Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Hapana. Umeninukuu vibaya, umenichafulia jina naenda kudai fidia ya bilion moja!!! hahaaaa nipate ada za watoto


samahani mkuu,
Hiyo billion hata nikiuza nanihii yangu siwezi kuipata. hahahahahahaha... JF bwana!
 
Hamad: Mbowe aunde kambi ya upinzani yenye kuwahusisha wapinzani wote.


Chadema wakiungana na vyama vingine vya upinzani kuunda kambi ya upinzani rasmi bungeni watakuwa wamefanya political suicide. Waachane nao kama wanaweza hao wapinzani wengine waunde kambi ya upinzani isiyo rasmi, Uk ilisha tokea Labour- watawala, Conservative - upinzani rasmi, Liberal- upinzani usio rasmi hali hii ndo tuliyo nayo sasa kwenye bunge la JMT. Ninacho washauri waendelee mbele kwa mbele wakisimamia maslahi ya walala hoi na wakitumia nguvu ya umma. Kwani hawakuona kuna wagombea walikuwa wanazomewa mbele ya rais. Nguvu ya umma ndio jibu pekee katika hili.
 
Hamad nenda na upemba wako,tanganyika itakombolewa na watanganyika sio waunguja wala wapemba.
 
Swali: Je, Chadema itaendeleza azimio lake la kupunguza mishahara na marupurupu ya wabunge.

Jib(Mbowe): Hatutafanya hivyo kwa sababu hatujashinda urais.

Hini jamani hii si sanaa ya wazi kabisa. Kiongozi anayetaka kuongoza harakati za mabadiliko ya katiba anakubali defeat kwenye swala jepesi kama kupunguza mshahara wake mwenyewe.
Hapa Mbowe amedhihirisha kuwa yuko kimaslahi zaidi. Na tabia hii ndio iliwafanya watu fulani waseme "wapinzani gazeti la SANI".

Jamani tuwe serious kama kweli tunajali maslahi ya taifa!


I have never seen such a fool throughout my life time. May be you are the best of all fools i have ever seen.

Hivi kweli unadhani Mbowe anamamlaka kama yeye kupunguza mishahara. Hebu acha masihara hapa kwenye watu na akili zao. Pelekeni maujinga yenu ya mivyama na upuuzi pembeni. You cant be serious
 
Mpwa Ze marcopolo, sorry kama nitakosea kwa wengine, but to be honest, sijaona jipya, niliutamani sana mdahalo huu na mm nina mapenzi ya kweli kwa upinzani but sikuona wakiongea kuhusu kesho ya nchi yetu, swala la katiba mmmmhh, swala la mikataba mibovu na ukubwa wa baraza wao kama wapinzani hawajasema lolote, sijui labda walisema kwa lg ya ishara but to me, hayo ndo maswala yanayobeba mustakabali wa taifa, yaani wamejibu jujuuu sana, haya MWANZO mgumu
 
KWELI HR kinachomsumbua ni uongozi,yaani hata ukimwangalia anatamani kuwa kiongozi lakini wapi?, alizani JK atamkumbuka ktk baraza la mawaziri lakini wapi?
 
Dr. Slaa katika Bunge lililopita alijaribu kuzungumzia suala la kupunguza mishahara ya Wabunge, wote tunajua yaliyompata alizomewa kila alipoingia Bungeni na wabunge wa ccm au mmesahau! Poleni mnaoipenda ccm
 
Mdahalo it seems ulikuwa ni mzuri lakini waliripoti hapa walikuwa sio wazuri hivyo ilikuwa ni kama taarabu tu tulzikuwa tukipata hapa. Watanzania tutaendelea kukataa lakini itafika wakati itabidi tukubali huu muungano uende tu. Faida ni chache kuliko hasara zake.

CUF wakubali kuwa wao si chama cha upinzani, hawawezi kuwa ni chama cha upinzani wakati wameunda serikali upande mmoja wa Tanzania, hii ni ngumu sana. Sasa wataikosoa vipi serikali ya Muungano wakati mwenyekiti wa SMZ ni part yake.

Ni siasa za kitoto mnoo.

Swali kwa CUF hivi mwaka 2015 watagombea tena?
 
samahani mkuu,
Hiyo billion hata nikiuza nanihii yangu siwezi kuipata. hahahahahahaha... JF bwana!
Kuna jamaaa sijui anaitwa nani vile jina lake kama Mahi...o yeye aliamua kumkodisha mkewe ka jamaa flani ivi, basi naskia jamaa alivyoona bidhaa inanoga si ndo akaamua kununua jumla?? mmmhh paliwaka moto hapo, sasa na weww mpwa angalia! ila usinisemee nisije pata BAN
 
Hamad Rashid ni kibaraka wa ccm. CUF na CCM ni ndugu.
 
Wakuu,
Kwa wale waliotazama au kuhudhuria mdahalo wa Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Hamadi Rashid sijui kama mtakubaliana nami. Binafsi nimemwona Mhe. Hamadi kama ana hasira ya waziwazi ya kuukosa uongozi wa kambi ya upinzani bungeni. Mnasemaje wakuu??

