Mchungaji Shayo: Michango ya harusi ni ushamba; usitoe mchango wowote

Mchungaji Shayo: Michango ya harusi ni ushamba; usitoe mchango wowote

Mchungaji 💯 alindwe
20251207_221227.jpg
 
Asubiri zamu yake ifike ndipo atajua umuhimu wa kuchangiana kwenye matukio ya kijamii. Halafu yeye anakataza wengine wasichangiane ilhali yeye kila siku anaitisha sadaka. Huyu ni mtu wa ajabu sana.
Kasema harusi😆😆ambalo sio lazima Kuna maswal ya lazima kitu kama msiba we mwenyewe roho lazm ikusut
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom