klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Hivi nyie wadau wa MMU mkoje???? Under S.T.P na kwa manamume (to the best of knowledge and experience since 1947), hiyo No2 haiwezi kuwepo kama no1 haipo...Ndo maana ukimpenda mama kweli kweli lazima upende na watoto wake... Na hapa naongelea wao ambao wako kwenye ndoa ambayo bado walau iko imara kidogo! Ikianza ku-shake mambo yanaweza kuwa tofauti!
Ndo maana nawaelewa wanawake kuwekeza kila coin kwa watoto wao. Pia hiyo inaeleza vizuri tu kwa nini ukitaka kum-win mwanamke ni rahisi kupitia kwa watoto wake......Kama haya hayaelewiki basi tena!
Mstaafu , its not as easy as you think, kina mama wameumbwa na kawivu flani ukisoma saikolojia yao, wivu wao ukiwa triggered kidogo tu basi eruption yake ni balaa! Nimeshuhudia kesi moja ambayo mwanamke ameshtaki kwamba since wamezaa basi mume wake amebase zaidi kwa watoto, na mume alipoitwa alikubali hilo kosa ila akasema alifikiria kwamba mke wake atafurahia hilo zaidi but he was wrong, sasa jibaba akawa na kazi ya kuitafuta equation balanced.
haya mambo yapo.