha speculations zingine kuwa NN ndo Nyumba Kubwa maana kuna watu walio gullible na credulous kupita maelezo humu. Ya mimi kuwa ndo AshaDii imetosha.

Sasa hivi wewe ni AshaDii... Na Roulette pia... Pole saaana!! (hopefully you are doing something)
 
Nisamehe kwa lugha yangu hiyo Bishanga. Nakubaliana nawe kuwa ni apizo baya. Ninaliwithdraw but kwangu mimi hunichukua miaka mingi sana kuamua kumuondoa mtu moyoni. Nahisi ndio maana nafikiri huwa naumia sana na mara nyiongi watu wananishangaa kwa nini nayameza tu nakuwa coward kufanya maamuzi but siku nikiyafanya huwa ni moja kwa moja. Ukiwezaipitia thread ya nalivua pendo na nyinginezo unawezanielewa nikisemacho. But kama unavyosema, si vizuri kujiapiza.
Aksante kwa kunikumbusha hilo,

usikonde MJ1,nakuelewa,maisha yaone hivi hivi,la kesho huwezi kulijua leo,na hakuna kitu kibaya kama maamuzi ya hasira,unakumbuka kuna siku ulinikemea kuhusu Mzee Liundi,Taji et al?
 
out of topic...hivi hiyo 'ndoa' ya ma soulmates ni lini???lol

D1508EU0.jpg
....ssshhhhhhh!, slow down bana...barabara hii yataka abiria mtulie kimya kwani dereva anaweza poteza muelekeo....

thread hii imenitisha sana misimamo iliyojitokeza,....kwani katika jambo nililokuwa nalifikiria kwa roho nyeupe ni pamoja na kuwa muwazi kwa mwenza wangu maishani ni kwa jinsi gani nawathamini wanangu.... lakini mnh!....kumbe ndio maana mama wa kambo wengine wanakuwa wakorofi sana kwa watoto wa kufikia...

imeniuma sana.
 
Hapa nilikuwa naongelea kupenda mtoto wa kimada ambaye si wako.

Tukienda kwa wale ambao wamezaliwa nje ya ndoa hapo mjadala unakuwa mpana.

Mfano kuna jirani yangu wakati nakaa maeneo fulani Dar; alikuwa amezaa watoto wa nne na mama ambaye si anayeishi nae. Mama anayeishi ane ana watoto wawili; jumla watoto sita.

Baba alikuwa ana provide equally kwa watoto wote kwani walikuwa pale kwake; mkewe alikuwa anabagua kwa maana alikuwa anawatandika sana wale watoto wasio wake.

Yule mke wake nae alikuwa na binti mkubwa sasa hivi nadhani yuko form six; yule binti alikuwa anakaa kwa ndugu za huyo mama sasa sijuhi kama mume wake alikuwa hataki mtoto wa mwanaume mwenzie akae kwake au waliamua tu.

Kwa hiyo ni sahihi sana kama baba kupenda watoto wako wote regardless wamezaliwa nje au ndani; same to mothers.

But in real life wanaume wengi wanaburuzwa na wapenzi wao being it nyumba ndogo au wife kupenda watoto wao na kubagua watoto ambao si wa vipenzi vyao.

Mababa wenye msimamo kama wa huyu jirani yangu ni wachache sana; wengi wana side na wake zao kunyanyasa watoto wa mke ambaye ni history.

Bi Nyumbakubwa,hili la so called 'watoto wa nje' tulitafutie siku na thread yake special,we need that,naomba over the weekend ufungue hiyo thread,na usisahau kum alert AshaDii kuhusu hiyo thread.
 
Sasa hivi wewe ni AshaDii... Na Roulette pia... Pole saaana!! (hopefully you are doing something)

Asha, what else can I do about it other than just shake my head? Both you and I know beyond a shadow (not even beyond a reasonable doubt) of a doubt that you are not me and I am not you.

Sasa how does someone else know that me and you are one and the same? It's beyond me.

Btw, hiyo ya wewe kuwa RR nimeiona na nikacheka sana. Ikanikumbusha wewe na FF. And why in the hell do people think you are all these people?
 
