Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha

Waulize wale walikuwa watu siku na miaka yote hadi leo hii waanze kusumbua watu na uhakiki wa elimu na vyeti hadi kusitisha ajira mpya na wengine kufukuzwa kazi. Jibu lako litasadifu vilivyo suala la vyeti vya mkuu wetu.
 
Watu kama huyu Gwajima ndio wanaotuharibia jina la Taifa lets. He is supposedlya religious leader and he is behaving like a hooligan.

Jesus taught us that if someone slaps u , give him the other chick. Jesus never teaches vendetta nor did he teach smearing the names of people.

What is this so called religious leader teaching his congregation????
 
Makonda huyo wa 199x - 20xx hakukuwa na vyeti vya div 0. Hata mie nimemaliza form four kipindi hicho hakukuwa na vyeti vya div 0
Muwe mnaelewa msilazimishe point moja ndo mada nzima!

Vyeti havitolew kweli lakin haimaanishi jina lako na matokeo yako havipo necta!

Kwa zero ukivihitaji unapewa kaweke home kama kumbukumbu ila kitaaluma hutofanyia chochote!

Ndo maana imekuwa ikiaminika havitolewi maana hutofanyia chochote
 
Tujifunze unapojiona wewe ni msafi sana na kuanza kuchafua majina ya watu matokeo yake ndio haya.nasikia anashinda kwa masheikh na maaskofu wamuombee sijui ndo apate cheti hata aeleweki. Tujifunze jamani

Mshauri arudi darasani ndiko vyeti vinapatikana maana kwa mashehe na maaskofu wao uelekeza njia bora zaidi ya kuuridhi ufalme wa mbinguni kwa Mungu, na hakuna anayeweza kuuona ufalme wa mbingu bila kupitia mauti yaani kifo.
 
Na sidhani kama mheshimiwa atatengua uteuzi kwa kashfa hii ya kughushi vyeti na ukizingatia Mh anamuamini sana hasa kwa kugeuza upepo Wa njaa kuwa madawa ya kulevya hahahaha nawaza tu
Tukimalizana na vyeti!

Tunamsubir atuambie mkoa wenye kila miundo mbinu kielimu!

Kuwa wa mwisho!
NAKUNYWA JUICE NAMSUBIRI
 
Sakata la Makonda

Najiuliza:-

1. Kwanza tangu lini MTU aliyepata div 0 akapata cheti cha Necta?

2. Gwajima ametoa wapi cheti chenye Zero wakati Serikali haitoi cheti hicho cha Zero?

3. Ni lini Baraza la mitihani limeanza kutoa vyeti kwa mtu yeyote aliyehitaji hata kama sio vyake?

4. Inawezekana vipi Watu wawili kumiliki vyeti original vya aina moja?

5. Watumishi wote wa umma na wa Serikali walifanyiwa zoezi la uhakiki wa vyeti, kama Gwajima alikuwa navyo vyeti original na ana uhakika Makonda anadanganya juu ya vyeti vyake alikuwa wapi kujitokeza kumuwekea pingamizi Makonda mpaka asubiri aguswe kwanza ndio aibuke?

Shilatu E. J
 
kipengele flani umeandika alifeli la 7 na kukosa nafasi shule za serikali lkn kipengele kinachofuata umeandika akajiunga na shule ya sekondari pamba,SASA alijiunga pale kama pc ama vp? maana pamba ya mwanza ni gvt school siyo pvt school
Aliingia evening class baadae wakaunganishwa.
 
Haya sasa Fulsa hiyo
 
Attachments

  • 17075955_1895262354051764_4453846434155855872_n.jpg
    17075955_1895262354051764_4453846434155855872_n.jpg
    29.2 KB · Views: 37
Sakata la Makonda

Najiuliza:-

1. Kwanza tangu lini MTU aliyepata div 0 akapata cheti cha Necta?

2. Gwajima ametoa wapi cheti chenye Zero wakati Serikali haitoi cheti hicho cha Zero?

3. Ni lini Baraza la mitihani limeanza kutoa vyeti kwa mtu yeyote aliyehitaji hata kama sio vyake?

4. Inawezekana vipi Watu wawili kumiliki vyeti original vya aina moja?

5. Watumishi wote wa umma na wa Serikali walifanyiwa zoezi la uhakiki wa vyeti, kama Gwajima alikuwa navyo vyeti original na ana uhakika Makonda anadanganya juu ya vyeti vyake alikuwa wapi kujitokeza kumuwekea pingamizi Makonda mpaka asubiri aguswe kwanza ndio aibuke?

Shilatu E. J
Wenye mtindio wa ubongo ndio wanaomuelewa huyo gwajima!
 
Fanya research ilete JF tuijadili. Kwa sasa hivi acha tuendelee na hoja hii, inawezekana ina ukweli ndani yake.

Pole. Nilisema humu, wakati wengine mnachekelea wanaotumbuliwa, kwamba katika nchi hii ni wachache sana ambao wako clean kwa namna moja ama nyingine.
Nisome uzuri kaka, hiyo ni kinyumenyume, kama watu wanatumia vyeti feki yeye akitumia PhD feki kuna shida gani?
 
Back
Top Bottom