Mdahalo: Kids Vs Spouses

babu yangu Asprin nnaona mambo yako kabla uzee haujakuingia ulikuwa unaongea mipwenti ni balaa.

naomba tu nikwambie kwa maoni yako na msimamo wako humu nikwambie tu ukweli mi love you mingi ghafla na nina imani bibi hajutii kamwe kukuchagua uwe wake wa maisha,na ninaomba kila siku Mungu anipe husband wa type yako,napenda watoto wangu wapendwe sana na baba yao but i cant take it knowing that hommie anapenda wanae kuliko mimi niliyemletea hao waoto,love you mingi babu na huo ndo msimamo unaotakiwa.

mke utakuwa naye sikuzote lakini watoto watakuja kuwa na spouses zao na watawapenda wenzi wao kuliko watakavyokupenda kukufikiria na kukujali wewe at that time wao pia wana ma hommie wao,lakini wifey atakuwa na wewe hadi anapokata pumzi ya mwisho she'll always be there for you,na huwezi kudemand too much love and care kuotoka kwa watoto wako ambao wakati huo nao pia wana watu wa kuwafikiria maishani mwao.
huo ni mtazamo na maoni yangu.

babu Dark City The Finest i love your stand hongereni kwa hilo.

That was MMU and JF at their best......

Labda tukubali msimamo wa The Boss kuwa tusilie sana.... we had a great party then!

Sasa hivi hata mzee mwenzangu Asprin anasomeka kwa shida....

Ila naamini ni mapito tu,.....tutavuka salama na kuwavusha wajukuu!!
 
That was MMU and JF at their best......

Labda tukubali msimamo wa The Boss kuwa tulisie sana.... we had a great party then!

Sasa hivi hata mzee mwenzangu Asprin anasomeka kwa shida....

Ila naamini ni mapito tu,.....tutavuka salama na kuwavusha wajukuu!!

Mzee mwenzangu sijui nini kifanyike tuwarejeshe wale jamaa zetu.

Niliona kampeni yako kipindi flani. Wakarejea kwa muda then wakasepa tena.

Tuyaombee haya mapito yapite kwa kasi
 
Mzee mwenzangu sijui nini kifanyike tuwarejeshe wale jamaa zetu.

Niliona kampeni yako kipindi flani. Wakarejea kwa muda then wakasepa tena.

Tuyaombee haya mapito yapite kwa kasi

Kweli mzee mwenzangu, labda baada ya 2015 tutapata ufunuo mpya....
 
let me give you 100 marks

Wife/Spouses come first for the most issues because the health of marriage is what keeps the family together. If you keep kids above the wife/spouse all the time you are more likely to loose the wife/spouse to someone who puts him/her first. Then everybody gets a raw deal. The kids run close second and their needs are considered in our decisions
 
haaaaaaaahaaaaaaaaahaaaaaaaaa babu jamani hapo kwenye red umenizodoa mwenzio ila umenichekeshaje,babu uko juuuuu,miss you mingi my babuto.
I love you too.

Afu unikome... aliyesema siku hizi siongei mapwenti kama madini ni nani?
 
yes babu naziona enzi zile when jf was really something lakini sa hizi ni shida dumuzi wameingia kwa kasi humu ndani,ila kama tu ulivyosema babu Dark City labda tu ni mapito ambayo yatapita na kutoweka na jf kuwa kama ya enzi zenu and i really hope so babu i miss the old JF nahisi mlikuwa mnaenjoy more than sana.
That was MMU and JF at their best......

Labda tukubali msimamo wa The Boss kuwa tulisie sana.... we had a great party then!

Sasa hivi hata mzee mwenzangu Asprin anasomeka kwa shida....

Ila naamini ni mapito tu,.....tutavuka salama na kuwavusha wajukuu!!
 
Last edited by a moderator:
haaaaaaaahaaaaaaaaahaaaaaaaaa babu jamani hapo kwenye red umenizodoa mwenzio ila umenichekeshaje,babu uko juuuuu,miss you mingi my babuto.
Miss you too grandito.... Yani mpaka mapigo ya moyo yanaenda kasi kama ya Mugabe.
 
Back
Top Bottom