Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Kwa kukubali kununuliwa na CCM ni sawa na kunywa zile damu za wana CUF waliouawa na askari wa CCM. Askari walio ongoza mauaji yale kule pemba walizawadiwa vyeo na amiri jeshi mkuu wakati huo Dikteta Benjamin Mkapa, na HR naye akazawadiwa ubunge, aibu kweli kweli.SHAME ON YOU HAMAD RASHID

Kweli, ni msaliti mkubwa kwa CUF ingawa CUF wenyewe wanajidai hawalioni hilo! Nakumbuka wakati anateuliwa kulikuwapo mjadala kwamba akubali au asikubali na wengi walifikiri asingekubali. Akawaliza kusikia huyooooo.. kaapishwa na Msekwa!

Sasa hawa CUF wanataka Chadema nao wakubali kutundikwa kwenye ndoano huku wakichekelea!! Hell no! Kila enzi ina misahafu yake. Chadema lazima waendeshe upinzani wa kweli!!!!

Kwa Zenj -- labda yes. Huku Bara -- Big NOOOO!!!!
 
Watu wataujua ukkweli na usaliti wao utawatokea puani. CHADEMA Anzeni operation Sangara mapema. mwaka 2015 mnamajimbo Pemba. CUF wamejisahau wamelelewa na ndoa ya mkeka na ccm.
 
Hapo kwenye red kaka! Tambua republic union na union za kawaida zinakuwa tofauti!Usipotambua Tanzania ina maana hutambui muungano ambao ulizaa Taifa moja la Tanzania. kumbuka Tanzania does not represent only Tanganyika or Zanzibar.

Mbona hujahoji United States of America wanavyoishi na unakimbilia Europe??

Mkuu
Hapa itatupasa kwanza tuache jazba na ushabiki na tufungue darasa la historia na political science. sifikirii kama tuna muda huo.
Lakini tuchukuwe mfano huo unaoutaka wewe wa US. nakuomba uniambie katika US kuna serikali ngapi? na kuna states ngapi zilizoungana?

halafu tuje kwa "United states" of Tanganyika and Zanzibar (Tan-zan-ia). Tuna states ngapi na serikali ngapi?
US wana federal government na kila state ina state government yake.Haya niambie mkuu State governments za Tanzania ni zipi? na federal government iko wapi?

Ndiyo pale niliposema mwalimu Nyerere kwa ufundi wake au kwa sababu anazozijuwa yeye alilikoroga hili. Sasa ametuachia sisi malumbano, kupigizana kelele na kutiana vidole machoni. Hakuna anetoa hoja ya maana, hakuna anaetaka kufahamu. Kila mtu bora aseme tu!

Nakumbuka Mwalimu alitoa sababu ya kukataa serikali tatu ilikuwa ni kukimbia gaharama za uendeshaji wa serikali hizo.

Mimi nafikiri muundo wa serikali tatu ungetusaidia sana kwa sababu utalinda haki na wajibu wa Tanganyika kwa upande mmoja pia utalinda haki na wajibu wa zanzibar kwa upande mwengine. kutakuwa na mipaka ya mambo na madaraka baina ya serikali hizo. kama ilivyo huko US ambako wewe unapendelea Tanzania yetu ichukuwe sura hiyo.

Kwa kuchangia zaidi ili uvute fikra vizuri ,nakurudisha hapa East Afrika. Tuliunda au tuliundiwa East african community.Tuliivunja na sasa tumeifufua tena na tunategemea tuwe na East african Union baadae. Jee tutazifuta nchi zetu, tutazi-flush down the toilet serikali zetu na taifa zetu na tuwe na serikali moja tu au tutaiga model ya The European Union?
Historia ya Muungano wa Tanzania inaonesha hatukudhamiria kabisa kufuta nchi zilizounda muungano huo. Leo Tanganyika iko wapi? Tuliamua kuchakachuwa jina sasa tumejikuta hapa tulipo. Tunazidi kulikoroka.
Leo tunasema kuwa kuna Tanzania BARA na Tanzania VISIWANI.

Tuombe, Muungano huu wa Tanganyika na Zanzibar katika muundo tulionao uingizwe katika maajabu ya dunia. Sisi wenyewe tunashindwa kuuelewa!!

Haya mkuu, do your home work! Nyerere na Warioba wake walituingiza mkenge!!wametuuzia mbuzi ndani ya gunia.. au vipi?
 
Hivi haya maridhiano ya CUF na CCM yamebase kwenye misingi gani?? Hivi ikitokea mmoja wao akashinda kwa 95 % je serikali ya mseto bado ni lazima. Au ikitokea chama kingine cha upinzani kikaibuka na nguvu zaid ya CUF je hiyo serikali ya mseto itaundwa na nani??

