Mchungaji Shayo: Michango ya harusi ni ushamba; usitoe mchango wowote

Mchungaji Shayo: Michango ya harusi ni ushamba; usitoe mchango wowote

Shida ni pale utakapotaka kuozesha huwezi kunielewa kama hujawahi kukumbana na stress za kuozesha mtoto wako
Asubiri zamu yake ifike ndipo atajua umuhimu wa kuchangiana kwenye matukio ya kijamii. Halafu yeye anakataza wengine wasichangiane ilhali yeye kila siku anaitisha sadaka. Huyu ni mtu wa ajabu sana.
 
Huyo anajiita mchungaji, lakini haelewi kuwa Yesu Kristo ALICHANGIA HARUSI kwa kugeuza maji kuwa divai safi, pale bwana harusi alipotindikiwa divai!
Sasa huyo mchungaji feki ndiye mshamba!
Anasema kuhusu uchangiaji wa kifedha sio wa kimuujiza mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom