Ili wapate nafasi ya kutafuta hizo documents kwa raha zao.Gwajima ajiandae kuitwa Central kwa Mahojiano.
Ili wapate nafasi ya kutafuta hizo documents kwa raha zao.Gwajima ajiandae kuitwa Central kwa Mahojiano.
uhakiki unamacho, sio bure!Kitu kimoja sijaelewa Mh Magu siamefanya uhakiki wa vyeti feki inakuwaje tena madudu kama haya yanatokea inamaana sasa kumbe uhakiki huo "FEKI"
Au ndo tuanapigwa changa la macho na serikali yetu
Huyu mchungaji Mimi huwa simuamini, skendo ya kuiba mke wa mtu, skendo ya madawa , skendo ya kuvuta bangi vyote vyake halafu Leo anajifanya kumpondangwajima huwa simuamini sijui kwanini . kabla ya yote aanze na stori ya Mbasha hapo nitamwelewa
safi sana gwajima!...sio tunakua na viongozi waoga waoga.nitaamia kanisani kwako baba mtumishiHuyu mchungaji kiboko aiseh,anazidi kutia aibu,mtumishi wa Mungu roho ya kisasi anaitoa wapi? Kama mtu kakufanyia ubaya kwa wewe mtumishi wa mungu unatakiwa ukae kimya umuache Mungu afanye yake,huu utetezi wake unanipa mashaka huenda ile tuhuma ni ya kweli,sio kwa povu hili,hili povu sio la nchi hii
Utakuwa umemaliza kipindi cha vita ya Uganda kidato cha nnemimi nilipewa na necta cha ziro
Mzee wake nayeye anatumia jina la mtu mwingine?Hata kama kafundishwa na mzee wako kama hakugundua Makonda kutumia jina feki basi huyo mzee nayeye lazima atakuwa na walakini.




sisi tunamuamini!..safi sana gwajimaHuyu mchungaji Mimi huwa simuamini, skendo ya kuiba mke wa mtu, skendo ya madawa , skendo ya kuvuta bangi vyote vyake halafu Leo anajifanya kumponda
Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip inayosambaa kwa kasi mitandaoni.
Askofu Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kua ndg. Makonda alitumia vyeti visivyo vyake.
Katika clip hiyo mchungaji Gwajima amesema ana vyeti vinavyotoa ushahidi kua Makonda alitumia vyeti vya mtu mwingine.
Swali: Je, Rais atamwacha Makonda na kulifumbia macho hilo suala?
=======
PAUL MAKONDA:
1. Alizaliwa tar.15/02/1981 katika kijiji cha Koromije, wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza.
2. Majina yake halisi ni Daudi Albert Bushite
3. Alianza darasa la kwanza mwaka 1988 katika shule ya msingi Koromije akitumia majina ya Daudi Albert Bushite. Mwaka 1991 alifeli darasa la 4, akarudia.
4. Mwaka 1992 alifeli tena na hivyo akahamishiwa Mwanza mjini, ili aweze kusoma na kupata masomo ya jioni (tuition).
5. Mwaka 1996 alihitimu darasa la 7 lakini hakuchaguliwa kuendelea na elimu ya sekondari katika shule ya serikali.
6. Mwaka 1997 akajiunga na kidato cha kwanza shule ya sekondari ya Pamba.
7. Mwaka 2000 akahitimu kidato cha 4 na kupata daraja sifuri (division zero).
8. Mwaka 2001 akatumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge (chenye div.3 ya points 25) kujiunga na chuo cha uvuvi Nyegezi (Nyegezi Fisheries Training Institute) kwa masomo ya Certificate akahitimu mwaka 2002.
9. Mwaka huohuo 2002 akitumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge, alijiunga na Chuo cha uvuvi Mbegani Bagamoyo kwa masomo ya Diploma ya uvuvi (ORDINARY DIPLOMA IN MASTER FISHERMAN, NTA LEV.6), na kuhitimu mwaka 2005.
10. Mwaka 2003 alikutana na Ndg. Benjamin Sitta (mtoto wa Marehemu Samwel Sitta, ambaye ni Meya wa Kinondoni kwa sasa). Wakawa marafiki.
11. Mwaka 2005 baada ya kuhitimu Stashahada yake ya uvuvi, aliomba admission Chuo cha Kilimo Sokoine kusoma shahada lakini akakosa nafasi.
12. Baada ya kukosa nafasi alienda kuishi nyumbani kwa Marehemu Sitta akiwa kama rafiki wa Ben (mtoto wa Sitta). Kwakuwa alitoka familia duni, Sitta aliahidi kumsomesha elimu ya juu.