...lol...mwj1 katika watu ambao sikutarajia watakwazika na 'ufunuo' huu mmojawapo ni wewe....

anyway....mimi nitatoa mifano miwili...kwani nimejaaliwa watoto, sio mtoto.
kwanza,
kati ya watoto wawili,...mmoja wapo anakuwa na mapenzi zaidi kwa mama, mwingine kwa baba
and vice versa...siwezi chukulia hilo eti ni dhambi,...mapenzi ni 'empathy!'

mfano wa pili,....
ex-wife wangu...nilimpenda sana mpaka pale tulipokuja achana, baada ya hapo nikatambua maana ya mapenzi.
hivi leo hii nikwambie mwanajamiione pamoja na kukupenda sana, lakini nampenda zaidi mama wa watoto wangu
utanielewa kweli?----lazima utaniuliza kwanini nipo na wewe! lakini mwanangu/wanangu hata waoe au kuolewa haini affect chochote!

upendo/mapenzi ninayoyazungumzia mimi mbu ni kwamba niameathirika zaidi na matokeo ya ndoa, kiasi cha kuyatafsiri
mapenzi kwa upande wa pili, kama msiba. HUWEZI HADITHIA MACHUNGU YA MSIBA KAMA HAUJAKUFIKA!
kwa wale wenzangu ambao wameachana na waume/wake zao naamini tutakuwa tunaelewana kidogo, ama?

Nimekuelewa Mbu tatizo langu haliko huko. Ukiwapenda kwa nafasi zao kama watoto ninakuelewa kabisa. Ila usijisahau uka;hamishia' mapenzi yako (hata yale ambayo unatakiwa uyaelekeze kwangu) ndipo nisipopaelewa. Afadhali MTM ameweka sawa kuwa these two parts are both special and unique in their different ways. Lakini si yale ya eti hunijali, you take me and mylove for granted kisa unawapenda wenetu na kuwajali wao kimatendo na nadharia?!! Hapana bana nikiwa kama binadamu mwenye hisia nami ninastahili kupata haki yangu.

Kuhusu Mama wa watoto wako (ambaye mmeachana) ni kweli hautoeleweka ukisema unampenda kwa kuwa hamko naye kwa sasa, n definition ya spouse hapo inabadilika na kumvaa yule uliyeoa/oana naye sasa. So mimi nitakaposema ninawapenda wanangu (hao Mbu ulonikuta nao) na kuwa baba yao au Uncle wao kama wengine wanavyopenda kujulikana nitakuwa ninamaanisha Mbu na si baba ya wanangu ambaye hayupo tena kwangu kimapenzi. Kuwa pamoja na kuwa nina watoto wangu, Mbu will always have that special place mpaka pale atakaponipa sababu za kumtoa!

Shida yangu iko katika matendo zaidi, naiogopa sana ile hali ya kujihisi kuwa neglected kihisia jamani, nadhani yamenitosha niloyapitia nisingependa kuwa kwenye mahusiano ambayo vitendo vya mwenzangu vitanifanya nijisikie kuwa msindikizaji tu kwenye maisha.

Ah sio siri hii thread hata sikuitegemea kunitenda hivi.

Nway pengine ni kutokuelewa kwangu tu.
But ninaheshimu mawazo ya wote.
 
Nafikiri tuseme inategemea na mwanaume Maty.... Watoto wangu (a gal and boy) baba yao hana habari kwa lolote... Ananisumbua huyu mwanaume sina raha for once in a while ni constant stress.... Watoto hata siku moja hawezi sema atoe msaada wowote from shule, nguo, malazi, shule afya.... Hana habari!! Kunikomesha anakuja wasalimu (tena bila mikono mitupu) and brags kwangu huduma sitatoa but watoto watanipenda... Na ukitaka chochote kwangu lazima uachike na urudi na familia yangu yote!! Sijui ubongo wake ni wa vipi... Kwamba afanye hayo na feelings zangu zitarudi kwake?? Kwamba watoto awahudumie with conditions... naona ndo maana nikasema hivo na nimeona katika jamii watu wengi wanatelekeza familia zao... Kama baba watoto wako anajali... Mpenzi hongera saana maana unajua hata ukatike leo hii mtoto yupo pazuri....

