Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

duuh daudi bashite jaman hadi huruma Ila umeyataka mwenyewe daud shaur yako
 
Kwanini haya hayakusemwaa kabla gwajima haja tajwa kwenye sakata la wauza unga?? wuza unga wana njia nyingi za kukwamisha juhudi za kupambana na mihadarati. sasa hivi wanataka kupoteza focus, pia kuyumbisha serikali ili wasishughulikiwe. Mimi namuombea makonda apandishwe hata cheo ili wuza unga wazidi kuumbuka, maana naona baada ya kuwataja wanatumia kila njia kuhakikisha wanaikwamisha serikali. Naamini kwa utawala huu hawataweza.
ili haya yasitajwe ni rahisi tu bwana daud bashite aweke vyet hadharan kila mtu ataona na atakua kawafumba midomo lakin vinginevyo lazma tuyaamin ya gwajima asee na naamin angekua na vyeti vyake kwa alivompenda sifa angeshavianika
 
kwanini iwe leo kisa katajwa sehemu fulani alivokua mkuu wa wilaya mbona hamkusema yote hayo??
 
So what? Uteuzi wa rais ni wa kisiasa? Au kielimu.. Hao wenye masters wamethubutu kufanya nini? Kikubwa?! Nitamshangaa pia JPM akisikiliza ushauri kama huu.
Ila awasikilize nyie tu na zero zenu!

Mshaurini aite media, akijishaua vitawekwa hapa
 
Wewe unayetetea uovu ndio unajichafua zaidi.

Kupitia elimu ya Makonda unaona jinsi anavyofanyakazi za kuchafua watu bila uthibitisho,bila stahaa yeye akichafuliwa povu linawatoka.
Ngongo nakuheshimu sana, hebu soma post yangu vizuri ndipo uchangie.
Siwezi kuwa upande wa makonda hata siku moja.
Lakini pia siungi mkono kwa Gwajima kama kiongozi wa kiroho sababu kiongozi wa kiroho kuna kanuni ya kuhandle vita kama hii.
Anaweza kupiga lakini sio kama afanyavyo.
 
kama ni kweli

basi amemvua nguo zote ,

necta wamsaidie wamtengenezee cheti kwa majina halisi LOL
 
Huenda hii movie imepangwa na wote Gwajima....makonda na wengine ili kututoa ktk kujadili mambo ya maana na kufanya kazi kuzalisha,

Nchi hii jmn inahitaji kujengwa kiuchumi na kijamii ebu tuweni serious.

NB: opereshen vyeti feki pia nayo ni kazi.
 
Kijijini kwetu
Sasa Ndalichako mbona anahangaika na watu walio makazini wenye vyeti feki?
kwetu waalimu watatu na nesi mmoja walishatolewa kazi kwa kuwa na vyeti bandia. Kumbe vidagaa tu ndo vinaadhibiwa. Makubwaa!
 
Nilikua nakula sup ila mshkaji kanipiga gepu
 
Back
Top Bottom