Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Mkuu,
Walishirikiana. Soma hii thread https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/91376-chadema-walikuwa-ccm-b-kabla-ya-cuf.html

CHADEMA walitoa Meya CCM wakatoa Naibu, then CCM wakatoa Meya na Chadema wakatoa Naibu.

Hapa palikuwa na sababu ya msingi,ni kwamba walikuwa na idadi sawa za madiwani hivyo isingewezekana kumpata mshindi wa umeya au naibu kwani kura zilifungamana hivyo wakatumia busara cdm wanaongoza miezi sita then miezi sita mingine ccm .Hapakuwa na njia nyingine hapo.
 
Kweli HR amegusia hela anazopata kiongozi wa upinzani mil.100 eti zianze kufuatiliwa ni baada tu ya yeye kuukosa uongozi, hizi ni taama mbaya sana.
 
CCM ni manguruwe tena manguruwe pori yanakula mpaka matofali
 
Kama HOUR anasema tuna nchi mbili amekuja kutafuta nini huku, kwanza ilitakiwa awepo mwenyekiti prof na sio yeye
kwani ulikuwa mdahalo wa mwenyeviti wa chadema na CUF
 
Hapa palikuwa na sababu ya msingi,ni kwamba walikuwa na idadi sawa za madiwani hivyo isingewezekana kumpata mshindi wa umeya au naibu kwani kura zilifungamana hivyo wakatumia busara cdm wanaongoza miezi sita then miezi sita mingine ccm .Hapakuwa na njia nyingine hapo.

Kama umeona sababu ya msingi hapo, unashindwa vipi kuona umuhimu wa kutumia muafaka kumaliza mvutano uliopo Zanzibar?
Ila cha msingi zaidi ni kujifunza kuwa kushirikiana na CCM hakukifanyi chama kuwa CCM-B, kama jinsi propaganda za Chadema zinavyotaka kukichafua CUF.
 
Hata kama kasema hayo maneno inaelekea ni msemo tu kufikisha ujumbe mwingine. Tuone CCM wenyewe watachukuliaje.
 
Kifupi nguruwe katumika kama picha. Kuna lugha ya picha.kwa hiyo hakuna shida kabisa.as far as wataka mabadiliko wote tunona CCM ni kama Nguruwe. Labda ungesema hoja sio CCM kufananishwa na nguruwe hoja ni katika mazingira aliyokulia na anayoishi Mb HR kuna nguruwe??!!!! maana mifano na refence mtu anazotoa mara nyingi zina uhusuino na mazingra yake.

Mfano mwingine ni Mbunge fulani ni "kinyonga". Hapo utaelewaje? kama ulisoma Fasihi utaelewa kuwa mbunge fulani haeleweki au anabadilika badilika.

Kwa hiyo HR kusema CCM ni nguruwe kifasihi ana maanisha wana kula kila kutu hawasazi. Au tuseme kama ni mkulima basi anakula mpaka mbegu.

ila na wewe katika yote uliyossikia hiyo ndiyo ilikuwa hoja nzito kwako.?
 
lakini sasa tunashanga cuf wanakula pamoja na nguruwe akhery wangemuacha nguruwe atafune shaamba mwenyewe kuliko walivyoamua kujiunga nanguruwe maana nguruwe akimaliza mavuno hata wala na wao pia
 
Wadau mliopo nyumbani hebu mtujuze nini kinaendelea; nimeikamata hii kwenye Facebook wall ya IISMAIL JUSSA (Mbunge wa CUF) akidhihaki mahojiano ya kwenye ITV ambapo Mbowe na Rashid wanahojiwa "live"
Kwani kulikoni?
Nawasilisha

Ismail Jussa: "Geoffrey, ukiwa shabiki wa Chadema una haki ya kuwa na mtazamo wako ulio tofauti na wangu. Kwa wewe Chadema kuniita mimi CUF muongo wala hainipi shida. Yeyote aliye mkweli kwa nafsi yake anaona jinsi Mbowe alivyo mtupu! After all, ungetegemea nini kutoka kwa professional DJ?"
kwa mtizamo huu wa CUF wanawezeje kudai wanataka kuungana na Chadema kuunga kambi ya upinzani? wabaki hukohuko zenji they're so hopeless!
 
Wadau mliopo nyumbani hebu mtujuze nini kinaendelea; nimeikamata hii kwenye Facebook wall ya IISMAIL JUSSA (Mbunge wa CUF) akidhihaki mahojiano ya kwenye ITV ambapo Mbowe na Rashid wanahojiwa "live"
Kwani kulikoni?
Nawasilisha

Ismail Jussa: "Geoffrey, ukiwa shabiki wa Chadema una haki ya kuwa na mtazamo wako ulio tofauti na wangu. Kwa wewe Chadema kuniita mimi CUF muongo wala hainipi shida. Yeyote aliye mkweli kwa nafsi yake anaona jinsi Mbowe alivyo mtupu! After all, ungetegemea nini kutoka kwa professional DJ?"
kwa mtizamo huu wa CUF wanawezeje kudai wanataka kuungana na Chadema kuunda kambi ya upinzani? wabaki hukohuko zenji they're so hopeless!
 
HR na CUF kwa ujumla ni wahuni wa kisiasa, kwa nini wanalazimisha kuungana na Chadema? Kwa nini anaongelea swala la 100mil sasa hivi mbona yeye alipokuwa kiongozi halikujadiliwa?
 
Hivi Kikwete anafuatilia huu mdahalo?

Anaangalia movie za kibongo huko African Magic, si alisema jamani?? AU KAMA SIVYO basi atakua yuko kwenye party yoyote ile hata kama ni birthday!! aaahh nimekumbuka, leo ni jumamosi, kwa watu wa pwani leo ndo siku ya NGOMA yaani full shangwe hadi majogoo
 
Back
Top Bottom