Sakata la Makonda
Najiuliza:-
1. Kwanza tangu lini MTU aliyepata div 0 akapata cheti cha Necta?
2. Gwajima ametoa wapi cheti chenye Zero wakati Serikali haitoi cheti hicho cha Zero?
3. Ni lini Baraza la mitihani limeanza kutoa vyeti kwa mtu yeyote aliyehitaji hata kama sio vyake?
4. Inawezekana vipi Watu wawili kumiliki vyeti original vya aina moja?
5. Watumishi wote wa umma na wa Serikali walifanyiwa zoezi la uhakiki wa vyeti, kama Gwajima alikuwa navyo vyeti original na ana uhakika Makonda anadanganya juu ya vyeti vyake alikuwa wapi kujitokeza kumuwekea pingamizi Makonda mpaka asubiri aguswe kwanza ndio aibuke?
Shilatu E. J
Kwa nini ujiulize maswali mengi kwani Pamba Sekondari Somalia? Pili kama sikosei na ninaweza kusahihishwa zamani ilikuwa ukipata div ZERO unapata leaving certificate lakini Academic ndio hupati.Sakata la Makonda
Najiuliza:-
1. Kwanza tangu lini MTU aliyepata div 0 akapata cheti cha Necta?
2. Gwajima ametoa wapi cheti chenye Zero wakati Serikali haitoi cheti hicho cha Zero?
3. Ni lini Baraza la mitihani limeanza kutoa vyeti kwa mtu yeyote aliyehitaji hata kama sio vyake?
4. Inawezekana vipi Watu wawili kumiliki vyeti original vya aina moja?
5. Watumishi wote wa umma na wa Serikali walifanyiwa zoezi la uhakiki wa vyeti, kama Gwajima alikuwa navyo vyeti original na ana uhakika Makonda anadanganya juu ya vyeti vyake alikuwa wapi kujitokeza kumuwekea pingamizi Makonda mpaka asubiri aguswe kwanza ndio aibuke?
Shilatu E. J
Kuna usemi kwamba kama huna watoto basi roho yako inakuwa mmbaya sanna.20. Ndugu Daudi Albert Bashite ameoa (tangu mwaka 2009) lakini hajabahatika kupata mtoto. Na ndiye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa.
Picha ya kihistoria hii maana hawa wawili wote wako kikaangoni.Huyo ni askofu Mokiwa wa Anglican ambaye alitumbuliwa na Askofu mkuu na huyo aliyepiga magoti ni RC Paul Makonda anayesubiri muujiza wa JPM.Hiyo ilikuwa sikukuu ya Pasaka last year,2016 ktk Kanisa kuu la St Alban, posta mpya!View attachment 474977Mwanakondoo wa Bwana.
haya ni mawazo ya wale bongo zao zipo kwenye ncha ya mkia wa nguruwe.Wenye mtindio wa ubongo ndio wanaomuelewa huyo gwajima!
Mkuu endelea jinsi fitina ilivyotumika hadi kufika hapo alipo. Ujumbe wa bunge maalum la katiba, kampeni 2015, ukuu wa wilaya na sasa ukuu wa mkoa.
Hii imekaa sawa.


mkuu sina mil 5Malipo? ni kama sh.ng'api?Haya sasa Fulsa hiyo
Noted mkuu. Nakuelewa sanaKamanda, siku zote usiwe na kiburi na majivuno. Watu watakupenda sana na utawahukumu watu bila wao kulalamika. Ukiwa jeuri na ufedhuli hatabkama mtu anamakosa utaonekana ynawanyanyasa watu na wakipata nafasi jiandae,
sio zaman hata sasa leaving unapata kama kawaida maana huwa inatoka kabla hata yakufnya mtihanKwa nini ujiulize maswali mengi kwani Pamba Sekondari Somalia? Pili kama sikosei na ninaweza kusahihishwa zamani ilikuwa ukipata div ZERO unapata leaving certificate lakini Academic ndio hupati.
Hatujakataa yeye kutokukata tamaa tunampongeza Sana.....tatizo n yeye kujiona perfect wakat alipata sifuri.....makonda, ni kijana alietoka familia duni, pengine kufeli kulitokana na maisha duni ya kijijini ambako huduma nyingi muhimu hakuna, pengine angetokea familia zenye uwezo wa kati angefaulu vizuri sana. hakukata tamaa na amejitahidi kufika alipofika, ametimiza ndoto ya kuwatumikia wananchi, tena kwa kiwango kikubwa cha kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaa ambako ndiko ukuu wa nchi na uchumi upo. amejitahidi kufanya aliyoamini yanaisaidia nchi na mkoa wake. ki msingi amejaribu kufanya mengi mazuri japo hatujaweka kipima chake cha mafanikio. hongera kwa nia yake njema. ila pia kama binadamu tulivyo hatujakamilika, sisi sio malaika!! hapo sasa...! pengine alitaka hata kwa kutumia vyeti vya mtu mwingine aende mbele zaidi ili aje kuisaidia nchi yake.kwa sasa si vibaya kuachia wengine nao sasa waendelee na pale alipoanzisha
Uuhakiki was vyeti ulikuwa unawahusu kina nan??? Kuna watu hawana kazi kwa sababu ya uhakiki wa vyeti...yeye ni nan had I aachwe?makonda, ni kijana alietoka familia duni, pengine kufeli kulitokana na maisha duni ya kijijini ambako huduma nyingi muhimu hakuna, pengine angetokea familia zenye uwezo wa kati angefaulu vizuri sana. hakukata tamaa na amejitahidi kufika alipofika, ametimiza ndoto ya kuwatumikia wananchi, tena kwa kiwango kikubwa cha kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaa ambako ndiko ukuu wa nchi na uchumi upo. amejitahidi kufanya aliyoamini yanaisaidia nchi na mkoa wake. ki msingi amejaribu kufanya mengi mazuri japo hatujaweka kipima chake cha mafanikio. hongera kwa nia yake njema. ila pia kama binadamu tulivyo hatujakamilika, sisi sio malaika!! hapo sasa...! pengine alitaka hata kwa kutumia vyeti vya mtu mwingine aende mbele zaidi ili aje kuisaidia nchi yake.kwa sasa si vibaya kuachia wengine nao sasa waendelee na pale alipoanzisha
Mkuu huogopi kuona utupu wa mwana wa mfalme.???Gwajima tupostie vyeti vya mtu yule kidadeki siafu kakamata korodani za daudi bashite tuone kama hatavua nguo amtoe
Mimi macho kodo nione utupu wa Daudi
duh! kweli..Uuhakiki was vyeti ulikuwa unawahusu kina nan??? Kuna watu hawana kazi kwa sababu ya uhakiki wa vyeti...yeye ni nan had I aachwe?