Kulingana na maelezo ya Hamad Rashid alipokuwa katika ya mdahalo na Mbowe aliulizwa suali hili na mdau. Jawabu aliyotowa pale ilikuwa ni kuwa chama kitakachopata something like 5 percent ya kura katika uchaguzi wa zanzibar kitajumuishwa katika uundaji wa GNU.
Nategemea kuwa lazima hiyo sheria iliyopitishwa ,inayotoa uwezo wa kuundwa kwa GNU lazima itakuwa imeweka frame work ya uwakilishi wa vyama katika kuunda GNU.

Ukweli inaoneka CCM walishikwa pabaya ndiyo maana walikubali ije GNU. Walitaka kutumia mchezo mchafu wa kura ya maoni kukwamisha muafaka na CUF. Hawakufanikiwa kwa hili.

Mimi nafikiri CCM ( si munakumbuka wazo la kura ya maoni liliibuliwa na kikao cha CCM musoma?)sasa bila ya kutambua hilo wameweka mlango wazi wa kuwa na Katiba Mpya. Kinachotakikana ni sustanable pressure increase kutoka kwa Vyama vya upinzani, Taasisi za dini, asasi za kiraia na umma wa Tanzania kwa CCM na serikali zake waitishe kura ya maoni within 1 year ya kuwauliza watanzania kama wanataka Katiba Mpya. lakini tume ya Jaji Lewis Makame haipaswi kusimamia kura hii.
Kwa wananchi walivyo na usongo wa mageuzi uwezekano wa kuwa na katiba mpya with 2-3years kama tuko serious kweli upo.

Haya wananchi tudai katiba mpya.Tuna wasomi wengi wajitokeze kuwaelimisha watanzania umuhimu wa katiba mpya kwa Tanzania ya Leo kuanzia leo.. Wenyewe wanasubiri mpaka karibu na uchaguzi wanakuja na kura za maoni zisizo kichwa wala miguu wanatuambia CCM watashinda kwa kishindo, Tsunami!! Kweli kusoma si kuelimika!!

Tulifanyie kazi.
 
Binafsi nilikuwa simjua vizuri Mh. Hamad Rashid zaidi ya kumsikia juu juu tu kwenye vyombo vya habari. Lakini baada ya kuangalia mdahalo wa ITV kati yake na M. Mbowe nimegundua kuwa Mh Hamad Rashid ni mtu:-

1. Anapenda kutoa sentensi za vitisho. (ana u-dikteta).

Hapo nahisi au siku ile alikuwa hajuia/hana uhakika na anachoongea alitaka tukubaliane naye tu, au alikuwa anapindisha ukweli kwa maslahi binafsi, au hizo sentensi zinatokana na shinikizo flani alilopewa. mfano alirudia rudia "let be seriouse on this"

2. Haijui vizuri katiba ya JMT na kanuni za bunge

Alikaa bungeni zaid ya miaka 15 na alishashika madaraka mbali mbali serikalini. lakini haijui vizuri katiba ya nnchi na kanuni za bunge, kiasi cha kushindwa kujua kutoka bungeni kwa wabunge wa CHADEMA sio kuvunja katiba wala kanuni yoyote ya bunge.

3. Anapenda madaraka.

Yupo tayari kufanya lolote apate madaraka mfano, walifanya malidhiano serikali ya Mh. Mkapa (bila kuwashirikisha wananchi)akateuliwa mbunge, kwa malidhiano hayao hayo w wanataka kuingiza kwenye katiba ya muungano cheo cha Makamu wa Rais wa ZNZ atambuliwe kikatiba (bila kushirikisha wananchi) na Sasa zaid, anataka kuingiza kwenye kanuni za bunge atambulike kama kiongozi wa upinzani mdogo bungeni (Ili aendelee kupata mil 100 na malupulupu mengine).

4. Ana element flani za udini.
Mara ninyi alikuwa akitumia mifano ya udini kujengea hoja. mfano ule wa ndesa, aliungiza hata palipokuwa hapastahili ili tu afikishe ujumbe.

5. Anamchukia Mh. Mbowe kama Mbowe kuliko CHADEMA na upinzani
Sijui kwa sababu amechukua kiti chake au la!
kwa maana, Alioneka mara nyingi akitoa mifano ya kushirikiano na Dr. Slaa ,Ndesa n.k hii ina maana ya kujisafisha juu kutokuwa na mahusiano mazuri na CHADEMA.

6. Anajivunia uzanzibar kuliko utanzania. (ni mmbaguzi)

Kauli zake zinadhihilisha kilcho moyoni mwake.

