Vingi tunakosea kuviita manjina ila lazima anaushahidi wa Daudi kuzungusha au kupata fa fa faGwajima Anasema ana ushahidi wa Cheti cha Makonda cha Form four alichopata Zero! Hapa Mchungaji kasema Uongo. Necta hawatoi cheti kwa Wenye zero
Unazijua AMRI KUMI za Mungu?!!Well done Makonda
Historia yako imekaa vizuri
You are a fighter
Umetoka familia ya kimasikini lakini kwa sasa Mungu amekufikisha hapo Ulipo...Sio jambo dogo kabisa
Na Mungu atazidi kukubariki
AsantaRais alishasema wazi kuwa hata Mama Jessica akihusishwa na tuhuma lazima achunguzwe, hamna ubaya Makonda naye achunguzwe kuhusu hii tuhuma.
Leo umezikumbuka akili zako original safi sana hujacomment ki lumumbaRais alishasema wazi kuwa hata Mama Jessica akihusishwa na tuhuma lazima achunguzwe, hamna ubaya Makonda naye achunguzwe kuhusu hii tuhuma.
Yule jamaa Sijui ni ndg yake rcngoja nisubiri povu la ndugu pasco mayala
Ogopa sana hawa jamaa wanao taka kuombewa kila sekunde inayopitaHaaa haaa nilimwona anaombewa na masheckh haaa haaa.
