Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Wadau mliopo nyumbani hebu mtujuze nini kinaendelea; nimeikamata hii kwenye Facebook wall ya IISMAIL JUSSA (Mbunge wa CUF) akidhihaki mahojiano ya kwenye ITV ambapo Mbowe na Rashid wanahojiwa "live"
Kwani kulikoni?
Nawasilisha

Ismail Jussa
: "Geoffrey, ukiwa shabiki wa Chadema una haki ya kuwa na mtazamo wako ulio tofauti na wangu. Kwa wewe Chadema kuniita mimi CUF muongo wala hainipi shida. Yeyote aliye mkweli kwa nafsi yake anaona jinsi Mbowe alivyo mtupu! After all, ungetegemea nini kutoka kwa professional DJ?"
 
CHADEMA watalizungumzia swala la Muungano wa wapinzani Bungeni...................kwani wao wapo tayari kushirikiana na wenzao....
 
Mbowe anaseam kuna tatizo la elimu ya siasa, japo wapo waoelewa elimu ya uraia na siasa lakini tatizo ni mfumo na tume na vyombo vya dola.
CDM haifungamani na dini yoyote, wenye dini na wasi na dini na hawasuport/kukandamiza dini yoyote
 
Udini upo jamani, ni suala nyeti kwa mustakabali wa taifa letu, kwa nini rose anakataa lisijadiliwe????

Hii tabia si nzuri ya kukwepesha mada hasa tunapojadili mambo magumu kama udini, kwa nini akatalie hii ishu ijadiliwe???
 
Am geting the signal with some minutes of delay now......
 
kuna muda nilimuona mbowe akiongea na simu, ina maana alikuwa anapewa majibu na jamaa baada ya maswali kuwa magumu???? Just to know what happened!!!

kwani hukumuona pale lindu akiongea na simu si alikuwa anajibu simu ya mbowe nadhani ni kutaka ushauri unajua tena mbowe ni form 4!!
 
Chadema haiungi mkono Dini yoyote. Ila kasema kuwa dini ni watu na Hisia na hawatarusu hisia hizi..............
 
Mbowe na njia ya kufika dodom, yenye mabonde, nyoka milima na mabomu
 
Back
Top Bottom