Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

yaaani nimeisikiliza hiyo audio ya baba Askofu aiseeeeee, nmecheka jamaaaa alivyovuliwa huyo mkuu wa mkoa wa starehee. Kukurupuka kubaya sana sana sana.

Tatizo nchi hii hawa ccm washaona kama walipewa na baba yao mungu sijui wawapi. Nchi utafikiri ya familia flani wengine wote mapoyoyo tuu
 
Inaweza kuwa ni kweli lakini sioni mantiki kwa anayejiita mtumishi tena wa Mungu kuendeleza vita. Siku zote watumishi wa kweli humkabidhi Mungu vita vyao. Daudi akasema Mungu pigana na wanaopigana nami...zaburi 35:1b
Tulia wewe, husisome mstari mmoja kwenye biblia, kuna mistari mingi tu watumishi wa Mungu walipigana na waovu tena wafalme
 
Hapo kuna ukweli flani ujue. Mbona mhusika haweki hadharani watu tujue ukweli au makondakonda kakimbia. Hahaaaaaaa usilete ugomvi kama unakaa nyumba ya vioooo. Huo naona ni ugomvi wa yai na nazi maana nazi itashinda japo mtoni lazima ifike kujisafisha huku yai udongo kufaidi. Endelea Gwajima ndo maana bro elimu sio kipaumbele
 
Back
Top Bottom