Zaidi ana hasira ya kukosa Million 100 za kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni. Mbona tutajua mengi this time, kumbe alikuwa anapewa millini 100. Je nyumba na gari alikuwa hapi? anaye jua atusaidie.
 
Akijibu swali la katiba mpya kama chama chake cha CUF kitashiriki uchaguzi wa 2015 iwapo CCM hawatakubali kubadili katiba, Rashid Hamad amesema wao kama CUF hawatasusia kwa vile ni sawa na kumwchia nguruwe (CCM) shamba zima ale peke yake.

Jamani hii imekaaje.

Naam, mwenye kujua neno lingine alotumia Baba wa taifa kwa watu hawa ni 'manyang'au'.

Manyang'au na manguruwe hayana huruma na maslahi ya 'mtu yeyote' iwe kitaifa na kichama.
Ndio maana tunasema, kuacha nchi mikononi mwa nguruwe tutavuna makapi. Katiba mpya na tume mpya ya uchaguzi kabla ya 2015 haikwepeki.
 
Hivi MALARIA sugu HAKUANGALIA kweli huu mdahalo? lazima atakua upande wa CUF, AAAHH nimekumbuka atakua amelala mapema kutokana na uchovu wa jana ambao ulisababishwa na kukesha akituma post za kulalamika kua Mods wana muonea!!! maskini wee, nakumbuka nilishtuka saa tisa na kucheki JF kinachoendelea nikakuta mshkaji bado yupo online!!!! pole
 
Mpwa Ze marcopolo, sorry kama nitakosea kwa wengine, but to be honest, sijaona jipya, niliutamani sana mdahalo huu na mm nina mapenzi ya kweli kwa upinzani but sikuona wakiongea kuhusu kesho ya nchi yetu, swala la katiba mmmmhh, swala la mikataba mibovu na ukubwa wa baraza wao kama wapinzani hawajasema lolote, sijui labda walisema kwa lg ya ishara but to me, hayo ndo maswala yanayobeba mustakabali wa taifa, yaani wamejibu jujuuu sana, haya MWANZO mgumu

Wewe hukuona kuwa wanajibu kutokana na maswali waliyo ulizwa au wangetakiwa wajiulize na kujijibu wenyewe.
 
Hao KAFU sasa wanaonesha uhalisia wao, walijificha ndani ya ngozi ya Kondoo kwa muda mrefu sasa wametoka tuwapuuze tu. Wao walikataa kuitambua serikali ya Salmin Amour kwa miaka 5 na ya Karume kwa miaka 8. Iweje leo waone kuwa CHADEMA wanafanya dhambi kubwa, Kuungana kwao na sisiemu sasa wamebadili imani na wao wamekuwa na akili ya kisisiemu. Kwa kuwa CDM wanayo haki ya kisheria kuunda kambi ya Upinzani waeendelee na milango iwe wazi kwa wengine NCCR, TLP na UDP
 
Kiongozi wa upinzani bungeni anapata ofisi, watumishi watatu wa ofisi. Gari la serikali full tank daily na dereva, nyumba full furnished, mtumishi wa ndani, mlinzi, maji bure, umeme bure na marupurupu ya milioni 100. Hata ungekuwa wewe lazima ungemaindi.
 
Ina maana sasa CUF nao ni nguruwe kwa sababu huko zanzibar kwa sasa wanakula pamoja na nguruwe mwenzao CCM.
WAZANZIBAR WANATAKA NCHI YAO AMBAYO WATANGANYIKA KWA JINA LA YESU WALIWAUA NA KUWAONEA MPAKA HII LEO.

KWA HIYO JAPO BARA KUPELEKA ZNZ JESHI NA KUFANYA MAPINDUZI ZANZIBAR KILA UCHAGUZI BADO WANZANIABAR WATAJARIBU KUDAI NCHI YAO KWA AMANI.

KAMA CCM SAWA NA NGURUWE BASI SIO AJAMBO KWANI CCM WA ZNZ NDIO NGURUWE WACHAFU ZAIDI KWA KUSHABIKIA MAPINDUZI YA WABARA AMBAYO HAWAKUFANYA WAO NA KUIHARIBU HISTORIA YA KWELI WAKATI UKWELI UPO WAZI.

YouTube - ‫ MAPINDUZI YALIFANYWA NA WATANGANYIKA SIO WANZANZIBAR

YouTube - ‫ KARUME SIO MZANZIBAR WALA HANA BABA WALA MAMA MUUNGANO WA KULAZIMISHWA.
WAZANZIBAR HAWATAKI MUUNGANO WALE NGURUWE WACHACHE KULE ZANZIBAR NDIO WANAOLIPWA NA CCM NA KULINDWA NA JESHI NA POLISI ILI KUIMALIZA ZANZIBAR.
LAKINI BADO WABARA NGURUWE WACHAFU KUTOKA MIKOANI WANAIJAZA ZANZIBAR NA KUITIA UCHAFU NA ZANZIBAR NDOGO LAKINI NGURUWE HUJAZWA NA CCM BALA BILA KUZINGATIA UDOGO WA ZNZ ILI KUITIA NAJISI
 
Back
Top Bottom