hujambo Asha? Are you ok? Uliyosema hapa juu na ninayosema mimi kwenye uzi huu basically ni uchakachuaji wa original thread ya babu yenu piriton,nashauri either wewe au Nyumbakubwa mfungue thread kuhusu hao ambao unfairly wanaitwa 'watoto wa nje' kisha tujadili'
 
D1508EU0.jpg
....ssshhhhhhh!, slow down bana...barabara hii yataka abiria mtulie kimya kwani dereva anaweza poteza muelekeo....

thread hii imenitisha sana misimamo iliyojitokeza,....kwani katika jambo nililokuwa nalifikiria kwa roho nyeupe ni pamoja na kuwa muwazi kwa mwenza wangu maishani ni kwa jinsi gani nawathamini wanangu.... lakini mnh!....kumbe ndio maana mama wa kambo wengine wanakuwa wakorofi sana kwa watoto wa kufikia...

imeniuma sana.

what is life if not a risk????
what is love if not a risk?????
 
Nimekuelewa Mbu tatizo langu haliko huko. Ukiwapenda kwa nafasi zao kama watoto ninakuelewa kabisa. Ila usijisahau uka;hamishia' mapenzi yako (hata yale ambayo unatakiwa uyaelekeze kwangu) ndipo nisipopaelewa. Afadhali MTM ameweka sawa kuwa these two parts are both special and unique in their different ways. Lakini si yale ya eti hunijali, you take me and mylove for granted kisa unawapenda wenetu na kuwajali wao kimatendo na nadharia?!! Hapana bana nikiwa kama binadamu mwenye hisia nami ninastahili kupata haki yangu.

Kuhusu Mama wa watoto wako (ambaye mmeachana) ni kweli hautoeleweka ukisema unampenda kwa kuwa hamko naye kwa sasa, n definition ya spouse hapo inabadilika na kumvaa yule uliyeoa/oana naye sasa. So mimi nitakaposema ninawapenda wanangu (hao Mbu ulonikuta nao) na kuwa baba yao au Uncle wao kama wengine wanavyopenda kujulikana nitakuwa ninamaanisha Mbu na si baba ya wanangu ambaye hayupo tena kwangu kimapenzi. Kuwa pamoja na kuwa nina watoto wangu, Mbu will always have that special place mpaka pale atakaponipa sababu za kumtoa!

Shida yangu iko katika matendo zaidi, naiogopa sana ile hali ya kujihisi kuwa neglected kihisia jamani, nadhani yamenitosha niloyapitia nisingependa kuwa kwenye mahusiano ambayo vitendo vya mwenzangu vitanifanya nijisikie kuwa msindikizaji tu kwenye maisha.

Ah sio siri hii thread hata sikuitegemea kunitenda hivi.

Nway pengine ni kutokuelewa kwangu tu.
But ninaheshimu mawazo ya wote.

"neglected"
kihisia...!?

hizo insecurities zinasababishwa na nini?
sababu tu baba mtu anawapenda sana wanawe?

.
 
D1508EU0.jpg
....ssshhhhhhh!, slow down bana...barabara hii yataka abiria mtulie kimya kwani dereva anaweza poteza muelekeo....

thread hii imenitisha sana misimamo iliyojitokeza,....kwani katika jambo nililokuwa nalifikiria kwa roho nyeupe ni pamoja
na kuwa muwazi kwa mwenza wangu maishani ni kwa jinsi gani nawathamini wanangu.... lakini mnh!....kumbe ndio maana mama wa kambo wengine wanakuwa wakorofi sana kwa watoto wa kufikia...

imeniuma sana.

Nafikiri hii haina tatizo Mbu kama tu wewe utaplay part yako as both a good father to them kids, a loving daddy for that matter and a good and lovely husband too. Yaani ukiweza kutenganisha mapendo na mapenzi kati ya wanao na mkeo haina shida kabisa.

