Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Mbowe anasema waliotangazwa washindi toka CDM ni wale waliovumilia mabomu, vipigo, jla,polisi n.k na hili aliwaambia wabunge wa ccm
CDM hawaezi kupuuza nguvu ya umma, na anasisitizia wale wenye nguvu ya kuleta vurugu ni serikali wenye dola. winding up sasa
 
CHADEMA nguvu ya uma itatumika kufikisha mabadiliko......watashirikisha UMA kuleta Mabadiliko
 
Hamad: Mbowe aunde kambi ya upinzani yenye kuwahusisha wapinzani wote.
 
What a winding up from HAMD RASHID??????......this guy is GREAT......................
 
HR anawataka wananchi waendelee kuwa watulivu na anamwambia mbowe kuwa watz wanataka kuona kambi moja ndani ya bunge, anasisitiza umuhimu wa kambi moja, hoja hapa ni kuwashinikiza CDM wawakubali

HR anasema kiongozi wa upinzani anachukua 100 Million. Na anataka kambi ya upinzani idai bajeti ya kambi yote sio uongozi tu. Hapa itakuja hoja kuwa CDM/Mbowe wanapigania hizo hela beliv me.

Mbowe anawind up sasa..
 
Hivi Kikwete anafuatilia huu mdahalo?

100% SURE....................................................................Yupo anaangalia sasa................Lazma.............................
 
kwani hukumuona pale lindu akiongea na simu si alikuwa anajibu simu ya mbowe nadhani ni kutaka ushauri unajua tena mbowe ni form 4!!

Kuna swali gani mbowe gumu limemshinda ?acha mambo yako mabovu!Kuna mtu hapa anaitwa DR. wa kulazimisha lakini nchi ina mshinda hata kura % ya chama chake this time imedrop!
Najuzi UDOM wamempa DR nyingine mbona sioni tofauti yake?bora hata mbowe au HR
 
Ndicho alisema mhe. Hamadi rashid kwamba hawawezi kususa uchaguzi wakamwachia nguruwe shamba. Mnaionaje hii kauli wadau?
 
Mbowe:Chadema tunapigia maslahi ya taifa. Serikali iunde tume huru ya uchaguzi.
 
Mbowe..tunaiomba serikali iunde tume huru ya kuchunguza matokeo ya uchaguzi
 
Mdahalo umeisha, Rose amembeba sana Mbowe. Cuf wa humu ukumbini ni watu wa fujo,shari na jazba kwa sana.
 
Mbowe kaja na Mamluki nini???? Makofi hata yasipohitajika...................
 
Mtego wa Noti said:
Kuna muda Mbowe alikuwa anapokea simu, alikuwa anapewa majibu baada ya kupewa maswali magumu?????

Mtego wa Noti,

..kwa mtizamo wangu nadhani Mbowe alipaswa kuzima kabisa simu yake wakati wote wa mdahalo.

..lakini vilevile huu mdahalo siyo mtihani wa taifa. kwa hiyo sioni vibaya kama Mbowe atatafuta ufafanuzi au msaada kuhusu jambo lolote lile kuhusu masuala anayoulizwa wakati wa mdahalo.

..kuliko kufanya makosa, kupotosha, au kusema kitu sicho, ni bora tu kutafuta ufafanuzi kwa njia yoyote ile.
 
Back
Top Bottom