Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,726
- 1,828
Hali imekuwa tata, watu wanapiga kelele, hamad amekosa muelekeo baada ya kuulizwa swali gumu na mbowe kuhusu status ya cuf, kule zenj ni serikali na huku bara ni wapinzani,
Unatutaarifu yanayotokea au unafanya analysis yako?Kila chama cha siasa kina utaratibu wake na sera zake
Mbowe...swala la msingi - Alimwambia HR kwamba visiwani wako pamoja na CCM, sasa huku itakuwaje? Inaelekea Mbowe alishaamua kuwatenga kwa sababu ya serikali ya kitaifa visiwani.
Mbowe anazidi kujikanyaga kwa kusema wenzao wana muafaka na anasema muafaka umeadhiri katiba?!!
Anajifanya kwamba alikuwa na dhamira ya kushirikiana na CUF, anajikanyaga kwa kusema CUF walikubali kiimandishi. Anajaribu kuipa CUF lawama kwa kusema kura zilipigwa kwa CCM. Anasahau kwamba kura ni haki na siri, huwezi kumforce mtu akupigie.
Hamad....Chadema walishirikiana na Chadema Kigoma.....(Kweli?????) would Love my Bro Zito to answer this
aMbowe: Nilimwomba Hamad anisaidie mawazo ya ni vipi wataunda Kambi ya upinzani, na kambi iwe ni upinzani wa kweli na siyo nusu mpinzani nusu mtawala na vilevile utunzaji siri ya kambi.
Katiba ya zanzibar na muafaka imeadhili katiba ya jamhuri ya muungano kwa kuwa CUF sasa ni nusu mpinzani na nusu mtawala.
CUF walidai hawataweka mgombea wa speaker na walidai watampa support mgombe wa CDM, lakini baadae waliungana na SiSieM na sasa wao ni washirika na SiSieM.
HR anambomoa vibaya. Huyu Rose yuko upande wa CHADEMA wazi!!!!!!!! Mpuuzi amejiexpose!!!
mimi hapa ndipo ninapochanganyikiwa zaidi.Mh. Hamad:
Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti za zenye katiba tofauti, znz kuna rais, mahakama na bunge sawa na Tanzania
HR anambomoa vibaya. Huyu Rose yuko upande wa CHADEMA wazi!!!!!!!! Mpuuzi amejiexpose!!!
Unatutaarifu yanayotokea au unafanya analysis yako?
Hapa jamaa kachemka, CCM na CHADEMA hawakushirikiana, kila mmoja aliongoza nusu nusu
Mh. Hamad:
Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti za zenye katiba tofauti, znz kuna rais, mahakama na bunge sawa na Tanzania