Pole kumbe tuko wengi tuloumizwa na hii thread!
 
najua mkuu..
but nikupe ushauri mmoja 'wachukulie kama watoto wadogo'..hivi..
always expect less and do more,huwa wanachelewa ku realize 'value ya mtu'
wengine mpaka muachane.akutane na watu cruel ndo anakuja kugundua 'you were the right guy' for her..

neno kubwa The Boss umeongea,nimekuelewa,ningesema zaidi lakini si vizuri kuchakachua uzi wa paracetamol
 
"neglected"
kihisia...!?

hizo insecurities zinasababishwa na nini?
sababu tu baba mtu anawapenda sana wanawe?

.

Mbu hebu tuache hii thread tafadhali.

Ninachokiweka hapa ni hiki
Mume: Hivi we mwanamke unalalamika nini, kwani watoto wetu siwatunzi? siwalipii ada? hawali wakashiba? *huku ananimistreat mimi kama mkewe, hanijali na kunichukulia kuwa ninatakiwa kuridhika na kutulia kwa kuwa anawajali watoto wetu. )= Hapa sitakuwa na sababu ya kujihisi/ona neglected kweli???

ambayo ni tofauti na yule anayewapenda na kuwajali watoto wetu BUT na mke anampenda na kumrespect na kumthamini kama mke, mwenzi na rafiki katika kuwalea hao watoto.
 
...am out....!
 
...lol...mwj1 katika watu ambao sikutarajia watakwazika na 'ufunuo' huu mmojawapo ni wewe....

anyway....mimi nitatoa mifano miwili...kwani nimejaaliwa watoto, sio mtoto.
kwanza,
kati ya watoto wawili,...mmoja wapo anakuwa na mapenzi zaidi kwa mama, mwingine kwa baba
and vice versa...siwezi chukulia hilo eti ni dhambi,...mapenzi ni 'empathy!'

mfano wa pili,....
ex-wife wangu...nilimpenda sana mpaka pale tulipokuja achana, baada ya hapo nikatambua maana ya mapenzi.
hivi leo hii nikwambie mwanajamiione pamoja na kukupenda sana, lakini nampenda zaidi mama wa watoto wangu
utanielewa kweli?----lazima utaniuliza kwanini nipo na wewe! lakini mwanangu/wanangu hata waoe au kuolewa haini affect chochote!

upendo/mapenzi ninayoyazungumzia mimi mbu ni kwamba niameathirika zaidi na matokeo ya ndoa, kiasi cha kuyatafsiri
mapenzi kwa upande wa pili, kama msiba. HUWEZI HADITHIA MACHUNGU YA MSIBA KAMA HAUJAKUFIKA!
kwa wale wenzangu ambao wameachana na waume/wake zao naamini tutakuwa tunaelewana kidogo, ama?

hilo nalo neno,mmeachana and stll in love? Acha kuchakachua thread ya Aspirin!
 
Mbu hebu tuache hii thread tafadhali.

Ninachokiweka hapa ni hiki
Mume: Hivi we mwanamke unalalamika nini, kwani watoto wetu siwatunzi? siwalipii ada? hawali wakashiba? *huku ananimistreat mimi kama mkewe, hanijali na kunichukulia kuwa ninatakiwa kuridhika na kutulia kwa kuwa anawajali watoto wetu. )= Hapa sitakuwa na sababu ya kujihisi/ona neglected kweli???

ambayo ni tofauti na yule anayewapenda na kuwajali watoto wetu BUT na mke anampenda na kumrespect na kumthamini kama mke, mwenzi na rafiki katika kuwalea hao watoto.
aiseeeeeee
 
Wanajumuiya.... Again

hii thread inaonyesha jinsi watu tunavyopenda lakini haishii hapo............ Pia inayonesha watu wanavyo chukulia mapenzi kati ya partner na kids na haishii hapo some people wanadhani kuna right way ya kupenda mama/baba au mtoto

kila anayependa apendavyo ana sababu na experience zake............ Love principles can never be one size fits all
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom