Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,097
- 136,698
kwa hiyo wamama ndio wenye 'uncondional love' kwa watoto?
je na wamama wanaofukuza watoto 'wakiharibikiwa' ??
Ongeza na kutoa mimba na kutupa watoto majalalani.

Boss umeshawahi kusikia mama amefukuza mtoto wake???
Mimi nawajua walofukuzwa eti kisa wamepata mimba na mfukuzaji ni baba na kamwe si mama.
Hapo NN umechanganya mada kwani mimi kama NK sitakaa nijue akili za wanaofanya hayo zikoje; inahitaji kuwahoji. Na nadhani wanafanya hayo lakini wanaishi maisha ya majuto milele kama kweli wana roho ya mwanamke.
Hivi Mapendo na Mapenzi ni kitu kimoja?
In other words umeshawahi kusikia mara ngapi mama amewapa watoto wake sumu wa umri say wa two years kwa ugumu wa masiah au ili apate bwana aolewe. Ni very rare na in most cases those mothers are mentally hill.
dah NN na hili tunalitafutia justification si unconditional love .................
Aksante Mzee DC.Hapana
NN nisamehe sijui najaribu kuelewa au naharibu ............umeshawahi sikia/ona mama amechinja watoto amewaweka makovu au hata ana anamsaidia binti yake kumtafutia mabwana kwa ajili ya kutengeneza pato la familia.
Mbona unam-address Nyumba Kubwa kama NN?
Tafadhali usije ukaanzisha speculations zingine kuwa NN ndo Nyumba Kubwa maana kuna watu walio gullible na credulous kupita maelezo humu. Ya mimi kuwa ndo AshaDii imetosha.
Kuna wamama ambao hawaco normal ni insane. Na kumuuza mtoto kwa mabwana hiyo ni reasoning ya huyo mama; yeye haoni kuwa ni bad thing for her child but it does not mean kuwa hampendi.
Mbona unam-address Nyumba Kubwa kama NN?
Tafadhali usije ukaanzisha speculations zingine kuwa NN ndo Nyumba Kubwa maana kuna watu walio gullible na credulous kupita maelezo humu. Ya mimi kuwa ndo AshaDii imetosha.
nafahamu ni msemo tu
but huoni unatumika vibaya???
eti mapenzi kwa watoto wangu ni 'unconditional' while actually hakuna kitu kama hiko...
this is funny lol..........