Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

itv wamekata mawasiliano. du chadema wamebanwa
 
Sasa wameenda mbali zaidi baada ya kuanza kuimba CCM, CCM, CCM hapa wanamaanisha kuwa CUF ni CCM B. Mdahalo umesimama kidogo baada ya kelele hizi
 
mi mbona sioni tatizo kuhusu , kushirkiana kwenye HALMASHAURI YA KIGOMA, hii ni tofauti na BUNGENI
 
CHADEMA wanacontrol media na ndio nguvu waliyo nayo. Wakizidiwa wanakata mawasiliano.
Mbowe sio saizi ya Mh Hamad...
 
Mimi siendeshi mdahalo. Muendesha mdahalo yuko biased....hii iko wazi. Acheni usanii CHADEMA.

Basi report tu unachoona bila kufanya personal analysis yako, fanya hivyo kama unapenda katika separate post. Kwani mkuu wewe mgeni hapa JF huwa huoni matukio yanavyoripotiwa?
 
Mdahalo umesitishwa baada ya Jamaa wa KUF kuanzisha tafrani, ukumbina patashika.
 
sasa Ccm imetoka wapi na kwanini hawa cuf waanze fujo! Toka wamehongwa umakamu zanzibar kwishney
 
..huyu Hamadi ni Mpemba, halafu anataka kuja ku-dictate jinsi gani wa-Tanganyika waendeshe shughuli zao.

..huu mdahalo bora ungekuwa kati ya Chadema na wabunge wa CUF-Bara, au kati ya Mbowe na Prof.Lipumba.
 
Basi report tu unachoona bila kufanya personal analysis yako, fanya hivyo kama unapenda katika separate post. Kwani mkuu wewe mgeni hapa JF huwa huoni matukio yanavyoripotiwa?

Yanaripotiwa kiCHADEMA ndio sawa. Tukisema ukweli mnapaniki...

ITV imerudi tena.
 
Back
Top Bottom