7. Mpenda sifa za kijinga

Mfano, alisifia mara nyingi kufa kwa watu 45 kwenye kudai katiba ambayo sasa wamengia tkt serikali ya mseto bila kushikisha mwazo ya wananchi hao hao waliomwaga damu, badala yake waliwashirikisha kupiga kura ya serikali ya maseto tu. Hamna hata hatua za kushinikza waliomwaga damu zao wachukuliwe zilizochukuliwa, sijui ndo inawasaidia nini wahenga wao waliadhilika na umwagaji damu, au usaliti!

8. Ana ubinafsi (Anajijali yeye kuliko chama chake/watu wake).

Alikuwa akijisifia yeye kama yeye zaidi ya chama chake na watu wake.

9. Ni kigeu geu / Hana msimamo

Amekuwa akitoa kauli zinazopingana. Kwanza alishasema kwamba Mh.Mbowe hakumualika kuunda kambi ya upinzani, the akasema aliambiwa akakataa kutoka na tofauti za kimisimamo. Hata alipoulizwa aseme ipi ni kauli sahihi aliruka kwa ukali ule ule kwamba "mimi nipo very seriose na kauli zangu". Sijui swali hakuliewa ? alitumia ukali kuficha udhaifu au ndo udikteta?

10. Ana dalili za kifisadi.

Msimamo wake unaonyesha kuegemea upande wenye mslahi binafsi zaidi kuliko maslahi ya Taifa

Kama UJINGA ni mbio za Marathon, basi wewe ni Juma Ikangaa!
 
I see PUMBA only. kwani lazima uandike humu.
 
Hizi siasa zetu jamani! badala upinzani uwe kitu kimoja kupambana na chama tawala kunufaisha maslahi ya wananchi, wanapambana wenyewe kwa wenyewe!Nashindwa ku-imagine jinsi gani baba January anachekelea hili!

Hiyo sio maana ya upinzani, upinzani maana yake unatoa hoja yenye kuleta manufaa na maendeleo ya wananchi kwa ujumla....hivi wapinzani wakipambana na chama tawala nani atasaidia kuleta maendeleo? Wengi wetu wanadhani chuki husaidia kuleta maendeleo. Nashindwa kuelewa kwanini watu wengi wanashabikia siasa zenye chuki na hasama il hali wenyewe wakikutana wanagonga tano? Msidanganyike amkeni....
 
Hamad Rashid alisema Mbowe acha kuchezea mwanasiasa mkongwe...... nilijiuliza sana nikajuta kuangalia mdahalo ule lakini nikajipa moyo kuwa nisipo angalia mpaka mwisho sitaelewa upinzani umekaaje nanani tumtegemee kwaajili ya ukombozi wataifa hili ambalo limetawaliwa nakunyang'anywa keki yote ya uhuru nakikundi kidogo ambacho watuwake hawafiki hata milioni moja.Mbowe maana yake CDM Hamad maanayake CUF wote hawa wamezaliwa mwaka 1992 nawakaingia rasmi katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mwaka 1995 sasa nani mkongwe kuliko mwenzie hapa....Play a devil advocate,kumbe HR alisimama na kofia mbili kwenye mdahalo ule yaani CCM na CUF maana CCM ndio mkongwe pekee kati yao.

Nika msikia tena HR akisema kama kuna kanuni inayo ruhusu kutimua basi watimuliwe akimaanisha wabunge wa CDM watimuliwe bungeni nilitikisa kichwa nusu shingo inyofoke maana sikuamini kabisa kama HR anamaanisha watanzania wenzetu waliochagua wabunge wa CDM wakose uwakilishi bungeni........ idiot,hapo nikaona kumbe yeye ni nguruwe sio mtu mwingine kama alivyo sema yeye.Hivi HR mmeenda bungeni kufanyanini? na ninani alio wapeleka huko ?

Sasa hao wengine walio kubali kuungana na CUF kuunda kambi ndogo ya upinzani kuwakilisha minority kwa maelezo ya HR wana wakilisha kitugani na kwa mslahi yanani au ndio kutafuta posho? CDM wata fanya kazi na vyama vya namnahii? hakika CDM credibility Tuliyo nayo haiwezi kupotea kirahisi namna hii eti kuungana na nguruwe ili kambi ya upinzani iwe na nguvu.Sipati picha ninguvu gani tunayo zungumzia baada ya kuungana na nguruwe......

CDM mkijaribu hata kufikiria kuungana na chama kingine cha upinzani bungeni that will be surrender and not compliance, please CDM concentrate on co. issues, you are the only strong and trusted opp party pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Dogo tafuta CV ya HR na ya Mbowe kwenye tansia ya siasa ndio utajua nani mkongwe na sio point yako uliyoitoka hapo. HR alishawahi kuwa Waziri kwenye serikali ya kwanza ya Mwl Nyerere usiandike kitu usichokijua next time nenda google search uone facts ndio upost....
 
Back
Top Bottom