13. Mwaka 2006, alipata udahili Chuo cha ushirika na biashara Moshi (wakati huo kikiwa chuo kikuu kishiriki cha SUA), kwa kutumia vyeti vyake vya certificate (ya Nyegezi) na diploma (ya Mbegani).
14. Alidahiliwa kwa course ya BA in Cooperate Management & Accounting. Mwaka 2007 alimaliza first year lakini akashindwa kuendelea na 2nd year baada ya kupata Suplementary 6 kati ya Course 8 alizokuwa akisoma (akawa discontinued).
15. Mwaka huohuo 2007 akaomba Admission upya. Akamaliza first year akiwa na carries 3 ambazo alienda nazo 2nd year. Mwaka 2008 akiwa 2nd year akapata supplementary 4 kati ya course 8 alizokua akisoma. Akawa na mzigo wa carry over na supplementary. Akaamua kuacha chuo.
16. Mwaka 2008 akaenda kujaribu kuomba udahili chuo kikuu SUA kwa mara nyingine lakini akakosa.
17. Mwaka 2009 akarudi tena MUCcoBS kwa udahili mpya. Akaachana na CMA akachagua Community & Economic Development (CED).
18. Mwaka 20012 akahitimu shahada ya kwanza ya Community & Economic Development kwa jina la Paul C Makonda badala ya majina yake halisi ya Daudi Albert Bushite
19. Jina Makonda analitumia baada ya kula kiapo mahakamani kubadili jina. Cheti cha Form four kinasomeka Paul C Muyenge lakini vyeti vya elimu ya juu vinasomeka Paul C Makonda baada ya kuapa mahakamani.
20. Ndugu Daudi Albert Bushite ameoa (tangu mwaka 2009) lakini hajabahatika kupata mtoto. Na ndiye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa.
Basi ili makonda amzibe mdomo kabisa ajitokeze atolee ufafanuzi!Huyu mchungaji kiboko aiseh,anazidi kutia aibu,mtumishi wa Mungu roho ya kisasi anaitoa wapi? Kama mtu kakufanyia ubaya kwa wewe mtumishi wa mungu unatakiwa ukae kimya umuache Mungu afanye yake,huu utetezi wake unanipa mashaka huenda ile tuhuma ni ya kweli,sio kwa povu hili,hili povu sio la nchi hii
akikujibu naomba unitagMbona umekazania sana habari ya baba yako kumfundisha Makonda, kama angekuwa amemfundisha Magufuli si ndio uzi wote ungejaa statement yako.
Sasa fanya hivi, kwakua baba yako alimfundisha Makonda, muulize je wakati Makonda anajiunga hapo chuoni aliingia kwa qualifications zipi na vyeti kutoka shule zipi?
Duu wewe kweli chamadola. Serikali haijui chakufanya, kiiila siku madongo yanazidi. Ndalichako mwamuru yule jamaa wa necta aprint cheti ya makonda hata kwa shule kama feza boys haina tabuBavaria huu ujinga wa Makonda umeigharimu Serikali na Chama mambo mengi sana:
a)kashfa yake ya vyeti feki na jina feki limeshaiharamisha operesheni ya uhakiki wa vyeti!
Kwani wahakiki wakienda kwenye halmashauri,nao wataambia:"mbona fulani mmemwacha...kwanini sie tu!"?sijui watajibu nini
b)kashfa hii imetupokonya "kichaka" chetu tulichojifichiamo pale tulipoombwa ajira!hivi wananchi wakisema tuwape ajira,kisingizio kitakuwa ni nini tena?
c)ajenda za uhakiki wa vyeti na watumishi ni kama zishakufa kimtindo!kwani sidhani kama mtu serikalini mwenye ujasiri wa kuziendeleza,hasa baada ya kuona kibano cha Makonda!
d)kashfa hii imeleta picha ya kuwa mh rais alikosa umakini ktk uteuzi wake!na kwamba hata kukesha kwake usiku mzima ilikuwa ni kazi bure!
e)kashfa hii imemweka mh rais kwenye dilemma!akimwacha madongo kwa makonda yatazidi,na akimtoa,basi na gambo ajiandae!
In short makonda katuvua nguo baada ya kukichomba kichaka chetu!
Hivi tukiombwa ajira,madai,madaraja mapya,uhamisho na maboresho ya mishahara,tutasingizia nini?kichaka kipi tujifichiemo?dah!
Lakini swala la vyeti Gwajima hakulianzisha.....yeye kagongea msumari tu.Huyu mchungaji Mimi huwa simuamini, skendo ya kuiba mke wa mtu, skendo ya madawa , skendo ya kuvuta bangi vyote vyake halafu Leo anajifanya kumponda
But that is a valid document (until then) , a legal one! Using that, one can trace the school results certificate with final grades!Huenda ni results slip ndio kaiita cheti.