Superman
R I P
- Mar 31, 2007
- 5,693
- 1,707
Mbowe anawaambia wananchi washishtuke na wanasiasa wanapotofautiana ndo siasa..
CDM hawapiganii maslahi ya Slaa kama mgombea bali wanataka iundwe tume ifatilie matokeo na itoe mfumo utakaosaidia chaguzi zijazo, na anaonya kama hadi uchaguzi ujao kama katiba na tume vitabaki hivi hivi basi amani itakuwa mashakani..
ITV wanawind up sasa, wadau sasa tuchangie hoja kwa hoja. sikuweza kuandika kila kila kitu maana some times internet zetu haziko speed kama maneno yanavyotamkwa
Mkuu, asante sana. Nimesoma kila post yako. Nice reporting.